Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

Status
Not open for further replies.
Really now?..............then its on
"I am the Commander-in-chief and have not given any order for military action. I therefore would like to reassure our people that we have no plans to go to war with our neighbours over this or any other issue that can be resolved diplomatically," Jakaya Kikwete

I really hate this kind of idiocy & hypocrite behavior our so called "great leader" has!

Nakumbushwa wakati mgogoro huu unaanza the late Nyerere alimpiga biti yule rais wa malawi wakati huo na mambo yakawa mswano!

This time around watu wamejazwa ujinga wa udini wanapiga viberiti nyumba za ibada nchi ikiondoka!

Shame!
 
Sasa na hawa raia wahamiaji huku Tanganyika itakuwaje? Maana wako wengi na wamekuja kutafuta kipato, bila kusahau watoto wawili wa rais wanasoma Malawi.
 
Na hawa wafanyakazi wetu wa majumbani WANYASA tuwafanyaje? Maana mimi tokea huu mgogoro umeanza hata chakula akipika Dada Agnes(Maid Mnyasa) huwa akili haitulii.
 
wewe hujui unachokiongea zaidi ya kupayuka tu, kukupa tu habari za haraka Gadafi alianza kuwakana waarabu, halafu wazungu na idea zake ndio zilikuwa tishio kwa unyonyaji wa mzungu tatizo lako udini. Tusije kutoka bure kwenye mada at hand, hila acha kuropoka hovyo.

Hapo kwenye red; kwa hiyo kuwakana waarabu wenzake ndio inampa legacy kwamba ni shujaa au mzuri sana? Bora mwenyewe umeanika utupu wake; kama aliwakana walio wake unadhani angekuthamini sana wewe kinyago cha mpingo zaidi ya kuwa na ajenda zake za kipuuzi? Ahangaike kwa mateso makali katika Jehanam ya moto - Amen.
 
Ni wakati wa kuimba ule wimbo,,, Banda wa Malawi,,,katuvalia ngozi ya simba,,kututishia watanzania,,hatujali,,hatujali...

Au ni upepo utapita tu??!
 
Sasa na hawa raia wahamiaji huku Tanganyika itakuwaje? Maana wako wengi na wamekuja kutafuta kipato, bila kusahau watoto wawili wa rais wanasoma Malawi.

Mkuu sisi ndio tuko wengi huko kwao kuliko wao walivyo kwetu! Umezingatia hilo pia?
 
I really hate this kind of idiocy & hypocrite behavior our so called "great leader" has!

Nakumbushwa wakati mgogoro huu unaanza the late Nyerere alimpiga biti yule rais wa malawi wakati huo na mambo yakawa mswano!

This time around watu wamejazwa ujinga wa udini wanapiga viberiti nyumba za ibada nchi ikiondoka!

Shame!

Ndugu yangu jinsi mambo yalivyo si tumebaki watizamaji tu? Rais wetu anaonesha ana muelekeo hata wa msukumo kutoka kwa wananchi wake? Atleast nchi zingine wananchi wakitoa misimamo yao kwa sauti moja basi utaona uelekeo wa Commander in Chief uko unaendana na matakwa ya wananchi husika................sasa tutazame tu sijui mwenyekiti wa kamati ya usalama mara waziri wa mambo ya nje kila moja aseme lake.
 
Hii habari ni ya uwongo na ni ya kutunga kabisa. Gazeti hili linajulikana kwa kuandika habari za kumdhalilisha Rais Joyce Banda. Ni gazeti linalomilikiwa na Peter Mutharika wa chama cha upinzani cha DPP.
 
Hii habari ni ya uwongo na ni ya kutunga kabisa. Gazeti hili linajulikana kwa kuandika habari za kumdhalilisha Rais Joyce Banda. Ni gazeti linalomilikiwa na Peter Mutharika wa chama cha upinzani cha DPP.
La msingi kungekuwa na watu wapo karibu na balozi wa tz huko malawi wangewasiliana ili ijulikane moja
 
Sijui kwanini huwa tuna jipa mstumaini ya kuishinda Malawi. Wengi mnaangalia udogo wa malawi eti hauwezi ku-accomodate vifaru! Sa sijui udogo wa nchi unauhusiano vp na uwezo wa kivita.
 
Ni wakati wa kuimba ule wimbo,,, Banda wa Malawi,,,katuvalia ngozi ya simba,,kututishia watanzania,,hatujali,,hatujali...

Au ni upepo utapita tu??!

Mkuu leo niliimbiwa huu wimbo na nikapewa brief history ya kilichotokea kwa kweli Mwalimu alikuwa Nguzo! Alifahamu nini antakiwa kufanya na kwa wakati gani!
 
Mi naona sasa ni muda muafaka umefika kabisaaa,nahisi huyu Mmama anaona Tanzania yetu ya Amani imelala kihivyo,ni juzi tu tumeshuhudia lile group magari ya kazi ikielekea huko,Ningependa kujua ya kwmb hii serikali ya Malawi haijui ya kwmb Nchi yetu ni ya tano kwa ubora wa Jeshi hapa Africa? Mi nahisi haujui. Ngoja tusikie Mkuu wa Majeshi kauli yake!
 
La msingi kungekuwa na watu wapo karibu na balozi wa tz huko malawi wangewasiliana ili ijulikane moja
Tayari tumeongea na balozi na tukaweka kwenye 1st post update.

Amekanusha yeye kupewa masaa 48 akasema Malawi Voice wamezusha!
 
Sijui kwanini huwa tuna jipa mstumaini ya kuishinda Malawi. Wengi mnaangalia udogo wa malawi eti hauwezi ku-accomodate vifaru! Sa sijui udogo wa nchi unauhusiano vp na uwezo wa kivita.
hey, mr bogus, hiyo nayo ni sababu kubwa sana. udogo wa malawi kwa malawi ilivyo na uchumi mdogo ni sababu kubwa na udhaifu ambao tunawweza kuuutumia kuishinda haraka sana. vifaru vyetu vitakaa tu mbinga na kyela na kuendelea na vita, wakati mikoa mikubwa ya kiuchumi inaendelea kama kawaida ktk shughuli za kiuchumi. matokeo yake, miji karibia yote ya malawi itasimama kiuchumi kwasababu ya vita, hivyo sisi tutaweza kupigana kwa muda mrefu kuliko wao ikizingatia kuwa pia kiuchumi hata kama sisi ni masikini basi malawi ni masikini zaidi yetu mbali sana. usilinganishe udogo wa israel na nchi za kiarabu hata kama hujataja hilo, israel ina vifaa na uwezo mkubwa kivita pamoja na uchumi. malawi ni dhaifu mno kiuchumi na kila kitu. hata kama malawi ingekuwa nchi kubwa sana kiuchumi, kwa position ilipo tungeweza tu kupigana nao...tunaweza hata kuwafuata hadi ikulu yao, lakini ni mmalawi gani atapigana kuvuka milima yooote ile hadi afike dsm ikulu?...uwezo wao ni mdogo mno na wanahitaji kupigwa. ndege yeyote au meli etc vikiingia eneo letu vinatakiwa kusambaratishwa mara moja kama demo.
 
palingi mtu mbili tu hamna mtu kuingilia mwaga mboga nimwage ugali malawi mtatafutana kwa tochi mchana kweupe
 
Mshamba kikwete hata padri nyerere hampati kwa hekima busara na umakini na uelewa wa mambo,
Mkatoliki nyerere aliacha haya matatizo bila ufumbuzi
Aliacha tatizo la zanzibar bila ufumbuzi kikwete akalimaliza
Aliacha burundi bila ufumbuzi kikwete akaliweza
Kenya aliwapatanisha
Comoro aliweza
Na malawi ataliweka sawa wakati huyo bwana wenu nyerere kaacha matatizo kwani hakuwa kiongozi mwenye busara aliamini kwenye nguvu
Hivo huyu mswahili wa bagamoyo atatua chia maelewano na malawi
Zidumu fikra za mwalimu! Na zidumae fikra za wagalitia


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hivi Kikwete ndiye aliyekuwa mpatanish Burundi baada ya kifo cha Nyerere? Na Mandela ndiye alikuwa akimbebea mikoba?
 
Watanzania kwa kipindi cha 2005-2015, tumepita, tunapita na tutapita katika kipindi/vipindi vigumu... Haya yote ni kutokana na huyu 'rais wetu' JK. Huyu jamaa ni tatizo, kama anavyodharaulika au anavyodharauliwa na wananchi wake, ndivyo hivyo hivyo kwenye uwanja wa kimataifa wanavyomdharau... Amekuwa boya kabisa, anafanya mambo kama mtoto mdogo. Mbona Lowassa alikuwa 'clear' kwenye hili swala?? Nimeamini 'mswahili' wa bagamoyo kichwani hakuna kitu...
Nawachukia enyi mnaa mtupia lawama zote baba yangu mdogo! Hivi yeye kama rais ulitaka afanyeje? Awapige mabomu wamalawi? si mnaona diplomasia inafanya kazi? hivi nyerere naye alikurupuka??? mbona alitafuta suluhu mpaka idiamini akatangaza kumuoa? kuweni makini mnapolaumu kila kitu, mi bado nayo imani na serikali ya Mh. Dr. JK!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom