Malaria Sita? na mtu kaenda mwenyewe hospitali?

Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,075
Wadau samahani. Naomba kujuzwa .. mtu anajipeleka mwenyewe anatembea hadi dispensari ya mtu binafsi. pale anaambiwa kapatikana na malaria sita. Anapewa ushauri alale mapumziko na kupata drip. Hizi maliari sita mbona kama zinakuwaga nyingine za kutungwa? Na usipochunga watakulaza mpaka kesho kabisa. Hivi hakuna uongo kweli katika hizi dispensari binafsi?
 
Back
Top Bottom