Malawi to overturn homosexual ban

Mwali are you saying homosexuality is decent? Are you saying it is a natural act? Please on what basis?
What is Natural AshaDii? Naomba unifafanulie hapo kwanza.
Usinambie kua you think sex is simply for procreation, it isn't
Na kama ukikubali kua sex if for pleasure (and communication)
Basi sioni ubaya wa mtu kuchagua anataka kuji-enjoy na nani
Kumbuka homosexual behaviors have been observed in other beings too
Sasa nambie: what is natural, what is decent and why homosexuality is not
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona labda Deskmate atufafanulie hiyo natural act anavoitafsiri yeye na mwalim wake wa baioloji. hehehe

Bek to ze topik: Huyu mama inaonekana hafai hata kuongoza kunguru seuze binadam. Wamama kama hawa ndio wanaoupa nguvu ule msemo wa " Mwanamke sehem yake ni jikoni"

Na ikitokea Desk mate wake ukamuelewa itabidi na mie unieleweshe... kwa kweli sioni ni kwa njia gani inaweza kua a natural act hali ni kinyume cha maumbile.

B2T Nilipoona tu kaja by force, yaani bada tu ya kuapishwa within a week alikua kafukuza viongozi wa 3 akiwemo waziri niliona it was way too fast an act. As if alikua ka plan hayo mambo yote toka nyuma ana kua alikua na mkataba wa kifo cha Mutharika kua wakati wowote anafariki na this is what to do... sijui haoni madame Jonson alivo hana papara na yupo awamu ya pili sasa Liberia.... (nimefurahi kukuona, it has been long).
 
ila ukiangalia behaviour yake hana tofauti na huyu wa kwetu. the only thing they know ni misaada na kupapatikia wazungu.so gender hapo haina nafasi wote tumeolewa na wazungu
 
Huyu deskmate namjua class, alikuwa mtoro sana kipindi cha baioloji, ticha aliwahi kutwambia kule nyuma kumedizainiwa nacharale kwa kukamilisha digestion/egestion na huku mbele ndio kumedizaniwa kwa reproduction na kupunguzia maji mwilini. (Mimi nikajua na wewe ushajitoa JF, bado kidogo nivunje laptop yangu kwa hasira za kukumiss)
 
hehehe naongezea tofauti nyengine. Huyu wakwetu kuna mida alienda kubembea Jamaica na taitanic wake mama salma
 
What is Natural AshaDii? Naomba unifafanulie hapo kwanza.
Usinambie kua you think sex is simply for procreation, it isn't
Na kama ukikubali kua sex if for pleasure (and communication)
Basi sioni ubaya wa mtu kuchagua anataka kuji-enjoy na nani
Kumbuka homosexual behaviors have been observed in other beings too
Sasa nambie: what is natural, what is decent and why homosexuality is not

Mwali be careful what you wish for... Ndio maana tuliumbwa wanadamu tukapewa uwezo wa kufikiria jambo kua hasa wapi mpaka wake upo. Kama Sex itafafanuliwa tu in the form of pleasire peke yake ni hatari... hio ni wazi kila mmoja anapenda sex.... BUT kama mwanamke does it give us the right kulala na kaka/baba/mtoto just in the name of pleasure? Just because you have the right to pleasure? Hio ni baadhi ya mipaka kama ilivo kuingiliwa kinyumbe cha maumbile...

Ninapouliza kama it is natural ni hivi.. Nakupa mfano mmoja.... Kuna wakati mwanadamu anaweza pata matatizo kama ugonjwa ambao ukamuweka in a critical condition hadi anakua admitted hospitali (lets say ICU); Hajitambui wala hawezi kula... alternative hua inakua kupitish tubes puani OR hata kutoboa koo ili kupitisha chakula.... YES chakula kinapita kinafanya kazi yake but is it natural kua anakula kwa njia hio?

Mie juu ya njia ya back door imani yangu ni moja; ni njia ya kutolea uchafu (yaani way out) na Sio kuingiza kitu... It was naturally meant for that. Na ndio maana wanaofanya hivo wanasema na kushauri u'me ukiingia huko haitakiwi uache manii huko... ni lazima atolee nje. If it was natural then the act ilitakiwa iishe hivo hivo.
 
Huyu deskmate namjua class, alikuwa mtoro sana kipindi cha baioloji, ticha aliwahi kutwambia kule nyuma kumedizainiwa nacharale kwa kukamilisha digestion/egestion na huku mbele ndio kumedizaniwa kwa reproduction na kupunguzia maji mwilini. (Mimi nikajua na wewe ushajitoa JF, bado kidogo nivunje laptop yangu kwa hasira za kukumiss)

klorokwini huishi kunichekesha!! lolest.... Thanks for making me laugh.... JF siwezi kuondoka... Ni kisima cha yanizungukayo. Nitapunguza kasi tokana na majukumu but nothing more... Have a lovely weekend na hio PC naomba usivunje lol.
 
Last edited by a moderator:
Mwali be careful what you wish for... Ndio maana tuliumbwa wanadamu tukapewa uwezo wa kufikiria jambo kua hasa wapi mpaka wake upo. Kama Sex itafafanuliwa tu in the form of pleasire peke yake ni hatari... hio ni wazi kila mmoja anapenda sex.... BUT kama mwanamke does it give us the right kulala na kaka/baba/mtoto just in the name of pleasure? Just because you have the right to pleasure? Hio ni baadhi ya mipaka kama ilivo kuingiliwa kinyumbe cha maumbile...

Ninapouliza kama it is natural ni hivi.. Nakupa mfano mmoja.... Kuna wakati mwanadamu anaweza pata matatizo kama ugonjwa ambao ukamuweka in a critical condition hadi anakua admitted hospitali (lets say ICU); Hajitambui wala hawezi kula... alternative hua inakua kupitish tubes puani OR hata kutoboa koo ili kupitisha chakula.... YES chakula kinapita kinafanya kazi yake but is it natural kua anakula kwa njia hio?

Mie juu ya njia ya back door imani yangu ni moja; ni njia ya kutolea uchafu (yaani way out) na Sio kuingiza kitu... It was naturally meant for that. Na ndio maana wanaofanya hivo wanasema na kushauri u'me ukiingia huko haitakiwi uache manii huko... ni lazima atolee nje. If it was natural then the act ilitakiwa iishe hivo hivo.

Dah! ee bana AshaDii genius bana tuacheni utani. waifu wangu angekuwa na mapwenti kama haya hakyanani ningekuwa siangalii TV na wangenikoma kijijini.

Baadae wakuu nalog out kiduchu
 
Last edited by a moderator:
Mwali be careful what you wish for... Ndio maana tuliumbwa wanadamu tukapewa uwezo wa kufikiria jambo kua hasa wapi mpaka wake upo. Kama Sex itafafanuliwa tu in the form of pleasire peke yake ni hatari... hio ni wazi kila mmoja anapenda sex.... BUT kama mwanamke does it give us the right kulala na kaka/baba/mtoto just in the name of pleasure? Just because you have the right to pleasure? Hio ni baadhi ya mipaka kama ilivo kuingiliwa kinyumbe cha maumbile...
AshaDii, nadhani kuna taboo, na kuna haki na sheria.
Kulala na kaka yako ni taboo, ila sio offence hata kidogo
the same way, kulala na mtu wa jinsia yako, ni taboo
tena taboo yenyewe ni katika jamii fulani fulani tuu.
Basi waitoe kua offence, ibaki kua morally wrong like sex before marriage

Ninapouliza kama it is natural ni hivi.. Nakupa mfano mmoja.... Kuna wakati mwanadamu anaweza pata matatizo kama ugonjwa ambao ukamuweka in a critical condition hadi anakua admitted hospitali (lets say ICU); Hajitambui wala hawezi kula... alternative hua inakua kupitish tubes puani OR hata kutoboa koo ili kupitisha chakula.... YES chakula kinapita kinafanya kazi yake but is it natural kua anakula kwa njia hio?
Bila kuingia katika details za sexual practices that could be "unnatural"
what is your opinion on fingering, fellatio, use of dildos etc?

Mie juu ya njia ya back door imani yangu ni moja; ni njia ya kutolea uchafu (yaani way out) na Sio kuingiza kitu... It was naturally meant for that. Na ndio maana wanaofanya hivo wanasema na kushauri u'me ukiingia huko haitakiwi uache manii huko... ni lazima atolee nje. If it was natural then the act ilitakiwa iishe hivo hivo.
Hapo in bold sijaelewa vizuri...
hata hivo, kwani hawatumii kinga?
 
AshaDii, nadhani kuna taboo, na kuna haki na sheria.
Kulala na kaka yako ni taboo, ila sio offence hata kidogo
the same way, kulala na mtu wa jinsia yako, ni taboo
tena taboo yenyewe ni katika jamii fulani fulani tuu.
Basi waitoe kua offence, ibaki kua morally wrong like sex before marriage

Haki na sheria nani kazitunga? Si mwanadamu... Hivo haki na sheria zilizopo katika vitabu vya dini havina uzito na wala sio za kuzingatiwa kama zilizo katika vitabu vya sheria za ku monitor tabia ya mwanadamu? Kulala na kaka yako sio offence? Mbona basi hao hao ambao wana promote homosexuality wao wanaona ni offense? Hairuhusiwi kuoana na Sibling wako hivo it means hata having sex publically known ni offence na unaweza kabisa funguliwa mashtaka.

Ok ukisema ni taboo katika jamii fulani fulani.... kwa nini wao wasiendelee na hio tabia bila kuhusisha kukandamiza Africans ku adapt hilo la homosexuality? I know you know histoy ya gays Uingereza... The way walitengwa na jamii, na the way walinyanyapaliwa hadi wakasema wamelaniwa na ugonjwa wa AIDS ni kwa ajili tu ya Homosexuals... Wala hata sio zamani sana ni kama tu within 30 years ago. Ina maana kila ambalo mwanadamu atapitisha na kuweka kua ni sheria lisimamiwe in the name of human rights?

Bila kuingia katika details za sexual practices that could be "unnatural"
what is your opinion on fingering, fellatio, use of dildos etc??

Mwali are you saying kua dildos, fellation na fingering ni sawa na na the act of kuingiliwa nyuma? I believe not... dildos kama zinatumika na mdada kujiridhisha katika njia ya kawaida anapo kua na hamu hali mwenza wake hayupo naona it is ok. fellatio inakua tu kama aina fulani ya utundu wa mchezo katika shughuli kama ilivo fingering as long as imelenga njia ya mbele. I have no problem kutafuta alternative ya kujiridhishe uweze cum kwa njia sahihi... na ndio maana naturally maeneo ya cumming yameumbwa yapo front door na sio back door....

Hapo in bold sijaelewa vizuri...
hata hivo, kwani hawatumii kinga?

Maana ya kutumia Kinga si ni kwa ajili ya kuepusha vitu kama magonjwa.... kuweka magonjwa pembeni, Do you think people really use condoms? Hawatumii Mwali... Na ukitaka kujua hio njia sio sahihi hata mtu achezewe vipi hakuna ute uliowekwa naturally ujitokeze kuwesha kupenywa... lazima utumie artificials sababu it is not natural....
 
Anti, naona tumeenda mbali kidogo na mada...

Hapa tunazungumzia zaidi huyu mama kugeuza sheria za nchi yake kwa kubadili homosexual acts kutoka katika "unatural and indecent acts" kwenda kua jambo la kuruhusiwa. Kwa hiyo ningependa tuendelee na kipengele cha kwanza zaidi, sio zile zingine (if you don't mind)

Sijafurahia the way anajaribu kutumia misaada kama justification ya kukubali kua homosexuality is a right (right to chose the sexuality we want). Hapa I agree with you, empowerment is a process, na mtu hawezi kua empowered kwa namna US na UK wanataka kulazimisha. waache Africans tu-deal na mambo yetu at our own pace. But this struggle must continue untill all humans a free and equal.

Haki na sheria nani kazitunga? Si mwanadamu... Hivo haki na sheria zilizopo katika vitabu vya dini havina uzito na wala sio za kuzingatiwa kama zilizo katika vitabu vya sheria za ku monitor tabia ya mwanadamu? Kulala na kaka yako sio offence? Mbona basi hao hao ambao wana promote homosexuality wao wanaona ni offense? Hairuhusiwi kuoana na Sibling wako hivo it means hata having sex publically known ni offence na unaweza kabisa funguliwa mashtaka.

Ok ukisema ni taboo katika jamii fulani fulani.... kwa nini wao wasiendelee na hio tabia bila kuhusisha kukandamiza Africans ku adapt hilo la homosexuality? I know you know histoy ya gays Uingereza... The way walitengwa na jamii, na the way walinyanyapaliwa hadi wakasema wamelaniwa na ugonjwa wa AIDS ni kwa ajili tu ya Homosexuals... Wala hata sio zamani sana ni kama tu within 30 years ago. Ina maana kila ambalo mwanadamu atapitisha na kuweka kua ni sheria lisimamiwe in the name of human rights?

Sasa kwenye taboo/legal: Kama unasema binadam ndio wanajenga sheria, basi kubali kua binadam wanao uwezo wa kupangua hizo sheria. Ikiwa sheria inanyanyasa wananchi, na sheria hiyo iwepo au isiwepo haina madhara kwa wanainchi wengine, basi sheria hiyo inapaswa iondolewe. Think about it bila bias: homosexual wanatupunguzia nini kama taifa? kumbuka they don't only live to have sex, they are human beings with all the functions in the society. but kila siku they live in fear and danger just because they chose 'the wrong" sexuality. wrong because it is said so, bila kuonesha ubaya wake kwa jamii uko wapi. Is this fair? take your time and think about this...

Mwali are you saying kua dildos, fellation na fingering ni sawa na na the act of kuingiliwa nyuma? I believe not... dildos kama zinatumika na mdada kujiridhisha katika njia ya kawaida anapo kua na hamu hali mwenza wake hayupo naona it is ok. fellatio inakua tu kama aina fulani ya utundu wa mchezo katika shughuli kama ilivo fingering as long as imelenga njia ya mbele. I have no problem kutafuta alternative ya kujiridhishe uweze cum kwa njia sahihi... na ndio maana naturally maeneo ya cumming yameumbwa yapo front door na sio back door....

Kipengele cha pili kinahusu kulinganisha anal sex na oral sex/masturbation. Hapa nadhani kila mtu yuko huru kufikiria anacho taka, na tunaweza bishana hadi kesho sidhani kama utaweza kuni-convince kua using a dildo is more 'natural' than having anal sex.

Maana ya kutumia Kinga si ni kwa ajili ya kuepusha vitu kama magonjwa.... kuweka magonjwa pembeni, Do you think people really use condoms? Hawatumii Mwali... Na ukitaka kujua hio njia sio sahihi hata mtu achezewe vipi hakuna ute uliowekwa naturally ujitokeze kuwesha kupenywa... lazima utumie artificials sababu it is not natural....

Kipengele cha tatu kinahusu anal sex yenyewe. I wouldn't want to go in detail here... May I just suggest that you deepen your knoweledge about anal sex? Kumbuka, kuna heterosexuals wengi wanashiriki anal sex na hawatengwi na jamii for choosing "the wrong hole". only ikiwa same sex ndio inakua sababu ya kunyanyaswa, kutengwa na sometimes kuuwawa.
If sex was to be 100% "natural", why is the sex industry prospering so much? with all these original toys and funny accessories?
 
incest? (Sexual Offences Special Provision Act, 1998)
Asante mkuu. I was not aware of this. Hata hivo this would make more sense than condemning homosexuality sababu hii inaweza kuleta hasara katika taifa pale recessive genes zinapo kutana tena (wataalam wa biologia watukumbushe). Ila sioni homosexuality inahasara gani kwa taifa.
 
Sijafurahia the way anajaribu kutumia misaada kama justification ya kukubali kua homosexuality is a right (right to chose the sexuality we want). Hapa I agree with you, empowerment is a process, na mtu hawezi kua empowered kwa namna US na UK wanataka kulazimisha. waache Africans tu-deal na mambo yetu at our own pace. But this struggle must continue untill all humans a free and equal.
Mwali kama uko kichwani kwangu.....
 
