Ati ndio mnataka kuunda AFRIKA MOJA na viongozi wenyewe ndio kama hawa..
Hivi hawa hawategemei bandari ya Dar es salaam kwa imports and exports?
wewe hujui unachokiongea zaidi ya kupayuka tu, kukupa tu habari za haraka Gadafi alianza kuwakana waarabu, halafu wazungu na idea zake ndio zilikuwa tishio kwa unyonyaji wa mzungu tatizo lako udini. Tusije kutoka bure kwenye mada at hand, hila acha kuropoka hovyo.Na marehemu Gadafi ndio alikuwa anawania kweli eti awe Rais wa kwanza wa Afrika moja aweze kueneza udini wake vizuri wakamshtukia. Ha ha ha ha ha ha! Kukata mzizi wa fitna dawa pekee ilikuwa kumwondoa tu mshenzi yule aliyemsaidia sana Idd Amin Dada dhidi ya nchi yetu.
Hapa bandari ikifungwa kwa upande wao itabidi wafanye urafiki upande wa mozambique maana sijui watakuwaItakuwa hivyo au bandari ya kusini maana hawana Bahari ila mkuu hapo nyuma kuna mwingereza kumbukeni yaliyomkuta MUGABE na ishu ya settlers mpaka wakasema ni one of the axis of evil....HUU Ndio Ubepari
mamaaaa,dhaifu yuko nchi au bado anabembea na farasi??vita inanukia
Automatically we will have to expel Malawi's ambassador as well in retaliation!
sasa si aondoke, kwanza alikuwa anaharibu kodi zetu tu, inatakiwa wafunge ubalozi kabisa siyo aondoke tu
wakati hili sakata linaanza nilitoa wito wa amiri jeshi mkuu kupeleka vikosi mpakani akafikiri ni mzaha haya ndio matokeo yake