Malaika Beach Resort!!!

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Malaika beach resort (MBR) ni hoteli ya kisasa kabisa iliyoko eneo la ilemela jijini mwanza. Hotel hii imejengwa juu ya miamba ya mwanza lakini pia imejengwa pembezoni kabisa mwa ziwa victoria. Kuna sehemu ya hoteli hiyo iko juu ya maji ya ziwa. Mahala ilipojengwa hoteli hiyo imezua gumzo miongoni mwa wakazi wa mwanza kwani hoteli hiyo imeshikana kabisa na maji ya ziwa na haijulikani sewage system yake inaelekea wapi. Watu wengi wamekuwa wakihoji kama hotel hiyo inamilikiwa na mtu baki au kuna kigogo wa serikali ametia mkono. Ukifika mwanza tembelea malaika beach resort ujionee mwenyewe..
 
Umiliki si wa muhimu sana kwangu ila hoteli ni nzuri sana!!!

3881358_6_b.jpg

malaika-by-nite.jpg

Malaika-beach-resort-mwanza.jpg

3881358_17_b.jpg
 
Muanzisha mada hueleweki una nia gani?, unainadi au unachuki nayo?, au unachuki na mmiliki wake?
 
Ni ya mdao mmoja wa mwanza.. ni muhindi.. haina ufisadi wala serekali... ni ya mtu binafsi... mimi ndio nili fanya opening...
 
Hoteli hiyo ni ya muhindi mfanyabiashara wa jijini mwanza haina ufisadi wala vigogo.
 
Hoteli hiyo ni ya muhindi mfanyabiashara wa jijini mwanza haina ufisadi wala vigogo.

Utasikia ni ya RIZ 1 kila kitu kizuri hapa tz wanasema anamiliki huyu dogo,mbona wabongo tuna mawozo mafupi?kuna hoteli pale kibaha maeneo ya TAMCO habari zimezagaa ni ya riz
 
Hongereni kwakuwa na Hotel ya Kisasa Mwanza! wekeni jitihada ya kuhamasisha wawekezaji wengine ili uchumi wa nchi ukue! issue isiwe anatoa wapi pesa cha msingi angalieni vijana wenu wanapata kazi na bihashara ambayo inachochea mzunguko wa pesa!
 
Hii mada ina usiasa ndaniyake mana umeongelea swala zuri sana kiafia hapo watuwengi hawajakuelewa na wapandwa mzuka kwakuwa umelileta kisiasa kuna mambo mengine msiyaingize kwenye siasa MCD inatupeleka puta mpaka tunasahau hata kupambambana na hali ya maisha kimsingi huyu bwana ameongelea majitaka ya hiyo sehem isadikiwa kuwa inaingia ziwani mjakwamoja sasa sijui anataka kujua kisheria inaruhusiwa au hapana
 
Back
Top Bottom