Malaria sugu akishangilia ushindi wa JK!

hahahaha. utakoma mwaka huu

Vipi inakusumbua sana kuonekana live hadharani?si ulikuwa unashangilia ushindi kwa raha zako!sitakoma mbaka CCM iondoke madarakani au iache kuwanyonya wamnanchi masikini!haki lazima itendeke!
 
Jamani mwacheni Malaria Sugu wa watu. Kwani kafanya dhambi gani?

Kwani kuna ubaya gani kuonyesha picha ya malaria sugu akifurahia ushindi wa CCM!Si alikuwa amejiachia kwa furaha ya ushindi CCM!
 
ukiukaji haki za binadamu za malaria sugu . ana haki ya kuwaza kiuhuru kama anaipenda ccm ndo adhaliliwe ,mi niko against na mtizamo wake wa kisiasa lakini naheshimu uhuru wake kufikiri.
 
Hivi hajapona tu?? Bush si alimpa Jk Vyandarua awagawie jamaa zake Sasa ikawaje Malaria Sugu akakosa hadi anakuja humu jukwaani kutulilia , afu ndo mtetezi wa jk..i don't get it
 
Back
Top Bottom