Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

waache waendelee kujidanganya...........kinachotakiwa kwetu sisi ni kuchukua hatua........kulinda mpaka wetu.........
Wanachodai ni kuwa Mpaka uliochorwa na mwingereza ndiyo wenyewe na huo uliochorwa na mjerumani ni feki, kwa hiyo ziwa lote liko malawi.
 
sasa akina genral shimbo ndo watapigana vita? manake jw la sasa full biashara, mara wanajenga barabra za tanroads, mara tenda za majengo !!! kombati itavaliwa saa ngapi?
 
Kwa jinsi tulivyokuwa WALAFI mkoloni wala hatukumbushi hiyo reference point (mipaka ya 1890) tunaikumbuka wenyewe tunapoanza kugombania ulaji........Bahati mbaya na rasilimali tunazogombea (mafuta na gesi) wala havijatunufaisha; na inawezekana tusijenufaika navyo kutokana na staili yetu ya kuwaachia wawekezaji wajitwalie tuu vyote nasisi kubaki na makombo.
umenena mkuu!
 
Namkumbuka mwl.Nyerere kwa mambo mengi...miaka ile mabalozi wa Tanzania walikuwa wanasimama kama majasusi wanaotafuta fursa ya kiuchumi na usalama kama ambavyo marekani inafanya. Siku hizi mabalozi kama akina Batilda wanateuliwa kuwa mabalozi kisa urafiki na Rais pasi na kujua ubalozi ni zaidi ya kuiwakilisha nchi yako ugenini.

Mantiki yangu hapa ni kutambua namna mabalozi wetu wasivyo makini.Hadi hali inafikia hivi maanake malawi ilikuwa na mkakati wa muda mrefu anaoendeleza Bi Joyce Banda na siyo kwamba yeye ndo kaanzisha. Tatizo la Tanzania ya leo ni kuwa disunited haswa baada ya reli kutolindwa.Malawi tunaweza kuwapiga bila vita ya msituni kwa hatua za awali.

Wananchi wa malawi 50% wanategemea chakula kutoka kwetu.Yaani mchele-kyela,mahindi-mwakaleli,Ndizi-kiwira na pale mpaka unapofungwa wananchi wa Kyela na Rungwe wanapata shida ya kuuza mazao na bei huwa inashuka sana. Endapo itawezekana kudivert biashara ya vyakula kwa kuboresha miundombinu,basi malawi watapata deficit na watatulia.Tuanze msimu huu!
 
Tuwachape tu ndo watatia akili.

Nilifika Kyela - Itungi port, nikakuta an ageing army boat ambayo imeachwa inaoza. Niliambiwa ilitoka Yugoslavia miaka ya sabini. Hata kile kikosi cha JWTZ nafikiri walishakihamisha. Hizi chokochoko za Malawi zinalazimisha ku-invest tena kwenye ulinzi wa mipaka yetu upande wa kusini.

Hawakutuweza wakati wanashirikiana na Makaburu miaka hiyo hawatatuweza sasa.

Tuwakumbushe vijana kuwa Malawi ni Nchi ya wasaliti toka zamani. Wakati wenzao wote wa kusini mwa Africa tuna support wazalendo waafrika kwenye ukombozi, wao walishirikiana na Makaburu openly. Hata Rais Banda alitembelea SA officially wakati wa Apartheid! Ni taifa la wasaliti toka zamani.

I think as a prelude to full military action, we should rally our allies around the Country. We may not need to fire even a bullet. Economic blockade from Mozambique, Zimbabwe and Zambia will bring her to her knees.
 
Hivi haka ka-Banana republic (Malawi) na ka president kao hako ka-mwanamke (Joyce Banda) kwanini kanataka kutuchezea! Wako wapi wale magenerali wetu akina MTI MKAVU, BLACK MAMBA, MUHOGO MCHUNGU etc? Chief in Command of the Armed Forces Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwanini usiwatume hao magenerali waende Blantyle wamushike huyo Joyce Banda wamulete Magogoni umchepe VIBOKO 12 halafu arudi Malawai akumuonye mme wake (kama anaye) na Wamalawi wote ili aache chokochoko zake.

Rais ambaye hawezi kuwalisha hata watu wake halafu anataka kutuvimbishia ma wowowo yake STUPIDY. We have to tell her in black and white mpaka ni katikati ya Ziwa Nyasa and is not NEGOTIABLE. Kuonyesha intent balozi Tsere aondolewe Malawi mara moja apelekwe GENERAL mmoja wa JWTZ. Majeshi yetu yapelekwe kwenye mpaka wa Malawi mara Moja.

Hatuwezi kuchezewa na haka ka Banana republic. UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO, NA NIA TUNAYO. Kwahili ni bora tule nyasi lakini we have to teach them a lesson!
 
Imenikumbusha miaka ya nyuma rais Banda wa Malawi wakati huo alileta choko choko mpakani wakati huo tulikuwa na viongozi full of patriotism. Alipigwa mkwara wa kijeshi ndani ya juma moja akasalimu amri. Ndiyo chanzo cha zile nyimbo tulikuwa tunaimba kwenye mchaka mchaka shuleni:

KIONGOZI
:
"Wamalawi watuvalia,
Watuvalia ngozi ya simba,
Kututishia watanznia, hatujali, hatujali!"

