Elections 2010 Malalamiko ya ccm dhidi ya chadema kukiuka maadili yatupiliwa mbali

Beauty

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
540
23
Katika utetezi wake CHADEMA ilisema malalamiko yamewasilishwa nje ya muda na pia CHADEMA iliwasilisha maelezo na vielelezo kuthibitishwa kilichozungumzwa jangwani ikiwemo ilani, orodha ya mafisadi na mkataba aliosaini Kikwete kuthibitisha ufisadi wa CCM,Kikwete kwenye EPA na Bulyankulu.

kamati ya maadili imetupilia mbali pingamizi hilo kwa kuwasilishwa nje ya muda.

Kaimu Katibu Mkuu, John Mnyika aliwasilisha utetezi huo kwenye kikao
 
Back
Top Bottom