Malawi to Bashir: We will arrest you

Delta4

Senior Member
May 24, 2012
107
44
Africa Review*- Malawi to Bashir: We will arrest you

''Malawi President Joyce Banda has assured British Secretary of State for International Affairs-Andrew Mitchell that the country will arrest Sudanese President Hassan Omar Al-Bashir if he sets foot in the country.

Ms Banda said this in a closed door meeting with Mr Mitchell in Blantyre, settling the issues surrounding Malawi's position on the Sudanese President.

President Bashir is expected in Malawi next month, with other African leaders for the 19th Summit of the African Union.''

Read on. My vote for Hon.Martha Kaura is now quite uncertain.
 
Mama anakuja kwa nguvu, kahalalisha ushoga, anataka kuuza ndege na magari ya Gvt ili atumie tax/public transport... Sasa anamtaka Bashir hajui Wachina ndo wanamlinda.

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
huyu mama...anadefile Africa kabsa. Ndio maanake Mungu alisema na mkuu wa familia awe Mume, ukiaanza kuweka mwanamke mimi nashangaa tu. Kwa miezi miwili ashanikera na mimi si raia wa Malawi...labda kwao anapendwa lakini huyu mwanamkee...wacha tu...*hasara kwa africa* i will never advocate for a lady president
 
Hii sinema nzuri. Bashir atakuja kweli Malawi? Na other African leader wanamuunga mkono Bashir watafanya nini kama akikamatwa na huyu mama?
 
huyu mama huyu ndo maana mzee wangu Ngwazi Profesa Mbinguu wa Mutharika alimfukuza huyu..ana kiherehere sana
 
huyu mama...anadefile Africa kabsa. Ndio maanake Mungu alisema na mkuu wa familia awe Mume, ukiaanza kuweka mwanamke mimi nashangaa tu. Kwa miezi miwili ashanikera na mimi si raia wa Malawi...labda kwao anapendwa lakini huyu mwanamkee...wacha tu...*hasara kwa africa* i will never advocate for a lady president

livefire,

I know you are better than this posting that reeks of misogynist innuendos!
 
Last edited by a moderator:
livefire,

I know you are better than this posting that reeks of misogynist innuendos!

thanx for the faith mkuu and i can confirm to you that i am not a hater of women per se' or anything close to a chauvenist but this lady president has plainly let down Africa, compare her with Liberias president... /a clear contrast in leadership abilities/
One Request Ab Tichaz: Check Buykanagandi for psychotic disorders.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kasema kilichowashinda kina Kikwete; huyu mama ni mfano wa kuigwa wa kiongozi asiyeangalia maslahi mengine zaidi ya mtazamo wa nchi yake. KUna warrant ya kumkamata Bashir na inapaswa kujulikana kuwa hata akija Tanzania itabidi atiwe pingu. Huyu mama kasema kilichowashinda wengine.
 
... huyu mama ni mfano wa kuigwa wa kiongozi asiyeangalia maslahi mengine zaidi ya mtazamo wa nchi yake. KUna warrant ya kumkamata Bashir na inapaswa kujulikana kuwa hata akija Tanzania itabidi atiwe pingu. Huyu mama kasema kilichowashinda wengine.

This comment is a saddening manifestation of the acute nativity of some Africans who accept the great lie that Eurocentric-ism and American-ism necessarily correspondents to African-ism. That their prescriptive ideologies no matter how they are clothed are necessary in African Interests. What shortsighted nonsense. And to make it worse, these shallow Africans may be in our Policy Bodies in Africa!! God save the African from the African!!

So the African new kid on the block, Banda, so shamelessly seeking to ingratiate herself to the Europeans, arrests Omar Bashir because a European-driven arrest warrant has been issued for his arrest. and some Africans like Mzee Mwanakijiji applaud with equal blithe ignorance?? Disregarding of course that Policy and Political Structures of the Africans through the AU have advised directly the consensus decision of African Leadership that such be disregarded in the greater interests of Africa!! And than what happens to the Millions of Sudanese, Ugandans and Kenyans and CAR and Southern Sudanese and Ethiopians at the Borders of the Sudan when this essential building block (yes, Bashir) to the prevailing imperfect status quo is yanked out without creating an alternative in this structure? Eh? And only so that Africans / Banda panders to the gratification of European interests? And this barely fifty years since the enslavement of the Africans by the same Europeans figurative ended, after nearly a thousand years of enslavement!!

