Malawi stops talks with Tanzania on Lake Nyasa/Malawi Dispute




My Take:
Kuna kitu ambacho kinaendelea na Malawi inaonekana wanajipanga vizuri zaidi. Ina maana TZ itabidi iwabembeleze.

Miye nilitoa ushauri wangu; Tanzania ianze utafiti upande wake wa Ziwa Nyasa tuone Malawi itafanya nini? Na kwenda ICA hatuendi.
unaweza kufafanua hapo kwenye RED?
 
Malawi ni nchi huru unamamlaka ya kuingiza na kuingiza silaha kupitia nchi yeyote jirani iwe anga, bandari na barabara Hata hapa tz wanaweza kupitishia silaha zao sio mpaka SA au unadhani silaha huagizwa kabla ya Kutangaza vita au baada ya Kutangaza vita?? JIULIZE ilo swali alafu unamwambie JK watz Hatutaki aibu wala dhulumati.

Nimejiuliza nimepata jibu kuwa vita si lelemama,na wakati wa vita mahitaji ya silaha huongezeka,na sioni bandari rahisi kwao zaidi ya Dar.Vita na Malawi kaka ni wiki mbili tu shughuli imekwisha.Hakuna kupata aibu wala hatudhulumu cha mtu.ile ni ardhi yetu
 
Back
Top Bottom