Malalamishi

Mlalamikaji

Member
Jun 25, 2009
9
0
Jamani hivi nyie vipi wasela??
mbona naingia halafu sikaribishwi???
Nitasusa mimi au mnabisha?????

Kama hamjambo hiyo hainihusu ila nawasalimia tu kwa jina la Amani na Upendo
 
Du! Mkuu naona unaingia na style yako ya "Nitoke Vipi"

karibu jamvini WHERE WE DARE TO TALK OPENLY
 
Hata mimi mwenyewe ndio leo nimeingia jamvini, lakini hamna aliyenikaribisha. Basi mimi na Mlalamikaji ngoja tubishe tena hodi humu jamvini, Hodi, Hodi, hodi.
 
Hata mimi mwenyewe ndio leo nimeingia jamvini, lakini hamna aliyenikaribisha. Basi mimi na Mlalamikaji ngoja tubishe tena hodi humu jamvini, Hodi, Hodi, hodi.
Mkuu karibu kama mimi ulivyonikaribisha
mie natoka maana dola imekata hapa net cafe
nakusihi tuwapigie kelele hawa jamaa mpaka masikio yazibuke watukaribishe kiheshima zaidi.

Ah nimefurahi kujiunga JF maana nimeisikia sana na sasa nimo ndani
 
Karibuni sanawakuu G7 na mlalamikaji. Ila mlalamikaji usiwe na tabia zinazofanana na ID yako. Leta issues tukate.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom