Malalamiko dhidi ya JF yatupwa!

Mkee KADA MPINZANI Heshima mbele!!
Kitu cha kwanza mimi sijaona kama Muafrika wa kike amekumention moja kwa moja kuwa ni wewe ila umejishitukia tu.. Second things nimeona harufu ya kibaguzi kwenye maneno yako hapo, Hapa JF hakuna ushambenga wa mimi nimetangulia kuwa humu au wewe umechelewa kuwa humu, Wapo watu wengi sana ambao wanasoma JF toka 2004 up to now lakini walikuwa hawajajoin kuwa member na pia wapo wengine walijoin Jf toka 2005 lakini kwa namna moja au nyingine wamesahau Id zao na password so dont come here na kutuletea maneno yako ya kibaguzi kuwa mimi nipo hapa kabla yako.
NAUNGANA NA MKUU INVISIBLE KUWA ''FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA YAKO''
Nikirudi kwenye mada mimi naomba nipongeze wana JF wote kwa ushirikiano uliopo na kwa wale ambao ni wachafuzi humu ndani pls mods ni vizuri wakawa deleted.
 
Waga usijali sana na maneno ya Kada maana inawezekana kwake kila kitu ni ugomvi tu dhidi ya wana JF kadri atakavyopata nafasi bila kukumbuka kuwa kila dakika tano anazotumia kugombana na wana JF, kuna watoto wanakufa Tanzania kwa magonjwa yanayotibika kabisa huko viongozi wetu wa serikali wakiishi kama wako peponi vile.

Hii ni JF, wakati mwingine kila kitu ni fair game na mimi maneno kama haya hayanitishi kabisa!
 
I thought the authour is our one and the only one in Tanzania Rev. Christopher Mtikila!

Unfortunately the one of the so called original use of the term was the opposite of what people now use.Here is apaste from wikipedia
"Another early reference to the expression is in a letter from Alcuin to Charlemagne in 798, although it is believed to have been in earlier use.[2] The full quotation from Alcuin reads:

Nec audiendi qui solent dicere, Vox populi, vox Dei, quum tumultuositas vulgi semper insaniae proxima sit.[3]
English translation:

And those people should not be listened to who keep saying the voice of the people is the voice of God, since the riotousness of the crowd is always very close to madness.[4]
Lets retain our sanity!!
 
Waga usijali sana na maneno ya Kada maana inawezekana kwake kila kitu ni ugomvi tu dhidi ya wana JF kadri atakavyopata nafasi bila kukumbuka kuwa kila dakika tano anazotumia kugombana na wana JF, kuna watoto wanakufa Tanzania kwa magonjwa yanayotibika kabisa huko viongozi wetu wa serikali wakiishi kama wako peponi vile.

Hii ni JF, wakati mwingine kila kitu ni fair game na mimi maneno kama haya hayanitishi kabisa!

sio kweli dada, yaani you are trying to say kwamba UNAIPENDA TANZANIA zaidi ya watu wengine ? no way, nakataa. we both love our country dearly with equal proportions bana. Najua watoto wanakufa (Mungu awarehemu) lakini hizo statistics umezitoa wapi au umetunga tu wewe mwenyewe ? maana kama watoto wanakufa kila dakika 5, lets say 20 tanzania nzima. siku ina masaa 24 x kila saa lina dakika 60 = 1440 minutes, divide that 5 (# of minutes watoto wanapokufa) = 288 watoto kwa siku wanakufa. kwa mwezi je itakuwa watoto wangapi ? = 288 x 30 = 8640 (idadi ya watoto wanaokufa kwa mwezi) fanya hiyo kwa mwaka, x 12= 103680.

Na inachukua muda gani mtoto mmoja kuzaliwa ? 9 months
Anyway forget the math, lakini i too hav sympathy for whats going on, lakini once hizi threads za unfairness leaning towards one side is what i HATE !
 
Kutokana na matatizo na misukosuko ambayo JF imekuwa ikipata ni wakati muafaka hivi sasa kufanya kweli yaani jino kwa jino.

Wale wote ambao ni members hapa na imebainika kwa njia moja au nyingine wamekuwa bega kwa bega kutupiga vita na kutusaliti wafungiwe maisha kuchangia kwenye hii forum. Hatuwezi kuwaonea aibu ni wakati wa kusafisha nyumba.
 
Baada ya sakata la Manumba na watu wake, kulifanyika jaribio jingine la chini la kuweza kunyang'anya jina la jamboforums na mengine yaliyoandikishwa pamoja nalo na hivyo kulazimisha kutafuta jina jingine. Malalamiko hayo yaliyotolewa kwenye "National Arbitration Forum". Muda si mrefu ulipita hatimaye tumejulishwa kuwa chombo hicho kimeyatupilia mbali malalamiko hayo "without prejudice". Hivyo kwa wakati huu tunaweza kupumua kidogo na tukitumaini kuwa Bw. Mushi hatojaribu tena kuingilia utendaji kazi na uendeshaji wa Jambo Forums.

dismissal.JPG

Na hivyo basi vyombo vingine vilivyokuwa vimeshikilia domains hizo vimepewa taarifa rasmi kuwa madai ya Bw. Mushi yametupwa na hivyo mambo yote yanaendelea kama kawaida.
 
Naam, sauti ya wengi tusio wanachama wa chama chochote cha siasa Tanzania, wana ccm wenye mapenzi ya kweli na Tanzania akina FMES na masatu, wanachadema, wanacuf, wanatpl kwa kifupi watanzania waliochoshwa na ufisadi ni SAUTI YA MUNGU!

Siasa ni upepo tu! Yeyote anaweza kuwa vyovyote!
 
Kwani hili sakata bado lipo??? Tueleweshane basi tuelewe na ni nani anaetusumbua humu?? Tufungue kesi kubwa tupambane hata haki yetu tulio wengi na wazalendo ipatikanee!!! Tuko pamoja sanaa sanaaaaaaa
 
Baada ya sakata la Manumba na watu wake, kulifanyika jaribio jingine la chini la kuweza kunyang'anya jina la jamboforums na mengine yaliyoandikishwa pamoja nalo na hivyo kulazimisha kutafuta jina jingine. Malalamiko hayo yaliyotolewa kwenye "National Arbitration Forum". Muda si mrefu ulipita hatimaye tumejulishwa kuwa chombo hicho kimeyatupilia mbali malalamiko hayo "without prejudice". Hivyo kwa wakati huu tunaweza kupumua kidogo na tukitumaini kuwa Bw. Mushi hatojaribu tena kuingilia utendaji kazi na uendeshaji wa Jambo Forums.

dismissal.JPG

Na hivyo basi vyombo vingine vilivyokuwa vimeshikilia domains hizo vimepewa taarifa rasmi kuwa madai ya Bw. Mushi yametupwa na hivyo mambo yote yanaendelea kama kawaida.

Hivi Manumba alipona ule ugonjwa wake wa wadudu 500 wa Malaria ?

Hakika ccm ni hatari sana !
 
Kidumu chama cha mapinduzi! Zidumu fikra huru za wana jamii forum free max&mushi
 
Back
Top Bottom