When will Africans revert to being Africans??
 
Is this English? Wewe Delta4 bado una kasumba nzito ya kikoloni ya kufikiria kuandika kiingereza kibovu ni ishara ya maendeleo. Ni afadhali huyo Mama Banda na mapungufu yake!
 
Mbona kasema kilichowashinda kina Kikwete; huyu mama ni mfano wa kuigwa wa kiongozi asiyeangalia maslahi mengine zaidi ya mtazamo wa nchi yake. KUna warrant ya kumkamata Bashir na inapaswa kujulikana kuwa hata akija Tanzania itabidi atiwe pingu. Huyu mama kasema kilichowashinda wengine.

Huyu mama kama kweli anapenda haki basi angekamilisha statement yake. Angesema kuwa "Omar Hassan Albashir, Tony Blair, George Bush, Condoleeza Rice, Colin Powell, etc, yeyote akitia mguu tu Malawi atamkamata" Kumtaja Albashir peke yake, na mbele ya Mwingereza si lingine bali ni kutaka sifa tu.

Pumbavu
 
mama anakuja kwa nguvu, kahalalisha ushoga, anataka kuuza ndege na magari ya gvt ili atumie tax/public transport... Sasa anamtaka bashir hajui wachina ndo wanamlinda.

sent from my nokia 3310 using tapatalk hd
wana nini cha ziada?
 
Huyu mama kama kweli anapenda haki basi angekamilisha statement yake. Angesema kuwa "Omar Hassan Albashir, Tony Blair, George Bush, Condoleeza Rice, Colin Powell, etc, yeyote akitia mguu tu Malawi atamkamata" Kumtaja Albashir peke yake, na mbele ya Mwingereza si lingine bali ni kutaka sifa tu.

Pumbavu
Kwani ICC ishatoa arrest warrant against Blair, Bush, Rice and Powell? Hivi ina maana anachofanya Bashir kule Darfur na South Sudan ni something African? Maana inawezekana uzalendo wa rangi ya ngozi unatusumbua baadhi yetu kiasi kwamba mwafrika akitenda makosa ya kijinai tunamtetea kwa sababu wazungu wanasema huyo akamatwe. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kwa mfano, "kaburu ni kaburu tu hata kiwa mweusi kama mkaa. Kama ni mbaguzi wa rangi ni kaburu tu" Sasa na mimi nasema mtuhumiwa wa makosa ya kivita ni mtuhumiwa tu hata akiwa wa dark blue ni mtuhumiwa anayepaswa kukamatwa na kufikishwa mbele ya sheria. Bravo Ms Banda!
 
Si yeye jamani ni msukumo toka kwa Donors!
Naona uyu mama yuko ktk hali mbaya sana kifedha such that kwa sasa kila kitu ni ndio wazee.
Ila ile ya ucameroun nimemind sana
Settle mama ni upepo tuu utapita!
 
huyu mama...anadefile Africa kabsa. Ndio maanake Mungu alisema na mkuu wa familia awe Mume, ukiaanza kuweka mwanamke mimi nashangaa tu. Kwa miezi miwili ashanikera na mimi si raia wa Malawi...labda kwao anapendwa lakini huyu mwanamkee...wacha tu...*hasara kwa africa* i will never advocate for a lady president

Ndugu, times change...ulikuwa hujui hilo? Malawi ni nchi ya comedians...alinza Kamuzu, akaja Bakili, mara Bingu na sasa huyu Mama anayeruhusu ushoga.
 
Nyie wakenya acheni kuifanya africanism kuwa sawa na kutetea maovu. Mtu anafanya mauaji ya watu, akitaka kukamatwa nyie mnasema hiyo ni anti-africanism.
Kusema kwenu hivyo nadhani kunatokana na baadhi ya viongozi wenu wa kikabiliwa na mashitaka Kama ya Bashir huko ICC. Kwa hiyo mnadhani mkihalalisha kukamatwa kwake itakuwa ni sawa na kuhalalisha kukamatwa kwa hao wakenya wenzenu. Kumbukeni kwamba binadamu wote wana haki ya kulindwa dhidi ya uonevu na mauji ya kimbali yanayofanywa na wanasiasa Kama kina Bashir, Ruto, Uhuru, nk.
 
And than what happens to the Millions of Sudanese, Ugandans and Kenyans and CAR and Southern Sudanese and Ethiopians at the Borders of the Sudan when this essential building block (yes, Bashir) to the prevailing imperfect status quo is yanked out without creating an alternative in this structure?
Nani kakwambia bila Bashir hao watu hawataishi? Na, nani kakwambia Bashir hawezi kuwa replaced? Dhana za kale za kijima za Waafrika, kwamba mtu mmoja tu ndio anaweza kuwaongoza milele na milele!
 
Mbona kasema kilichowashinda kina Kikwete; huyu mama ni mfano wa kuigwa wa kiongozi asiyeangalia maslahi mengine zaidi ya mtazamo wa nchi yake. KUna warrant ya kumkamata Bashir na inapaswa kujulikana kuwa hata akija Tanzania itabidi atiwe pingu. Huyu mama kasema kilichowashinda wengine.

...Yeah, may be ni shujaa kwa sababu anajidhihirisha hadharani jinsi anavyopenda kuwanyenyekea Mabwana Wakubwa wa nchi za Magharibi, Rais mwenye akili angeli-twist hili na sio kujivua nguo hadharani kama alivyofanya huyu Mama...

...Huyu Mama ni either hakujiandaa wala kuandaliwa kuwa Rais au hana kabisa uwezo wa kuongoza nchi, bure kabisa, ni aibu sana kwa Wamalawi kuwa na Rais kondoo kama huyu, naamini kwenye uchaguzi ujao hatarudi huyu, vyovyote itakavyokuwa Atupele Muluzi, atakuwa ni afadhari kuliko huyu...

Malawi warns Bashir of arrest at summit

AFP PHOTO Malawi's President Joyce Banda holds a press conference in Lilongwe on April 6, 2012.
By REX CHIKOKO NATION Correspondent
Posted Monday, June 4 2012 at 17:07

LILONGWE, Monday

Malawi President Joyce Banda has assured British Secretary of State for International Affairs Andrew Mitchell that the country will arrest Sudanese President Omar Al Bashir if the enters the country. President Banda told Mr Mitchell during a closed door meeting in Blantyre that there was need to iron out issues surrounding Malawi's position on Bashir.

She is said to have told Mr Mitchell that she has made it clear to the AU that President Bashir will be arrested if he comes to Malawi for the 19th Summit of the African Union.President Bashir is expected to be in Malawi in July, with other African Presidents, for the summit.

Initially, Malawi sought the help of the Africa Union to convince President Bashir not to come to the summit, however the AU Commission said it had no mandate to stop a president of a member country from attending a summit. In October last year, President Bashir visited Malawi to attend a Comesa summit and the country attracted international condemnation for failing to arrest him. He is wanted by International Criminal Court (ICC) to answer cases of human rights abuses against his people.

Mrs Banda has said Malawi would have to "seriously take into consideration the economic repercussions of hosting President Bashir." "Malawi is already going through unprecedented economic problems and it would not be prudent enough to take a risk by allowing one person to come and attend the summit against much resistance from our cooperating partners and donors," Banda told a news conference.

She said a decision by her predecessor the late Bingu wa Mutharika last year to allow Bashir to attend the summit had cost her country $350 million in US aid. The fund was meant to develop power supply, she said. Ms Banda however said Sudan can assign a representative to the summit.

Mrs Banda, who took over power following Mutharika's death last month, has moved swiftly to try restore donor confidence and vowed to address concerns previously voiced by key lenders.
 
Back
Top Bottom