TUNAITIKIA:
"Bandaaaa wa Malawi,
Atuvalia ngozi ya simba,
Kututishia watanzania,
Hatujali, hatujali!"

Those old good days!

Mkuu umenikumbusha mbali sana kwa huo wimbo wa mchakamchaka.
Lakini kwa sasa hawa jamaa wanaweza kutuchapa, inatuponza ccm, hakuna utaifa wala uzalendo, nape anakwambia kuwa mzalendo ni kuwa mwana ccm,
hakika nchi zoooote tulizozisaidia kupigania uhuru wao watatutia vidole! so sad!!! Vijana wa botha ni mfano.
 
hawa wamalawi wanabeep...nchi ile kwanza ina njaa kweli...hawa ni wa kufundisha adabu tu
 
Hivi haka ka-Banana republic (Malawi) na ka president kao hako ka-mwanamke (Joyce Banda) kwanini kanataka kutuchezea! Wako wapi wale magenerali wetu akina MTI MKAVU, BLACK MAMBA, MUHOGO MCHUNGU etc? Chief in Command of the Armed Forces Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwanini usiwatume hao magenerali waende Blantyle wamushike huyo Joyce Banda wamulete Magogoni umchepe VIBOKO 12 halafu arudi Malawai akumuonye mme wake (kama anaye) na Wamalawi wote ili aache chokochoko zake.

Rais ambaye hawezi kuwalisha hata watu wake halafu anataka kutuvimbishia ma wowowo yake STUPIDY. We have to tell her in black and white mpaka ni katikati ya Ziwa Nyasa and is not NEGOTIABLE. Kuonyesha intent balozi Tsere aondolewe Malawi mara moja apelekwe GENERAL mmoja wa JWTZ. Majeshi yetu yapelekwe kwenye mpaka wa Malawi mara Moja.

Hatuwezi kuchezewa na haka ka Banana republic. UWEZO TUNAO, SABABU TUNAZO, NA NIA TUNAYO. Kwahili ni bora tule nyasi lakini we have to teach them a lesson!

kama pendekezo lako litaungwa mkono kwenye red tumpeleke mboma! au vipi,
 
Maravi Post | by DEREK MAPONDERA | 31 July 2012

A top Malawian official says the country will not stop its oil and gas exploration activities on the disputed Lake Malawi as demanded by Tanzania, saying the "entire lake belongs to Malawi."

"We categorically put it to them [Tanzania] that as far as we are concerned, the entire lake belongs to Malawi. So our view is that there is no reason to stop the project," Patrick Kabambe, principal secretary in the ministry, was quoted in The Daily Times.
 
Mkuu nimesoma matusi yao...wametutukana kweli...kuna mabwana wanawapa kichwa ....we have to do something.... i miss Edward Lowasa....alitoa kauli nzito kwa Egypt waliponyanyua mdomo kuhusu Miradi ya Maji inayoendeshawa na Tanzania kwenye ziwa Victoria wakanywea wenyewe.........Tunahitaji viongozi wa namna hiyo
 
Hawa jamaa huenda walishajua weakness za kiuongozi tulizonazo kwa sasa nchini, walishajua kuna mpalanganyika ndani ya serikali hivyo wanajua ndiyo timing nzuri! Na ni kweli sidhani kama system zetu zina ushirikiano wa kutosha katika kulinda mipaka ya nchi yetu!! Natamani sana hili zogo lifike sehemu tumalize hili suala kwa njia yeyote.
 
Hii si ndiyo nafasi muafaka ya kupata zile ajira milioni moja (jeshini) zilizoahidiwa kwenye manifesto ya 2005? Serikali iajiri vijana jeshini kisha waanze mazoezi ya kijeshi maeneo ya Mbambabay huko Songea.
 
Here we go 1890 Agreement - Berlin Conference... They don't have any problem with Mozambique part of it is too little

but for our side; Oh there is OIL and GAS... they need it all, they will be rich... SHAME SHAME SHAME greedy Africans...

Then Rwanda and Burundi should be returned to ''Tanganyika'' is this agreement holds any water.......and Egypt should have rights over Lake Victoria ( Nyanza)
 
Mkuu nimesoma matusi yao...wametutukana kweli...kuna mabwana wanawapa kichwa ....we have to do something.... i miss Edward Lowasa....alitoa kauli nzito kwa Egypt waliponyanyua mdomo kuhusu Miradi ya Maji inayoendeshawa na Tanzania kwenye ziwa Victoria wakanywea wenyewe.........Tunahitaji viongozi wa namna hiyo

I don't miss Lowassa or any other past leader. In fact they are the reason we are in stuck in the current economic quagmire. We need a complete paradigm shift in leadership and I don't see Lowassa fitting in the new leadership order.
 
Wamalawi wachapwe, wapigwe watie akili.Wala hatuhitaji Ndege za kivita kuwachapa,askari wa miguu wanatosha tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom