Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

Wampeleke Magulu Chemba ni mzoefu wa kuua! Kama aliweza Igunga na Arumeru, hata Malawi ataweza
 
Na hiyo vita ije tu maana wanajeshi wa bongo wananenepeana matumbo kwa kukosa kazi za kufanya.
Eti maonyesho yao ya ukomandoo ni kuvunja tofali kwa mikono! my foot....nasema na hiyo vita na ije tu.
 
Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!


Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema mama ameshikiria kuwa wanajeshi wake waliopo ktk ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tz kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

HAJUI MIPAKA YAKE HUYU MAMA

na hivyo visenti vya wazungu vitamlabua puani
 
wamalawi masikini wakubwa, kanchi kao landlocked watafua dafu na makamanda wa ukweli? Hii ni jokes.
 
madam banda karuhusu jinsia moja kubanjuana! akadhania atapewa kweli misaada na malawi itakuwa kama london! kumbe mungu ndo anamlaani anamtafutia vita ya kumpeleka ICC! wazungu wameshaanza kuiingilia afrika kwa 100% sasa, na hii ni baada ya kuvunja ngome ya gadafi! watu tunaona ishu ni gesi bali inabidi tuangalie kipi kipo nyuma ya pazia?
 
uwezo wa kumpiga tunao sababu ya kumpiga tunaya tunaomba dunia ituelewe hivyo!!!!!!!! Jaman kauli hi sitaki kuisikia kwan ilitutia katika umaskin mkubwa!
 
You may be one of the stupudest on the land of Tanzania

Hakustaili kuzaliwa tanzania huyu. Yani nashauri serikali irudishe JKT manake wajinga kama hawa watafundishwa jinsi ya kuihami nchi yetu. Katiba inasema kila raia watanzania ni mlinzi wa nchi yake na mali za raia wake. Huyu ajui alisemalo. Nafikiri jeshi letu ni imara wala msiwe na wasiwasi manake mambo nyeti kama hii huwa si yakuropokaropoka. Mungu ibariki tanzania na watu wake.
 
Huyu mama amesoma alama za nyakati kaona huu ndo mda wa kupoka ziwa lote maan inchi ipo kwa auto pilot
Wanyaki tumieni viongozi wenu wa jadi muanze kujihami na ndugu zangu wangoni kule manda bila kusahau watani zangu kule mbambabay
Philikunjombe,Mwakyembe Komba ,Zambi maeneo yenu yatapokwa mtakosa ata majimbo
 
Naomba kombora la kwanza litue magogoni

Acha upuuzi kwa mambo ya msingi hata kama raisi wetu ana mapungufu yake siyo kuomba vita na kombola la kwanza litue ikulu na hyo unayemtaka aje kuwa raisi ataishi wapi sasa ? acha upuuzi wako
 
Acha upuuzi kwa mambo ya msingi hata kama raisi wetu ana mapungufu yake siyo kuomba vita na kombola la kwanza litue ikulu na hyo unayemtaka aje kuwa raisi ataishi wapi sasa ? acha upuuzi wako
Huyo anaekuja hawezi kuishi ikulu ya kichawi ya magogoni, acha ilipuliwe tu!! Mpuuzi ni huyo dhaifu
 
Back
Top Bottom