Last edited by a moderator:
Mwali are you saying homosexuality is decent? Are you saying it is a natural act? Please on what basis?
AshaDii, si mtu anazaliwa, anakuwa mkubwa bila kufanya modification yoyote anapendelea watu wa jinsia yake. Hajafanya sugery, wala hajaenda kwa mchungaji, just natural flow za feelings zake, sasa utasemaje kama sio natural? Kwa mfano wewe unavutiwa na watu wa jinsia nyingine from day go - naturally au ulifanya something:)
 
Halafu sijui hiyo NATURAL ya AshaDii anatumia vigezo gani
kwa nini dildo, strap, funny rabbit viwe natural kuliko anal sex?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM

Mpaka sasa hivi sijaelewa hizi kelele zinazosema kuwa homosexuality is against African tradition and god knows what! Hivi ni kweli Africa hakuna homosexuals? Natural or unnatural, nani anapita kwenye bedrooms za watu na kuhakiki who is doing from this side and not from the other? People are doing despicable things when in thier bedrooms but the minute they put on thier sunday best ghafla unasikia, "sio mila zetu" au "mambo ya shetani'. Wanawake wangapi wanageuzwa? Natural? Na kama najifungia ndani kwangu hata nikiamua kuimba na kuku au nikaamua kunywa maji pipa zima kwa raha zangu kuna shida gani?

Ninachoona hapa is that we are trying to be whiter than white. Homesexuals wako kila mahali na mbaya zaidi because the society yetu imekazana kusema ni ushetani, basi wengi wameoa/wameolewa, so mchana wanafanya upande huu then jioni upande mwingine. It is madness! Na hakuna kitu kinaniudhi kama hiki cha wanasiasa kuwa so quick to act kwa mambo ya bedroom za watu while keeping a blind eye on bigger issues.
 
FMJ, kwa sasa hili suala la homosexuals linatumika kama diversionn au njia ya kujisafisha
every politician who want to avoid real debates anatumia LGBT kwa kupumbaza umma
Kumbuka pale Cameron alipo lipua bomb lake Perth when he was actually mocquing the LGBT (link)
Pia Obama ametoa position yake kuhusu gay marriage baada ya kuishiwa hoja kwenye economy
Na sasa huyu mama anataka kuonesha 'quick wins' kwa kuamsha hii debate bila kusema how they will become
sustainable na kujitegemea bila kupitia hizi conditional aids zenye kutudhalilisha

Ingekua we are as passionate as this when it comes to debating about things that matter
au kutoa mtazamo wetu kuhusu ardhi, viti maalum, katiba, kodi, posho, ufisadi na mengineyo
nadhani tungepeleka nchi hii mbele zaidi. wamesha ona hii debate inatupumbaza, na wanaitumia! AshaDii, look beyond their discourse!kumbuka hata haki za wanawake zilipingwa, na baadae kukubaliwa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Hii mada sidhani kama inahusu kama ushoga ni mila au sio mila ya kiafrika. Swala nilionavyo ni je, tukubali wazungu watupangie maamuzi yetu kutokana na hiyo "misaada" wanayotoa? Leo wanasema kama serikali za Africa hazitakubali kuruhusu ushoga basi watakata "misaada", je kesho watasemaje kama tutakubali kila wasemalo eti ilimradi tunataka "misaada"?

Ni fikra potofu kwa mwafrika kudhani eti kuvaa suti na tai ni ishara ya ustaarabu!
 
Hii mada sidhani kama inahusu kama ushoga ni mila au sio mila ya kiafrika. Swala nilionavyo ni je, tukubali wazungu watupangie maamuzi yetu kutokana na hiyo "misaada" wanayotoa? Leo wanasema kama serikali za Africa hazitakubali kuruhusu ushoga basi watakata "misaada", je kesho watasemaje kama tutakubali kila wasemalo eti ilimradi tunataka "misaada"?
Hapa hakuna ubishi, nakubaliana na wewe Askari Kanzu
Hatuwezi kubadili sheria zetu kwa sababu ya misaada yao
tubadili wenyewe sheria pale tunapo hisi hazijakaa sawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom