Malawi kuchunguza utajiri wa Mutharika

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Serikali ya rais Joyce Banda imetangaza kuwa itachunguza utajiri wa mtangulizi wake Bingu wa Mutharika. Hii imetokana na shinikizo la asasi zisizo za kiserikali kutaka utajiri wa Mutharika uchunguzwe maana alionekana kujichumia utajiri wa kutisha kwa kipindi kifupi alichokuwa madarakani. Nadhani hili ni somo kwa watawala wezi. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.
 
huyu mama kaamua kuchunguza haya kwa sababu huyo aliyemtangulia alikua ni rival(mpinzani) wake. ikumbukwe kua huyu mama alishahama mpaka na chama tawala akaanzisha chama chake...wangekua wako wote pamoja na wamekula wote asingechunguza kitu....na huyu rais marehemu alishamchagua ndugu yake ndio achukue madaraka baada ya yeye kufa japokua hilo halikuwezekana kutokana na katiba ya nchi yao inavyosema... Huyu Maza atulize boli anakuja kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom