Malawi, Tanzania border talks kickoff, Chiume warns experts to avoid 'careless talk'

Mimi naamini hata wakati ule Kamuzu Banda alipomletea Nyerere ramani halafu Nyerere akaishia kumkejeli bila kutoa wazo lolote, ingekuwa ni sasa hivi na JF ipo ninaamini watu wangeshuka na Nyerere bila kumuonea haya kama wanavyoshuka na JK sasa.

Wasomi wa siku hizi wanachallenge kubwa sana! Tofauti na zamani ilikuwa lazima uende maktaba au uwe na vitabu kwenye study room yako, urambe kidole kupekechua kurasa, siku hizi una-access info popote pale na wakati wowote ule

Natena unacompare na ku-contrast notes za waandishi mbalimbali. They say "if it's not on google it doesn't exist". Google imerahisisha ku-share knowledge. Tafakari kila mtu angekuwa na blog yake ana-share chochote anachojua!

Angalia Nyerere hakuwa na msimamo thabiti kwenye suala la umiliki wa ziwa Nyasa. Mwanzo alisema ni mali ya Wamalawi na Kawawa aka-echo cuz that was what Kawawa does best to relay Nyerere ideas unquestionably

Nyerere alipokuwa anahutubia shule fulani huko Iringa ndo akabadili msimamo na kusema mpaka kumbe uliamishwa kumbe ushawahi kuwa katikati

We have people in here sharing wonderful knowledge. JF is a site I can't do without thesedays. Binadamu tuna kasumba of wanting to establish that "you heard it first from me" and that's what makes information dissemination very easy and fast
 
Mkuu,

Hata kule Iringa alikotamkia hillo kwenye RED, si kwamba alifanya research bali alinong'onezwa na Waziri mmoja wa Malawi mmoja aliyefukuzwa na Banda akatorokea huku TZ na kuja kumnong'oneza hayo.

Na Nyerere baada ya kunong'onezwa naye akatangaza hivyo na ndiyo maana hata hiyo hotuba yake hapo Iringa alitumia maneno "I am told that the boundary was altered by Britain during declaration of Rhodesian Federation".

Hebu ona maneno aliyotumia {...I am told..}. Hivi Nyerere aliyekuwa mpekua vitabu kuliko mtu yeyote kweli ufikie hatua ya kutamka decision kulingana na mtu alivyokunong'oneza? Si ndiyo maana jambo hili limetufikisha hapa tulipo!
 
Wana-JF,
Mimi naamini hata wakati ule Kamuzu Banda alipomletea Nyerere ramani halafu Nyerere akaishia kumkejeli bila kutoa wazo lolote, ingekuwa ni sasa hivi na JF ipo ninaamini watu wangeshuka na Nyerere bila kumuonea haya kama wanavyoshuka na JK sasa.

Unaamini hearsay alafu unataka kutuaminisha sisi wote....:hat:
Je hizo hati za mpaka zikitolewa huko mzuzu na watalaam wa Tanzania utaficha wapi ID yako?
 
Nikupateje, hao watanzania hawakutumwa kuitoa sehemu ya ziwa letu nysa kwa wamalawi, uelewe kuwa kikwete alisema "sijatangaza vita" na ni kweli hajatangaza vita, na mamlaka ya kutangaza hiyo vita anayo, mkileta kichwa ngumu tutawamalizia hasira machungu ya kunyanyaswa na CCM.

NI HERI WAMALAWI WASHINDWE MARA MOJA, KINYUME CHAKE WATASHINDWA MARA MBILI, i.e watapokea kipondo, na boda itakuwa katikati, wakati huo blantyre yamesalia magofu, na tutaondoka tukipenda.
Wacha story dogo, busara lazima zitumike hakuna haja ya vita tutapeleka kesi UN au The Hague kwa uamuzi wa kimataifa, vita ya nini????

Unaamini hearsay alafu unataka kutuaminisha sisi wote....:hat:
Je hizo hati za mpaka zikitolewa huko mzuzu na watalaam wa Tanzania utaficha wapi ID yako?

Balozi wetu huko Malawi kwenye facebook alisema mambo yanaenda vizuri kama PhD thesis na akasema atatumegea kamili ya kesho yake. Leo siku ya tatu yuko kimya.

Kikao cha Mzuzu kinaisha keshokutwa, tunza hii post yangu, tukutane humu jamvini Jumapili tuone ni nani atakayeanza kuvurumisha kejeli baada ya taarifa ya pamoja ya kikao.
 
Back
Top Bottom