Malawi sends Tanzanian envoy home; is this the end of the fairy tale for TZ in SADC

Hawana ubavu huo wa kumfukuza Balozi wetu wakati wanategemea chakula kutoka Tanzania,kwani hawajipendi?
 
Mkuu Bukyanagandi, sijui professa mazrui alitamka nini labda unifahamishe. Watanzania na wamalawi wamekuwa wakizozania ziwa la nyasa, hii si siri na imekuwa kwenye habari muda mrefu. Malawi wanatafuta kuchimba gesi, kwa nini TZ inawapa wakati mgumu kwa kuwadhulumu kidiplomasia? Kenya haina chuki na TZ na hiyo ni hadithi zenu mumetunga wenyewe kutoka jadi. Watanzania miaka hii yote wanaonekana werevu sana. Je! inawezekana mtu kuweza kujinyoa kisogo? Ni vigumu. Hamjui kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania na malawi kwenye macho ya jumuiya ya kimataifa. Ninajua TZ ikimaliza kuzunguka na ikishindwa kuendesha shughuli zake mwishoe itarudi tu hapa AM tupange EAC yaani nyumbani.. lol au vipi

Super! hebu soma kwa umakini article hapa chini inayosema "Nyerere's militancy benefited AFRICA" when you're done rudi jamvini tuelimishane maana nimekwisha shuhudia mara kadhaa ukiandika post zinazo husu TANZANIA ambazo huwa hazina ukweli wowote. Malawi ilikwisha kanusha kitambo kwamba haija mfukuza Barozi wetu na wala hawana mpango wowote wa kufanya ujinga kama huo, actually mwandishi wa habari aliye eneza habari hizo potofu amekwisha funguliwa mashtaka MALAWI.

Sijuhi unapo sema eti tunadhulumu MALAWI natural resources zake huna maana gani? Si hilo tu hata ili la kusema Jumuiya ya KIMATAIFA inachukulia TANZANIA kama ni nchi korofi vile!!! Ebu tufafanulie tangu lini Tanzania ikawa at loggerheads na International Community per se au unafikili Watanzania tumesahau jinsi Kenya ilivyo wahi kushirikiana na Malawi katika harakati za kutaka kuchelewesha/sabotage uhuru wa Wafrica wenzao kusini mwa Africa.

Watanzania tunajua vile vile kwamba umbilical cord kati ya Malawi na Kenya bado hiko maintained mpaka leo ndio maana mnajaribu kutetea Malawi huku mkisingizia International Community. Nakushauri ujaribu kuangalia ramani inayo onyesha mipaka ndani ya ziwa Nyasa kati ya Mozambique na Malawi utakuta mpaka huko katikati ya ziwa ni logic gani iliyotumika kuweka mipaka kwenye ziwa hilo hilo kati ya Tanzania na Malawi - mtu gani mwenye akili timamu anaye weza kukubali double standard kwenye ziwa moja, deep down Wamalawi na wapambe wao wanajuwa kuwa mpaka unapaswa kuwa katikati ya ziwa kama ilivyo Msumbiji.

Mwisho nimalizie kwa kukushauri usome article below, specifically yenye RED ndio utaelewa/gundua ni kwa nini TANZANIA itabaki kwenye SADC block come rain or SHINE, oh yes tuna kila sababu ya kushirikiana na nchi tulizo wahi kuzipatia mafunzo ya kijeshi ya hali ya juu na kushirikiana nao bega kwa bega katika operation zao (overt na covert) hawa ni marafiki zetu wa DAMU. Inapokuja suala la EAC tutaendana nao hivyo hivyo mradi kunakucha si unajuwa msemo wa kiswahili usemao "Uwezi kuchagua upakane na NANI"

Nyerere's militancy benefited Africa

On January 26, 1996, Mwalimu Julius Nyerere, became the first recipient of the Mahatma Gandhi International Peace Prize awarded by the Government of India for the year 1995. Since then three prominent black icons have followed suit, Nelson Mandela in 2000, Coretta King in 2004, and Archbishop Desmond Tutu in 2005.

Two days after receiving the award in New Delhi, Nyerere met with Tanzanians at the residence of the Tanzanian High Commissioner to India, Ambassador Alfred Tandau. He surprised us that he had told Indian leaders that he was so grateful to have received the award because he did not at all deserve it.

He clarified that likening him to Mahatma Gandhi was imbalance because he, Nyerere, supported armed struggles in Mozambique, Rhodesia, and elsewhere. Correctly, Gandhi, the man who willingly lived in abject poverty, preached the philosophy of peaceful struggle, thus, Nyerere thought that award recipients ought to have emulated that philosophy wholeheartedly.

Undoubtedly, Nyerere was militant right from the beginning although the independence of Tanganyika made him President without bloodshed. In one incident on July 20, 1964 at the summit of the Organisation of African Unity (OAU) in Cairo, he underlined African problems in two fold; firstly, cleansing Africa of vestiges of colonial rule; and secondly, unity. Respectfully, in that speech he also testified how Tanganyika gave up its sovereignty to unite with Zanzibar.

On the issue of colonial rule, Nyerere said at the time that at least the British accepted that they had colonies in Africa, so it was possible to talk to them, but the Portuguese didn't accept the fact that they were colonizers who deserved to leave; they simply argued that Portugal extended to Africa in Angola, Mozambique and Portuguese Guinea (Guinea Bissau). Nyerere said: "In the case of these three colonies, fine words will not do."

After elaborating a bit, Nyerere noted: "My plea here, therefore, is for action; action to free the Portuguese colonies." Then later added: "Mr Chairman, we must act. We have the means to liberate Angola, Mozambique and Portuguese Guinea." In effect, he was declaring a war leaving other cowards shocked. That was Nyerere in 1964, a few years after opening military training camps for Mozambican and South African freedom fighters in Tanzania.

Fast forward to November 1978 after Ugandan madman Idi Amin made the terrible mistake of invading Tanzania, Nyerere sounded exactly the same. He declared: "We have the means to punish Amin; we have the reason; and we have the will to punish Amin." The rest is history, but surely, on April 11, 1979, Tanzanian troops overthrew the delusional buffoon.

On another occasion in 1978 before Tanzanian troops responded to Amin, Kenya offered to mediate, but instead Nyerere told them to close the port of Mombasa for Amin or else keep quiet. Several African leaders including the then Chairman of the OAU, Sudanese President Jaffery Nimeiry, flew to Dar es Salaam or sent their peace envoys to ask Nyerere to spare Amin, but he insisted that murderous Amin must be punished for what he had done unless he withdrew from Tanzania, pay for the damage and vow to never attack Tanzania.
Perhaps more details about Nyerere's militancy occurred between that 1964 summit and the 1978/79 war with Uganda.

Tanzania under Nyerere trained freedom fighters from South Africa, Namibia, Mozambique, Angola, and Zimbabwe, but more interestingly, is the fact that Nyerere sent Tanzanian troops to fight in some of these countries, particularly Mozambique. Tanzanian troops returned again to Mozambique to fight the RENAMO insurgency in the early 1980s.

The two island states of Comoro and Seychelles were other places where Tanzanian troops fought successfully in 1975 and 1977 to help overthrown leaders stay in power, and additionally, conducted some type of clandestine missions in Burundi, Rwanda, Zambia and the former Zaire.

Some authors like Simon Baynham in his book, Military Power and Politics in Black Africa, have given justice to what Nyerere did on the continent.

At one time in the late 1960s he nearly fought with Malawi over the Lake Nyasa border dispute, but President Kamuzu Banda wisely smelled a rat. With neighbouring Kenya, nothing happened, but in the early 1980s Kenya was so worried that its government asked for military assistance from the United States as one retired US Air Force pilot narrated to me a while ago.

No wonder that Kenyan scholar, Prof Ali Mazrui, said this after his death: "He gave Tanzanians a sense of national consciousness and a spirit of national purpose. One of the small countries in the world found itself to be one of the major actors on the world scene."

Yes, as we mark 13 years of his demise, we ought to remember the bravery of Nyerere despite his shortcomings in other areas.

By Mr.Matinyi
 
i don't see how malawi can lay claim to an entire lake when it lies on a border region, even so tanzania will have a hard time due to some stupid colonial agreements and treaties. just look at the nile treaty where egypt stupidly claimed rights to the whole nile and its sources and declares it will go to war for it. Colonial era deals are usually a mess e.g look at Kenya and south sudan, illemi triangle now that oil has been discovered in the region south sudan wants it. Considering that the Kenyan map has had it from independence.
I don't know how Tz will deal with the issue but this is going to be a tricky affair, if it comes to war which i doubt it will Malawi will have no chance. i think thats why Banda has been trying to woo the west. recently didn't she just say that she will legalize homosexuality and fight for gay rights including Gay marriages. She seems to do everything she is told like a puppet. If things escalate, i think Tanzania will need to get a big brother from a powerful state to side with them on this issue, like Russia or china who have similar boundary disputes issues. If they don't, diplomatically Malawi will beat you. If the western bastards decide to finish you off they use selective sanctions just look at what they did to Iran and Zimbabwe.

As for the comments on SADC what do Kenyans care if our brothers from TZ are in SADC or not that is non of our concern. we are also in COMESA and Tz is not each country looks for ties that will suit them

When it comes to talking on the elemi triangle, I am always sad that Kenya would let go of the triangle. When you look at the triangle on the map there is a red line that divides the whole triangle to sudan. Mzee Jomo would not allow such to happen. wakati mwingine dictatorial regimes are good. Look at Nyerere's dictatorship and bravery where he had a presence upto Zanzibar by installing Abed Karume not forgetting the Kagera war and other machinations in DRC Angola and Mozambique. He gave TZ a sense of purpose. What is the status of the elemi triangle mkenya1987 have we lost it?
 
Last edited by a moderator:
Kenya inatetea malawi !what bullshit is this most kenyans or even the kenyan government don't even know about this tiff between malawi and Tz so don't drag us into your issues OK if you have a bone to pick with them don't mention us and try to pick a fight. has the kenyan government even stated its position. For those of you just wanting to spew your hate endeleani and next time check your facts JF is a place for great thinkers not guessers na siku gani tumetetea malawi i doubt that the words malawi have ever come for the presidents mouth or even the ministry of foreign affairs. Even in the local daily this issue would merely pass as a small column at the back of the newspaper. this piece of advice is for bukyanagandi
 
Kuna rais hapa AM alianza hizi siasa za Migingo sijui kama ni yeye alibuni hizi siasa au vipi. IMHO naona Malawi wawachiwe nafasi ya kutafuta gesi kwenye ziwa iliyo katika sehemu ya mpaka wao. JokaKuu it is very unfair kwa malawi kushindwa kuchimba gesi kwao kwa kutumia an 1890 treaty
Kabaridi,

..but our brothers in Malawi claim that the Heligoland treaty gave them the rights to the entire lake Nyasa/Malawi.

..on the other hand, Tanzania tuna argue kwamba tuna right to the half of the lake where we share the border with Malawi.

..IMHO, this issue should to be referred to International Court of Justice, the same way Nigeria and Cameroun did in resolving their dispute on the oil rich Bakasi peninsular.
 
Kabaridi,

..hii habari imekanushwa.

..with regards to Malawi, wao siyo waanzilishi wa SADC.

..niliwahi kukwambia kwamba SADC ilitokana na FRONTLINE STATES.

..wakati wa Frontline states wako pamoja na freedom fighters, Malawi, Kenya, and Zaire[Mobutu], walikuwa upande wa Apartheid South Africa.

..sasa hivi Malawi ni members wa SADC lakini hawako-comfortable kuhusu ugomvi huu wa mpaka kuwa-mediated within SADC. Hiyo inatokana na historia yao mbaya huko zamani wakati wa Frontile States.

..Kenya, Malawi, and Apartheid South Africa, ndiyo walikuwa suporters wa RENAMO.

NB:

..maoni yangu ni tatizo hili liamuliwe na Internation Court kama walivyofanya Nigeria na Cameroun kuhusu eneo la Bakasi.

..kama wa-Tanzania tukishindwa huko, basi turudi AU na SADC tupige magoti kwamba wananchi wetu waruhusiwe kutumia maji ya lake Nyasa kwa shughuli za uvuvi na usafiri.

Watanzania wakipitia hii post yako lazima watakuita Mmalawi. Kuna mdau keshaniambia ananimonitor very closely kwa kuandika opinion ya dizaini hii.
 
Kuna watu hawajui Tanzania has more support in SADC than Malawi as a founder state and good historical and current relations with the members there! Malawi has no good terms to any of African organisations be it SADC or AU! so u Kenyans stop drumming nonsense ati Tanzania is an outsider in SADC! Why then is Malawi refusing SADC mediation if it is an insider? Why is it feeling uncomfortable?
 
EMT,

..hao waliokutuhumu kwamba wewe ni Mmalawi ni wale wanashauri tutumie nguvu.

..sasa kama tunajiandaa kutumia nguvu we need to pump ourselves up kwamba lazima tushinde.

..kwa upande mwingine tukitumia approach[african/sadc mediation] anayopendekeza waziri Membe, bado kuna posibility ya kushinda au kushindwa.

..lakini kwa jinsi msimamo wa Malawi ulivyo sioni ni jinsi gani suala hili litatatuliwa nje ya ICJ.

..Nadhani Malawi hawaziamini nchi za Kiafrika au jumuiya za Afrika kama AU na SADC kutokana na imani yao kwamba Tanzania has a strong influence kwenye nchi au vyombo hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Gangi Longa,

..my reading ni kwamba baadhi ya Wakenya hapa JF wanaichukia SADC kwa sababu they believe kuwa ndiyo inayotupa wa-Tanzania kiburi/guts/leverage ya kukataa masuala ya EAC.
 
EMT,

..hao waliokutuhumu kwamba wewe ni Mmalawi ni wale wanashauri tutumie nguvu.

..sasa kama tunajiandaa kutumia nguvu we need to pump ourselves up kwamba lazima tushinde.

..kwa upande mwingine tukitumia approach[african/sadc mediation] anayopendekeza waziri Membe, bado kuna posibility ya kushinda au kushindwa.

..lakini kwa jinsi msimamo wa Malawi ulivyo sioni ni jinsi gani suala hili litatatuliwa nje ya ICJ.

..Nadhani Malawi hawaziamini nchi za Kiafrika au jumuiya za Afrika kama AU na SADC kutokana na imani yao kwamba Tanzania has a strong influence kwenye nchi au vyombo hivyo.

Ni kweli. Sidhani kama Malawi watakubali mediator anayetoka kusini mwa Afrika. Vingenevyo, watakuja kusema alikuwa bias. Kwa kifupi we don't have what we can call a "political" enemy in Africa. Hata Wakenya wanajua hili.Ndiyo maana unaona hata hii thread inajadiliwa kwenye jukwaa la Kenyan politics. Tunapendwa mpaka kule Machakos. :)
 
Super! hebu soma kwa umakini article hapa chini inayosema "Nyerere's militancy benefited AFRICA" when you're done rudi jamvini tuelimishane maana nimekwisha shuhudia mara kadhaa ukiandika post zinazo husu TANZANIA ambazo huwa hazina ukweli wowote. Malawi ilikwisha kanusha kitambo kwamba haija mfukuza Barozi wetu na wala hawana mpango wowote wa kufanya ujinga kama huo, actually mwandishi wa habari aliye eneza habari hizo potofu amekwisha funguliwa mashtaka MALAWI.

Sijuhi unapo sema eti tunadhulumu MALAWI natural resources zake huna maana gani? Si hilo tu hata ili la kusema Jumuiya ya KIMATAIFA inachukulia TANZANIA kama ni nchi korofi vile!!! Ebu tufafanulie tangu lini Tanzania ikawa at loggerheads na International Community per se au unafikili Watanzania tumesahau jinsi Kenya ilivyo wahi kushirikiana na Malawi katika harakati za kutaka kuchelewesha/sabotage uhuru wa Wafrica wenzao kusini mwa Africa.

Watanzania tunajua vile vile kwamba umbilical cord kati ya Malawi na Kenya bado hiko maintained mpaka leo ndio maana mnajaribu kutetea Malawi huku mkisingizia International Community. Nakushauri ujaribu kuangalia ramani inayo onyesha mipaka ndani ya ziwa Nyasa kati ya Mozambique na Malawi utakuta mpaka huko katikati ya ziwa ni logic gani iliyotumika kuweka mipaka kwenye ziwa hilo hilo kati ya Tanzania na Malawi - mtu gani mwenye akili timamu anaye weza kukubali double standard kwenye ziwa moja, deep down Wamalawi na wapambe wao wanajuwa kuwa mpaka unapaswa kuwa katikati ya ziwa kama ilivyo Msumbiji.

Mwisho nimalizie kwa kukushauri usome article below, specifically yenye RED ndio utaelewa/gundua ni kwa nini TANZANIA itabaki kwenye SADC block come rain or SHINE, oh yes tuna kila sababu ya kushirikiana na nchi tulizo wahi kuzipatia mafunzo ya kijeshi ya hali ya juu na kushirikiana nao bega kwa bega katika operation zao (overt na covert) hawa ni marafiki zetu wa DAMU. Inapokuja suala la EAC tutaendana nao hivyo hivyo mradi kunakucha si unajuwa msemo wa kiswahili usemao "Uwezi kuchagua upakane na NANI"

Mkuu ninakubali yote aliyosema Prof Mazrui kuhusu Nyerere. Ni kweli umbilical cord ya malawi na kenya bado iko intact kwasabau hata bendera zao unaona kuwa zimefanana. Tena ninaheshimu sana Nyerere aliyofanya kwa kuwapatia watanzania self-determination ya hali ya juu ikija kuhusika na masuala ya TZ.

Sikusema TZ na Internationtional community are at loggerheads kwasababu hakuna kipindi international community wamekuwa na interest sana na Afrika kuliko kipindi Nyerere alipokuwa uongozini. Yale Nyerere alifanya katika bara la Afrika kusini ni mengi kiasi ya kuvuta interest ya international community kujihusisha sana na Afrika. Lakini wakati huo umepita na swali leo itakuwa, kati ya malawi na Tanzania who is more of a darling to the west now? Nani atazungumza apewe sikio?

"Uwezi kuchagua upakane na NANI"

Hapa ni kweli ulichosema it was never a mistake TZ na kenya kupakana. Kwa hivyo tuwache kunyoosheana vidole.:biggrin::tongue::biggrin:
 
Thread false, fact check your information before posting.
 
Kenya inatetea malawi !what bullshit is this most kenyans or even the kenyan government don't even know about this tiff between malawi and Tz so don't drag us into your issues OK if you have a bone to pick with them don't mention us and try to pick a fight. has the kenyan government even stated its position. For those of you just wanting to spew your hate endeleani and next time check your facts JF is a place for great thinkers not guessers na siku gani tumetetea malawi i doubt that the words malawi have ever come for the presidents mouth or even the ministry of foreign affairs. Even in the local daily this issue would merely pass as a small column at the back of the newspaper. this piece of advice is for bukyanagandi

Oh that! Please revisit my post, I didn't say most, I said some. Nakushauri usome tena article inayohusu "Nyerere's militancy benefited Africa" unaweza kunihakikishia kwamba perception yenu ya YESTERYEARS kuhusu Malawi imebadilika?? Kama mliwahi kushirikiana nao kijeshi kuwasaidia RENAMO na Savimbi kuleta vurugu kusini mwa Africa - Itakuwa mambo ya mipaka kati ya Tanzania na Malawi bwana! Who're U kidding? Kumbuka kuna mambo mengine mengi yanafanyika in CAMERA mkuu. The paper seems to reduce me here, but all the same thanks 4 your piece of advice.
 
Kabaridi,

..IMHO, this issue should to be referred to International Court of Justice, the same way Nigeria and Cameroun did in resolving their dispute on the oil rich Bakasi peninsular.

I am afraid for you jokakuu and crew if you go the ICJ route because there is a high possibilty that you might loose and the only way is through round table agreements. The europeans now ironically do not honour their 19th century imperial treaties
 
dada usiogope kenya iko tayari kuisaidia tanzania katika hii miangaiko msiogope. kenya haitakubali kamwe tanzania kuendelea kutumiwa kama kifagio au watumwa wa sadc.kenya itaiokoa tanzania

Teh teh teh........ huyu anaongea nini ati?

Kama mnataka kujipenyeza SADC ili tuwe meza moja na sisi (maana mnajua mapenzi yetu yalivyo kuelekea SADC ukilinganisha EAC) leteni maombi tutawafikiria...... lakini shida yenu kubwa ni kuwa historia inawahukumu...... mlikumbatia apartheid......

Na ndicho Malawi kinachowagharimu...... walikumbatia apartheid..... na ndiyo maana tukizuia bandari ya Dar hawana njia... najua wewe utasema si watatumia Beira.... Sasa kwa taarifa yako Msumbiji wanauchungu na Malawi kuliko sisi Tz..... maana iliwasaidia Renamo bila soni.... hivyo hawataki kabisa kuisikia Malawi..... walikuwa vibaraka wa Makaburu kama mlivyo(kuwa) ninyi Kenya....

Back
Top Bottom