Makwaia anamsema JK au?

Whoever thinks negatively about Nyerere should be considered as a traitor of this nation!!!! Nyerere left a rich legacy of patriotism to his country!!!! He is a legend of extraordinary kind
 
Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?

By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.

Kiranga, what about you? By the way all the outstanding leaders in this world at some points were termed contradictory...well, the brave and outstanding Mwalmu is no longer with us.
Sasa hawa viongozi tunaowaonea sifa kwamba ni watu wa watu na wasio na contradiction zozote wanaisaidia nini Tanzania? Kuleta huu udini, siasa za chuki na kikabila na kugawana mali za Taifa kwao na kwa familia zao. Sifa yao ni kufanya kazi na mafisadi?
Oooh no! Mwalimu Nyerere was a great man. Namsifu Makwaia wa Kuhenga kwa kutokubali kuwa mnafiki maana yeye amewahi kufanya kazi karibu naye anamfahamu fika. Nyinyi mnaotaka kutueleza story mnazopigiana kwenye kahawa kuhusu ubaya wa mwalimu nawapeni pole tu!
 
Kiranga,
As fate would have it Nyerere never got to live in the new house. Alikabidhiwa funguo April na kuanza kuhamisha vitu vyake polepole, lakini he was sentimental to the house that was built by Machel and by the time he went to London, never to come back alive, he had not lived in the new house.
 
Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?

By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.
Mods, what's wrong with your setting options?
Kuna watu wako kwenye "ignore list" yangu lakini mbona bado naona mabandiko yao??
Please mods....
 
obama_n_kikwete_500x307.jpg

Bush%2BMeets%2BPresident%2BTanzania%2B5Pt28BMqAfCl.jpg

International begger begging from the Super Power
Mwanamayu umepatia Mkulu amefuzu kwenye kutembeza bakuli, anaamini katika misaada na madesa tu!
 
That's is very Good Makwaia wa Kuhenga...UA A GOOD I-recitator na mola akujaalie uendelee kutupa sie na watangania wenzangu kila uchao na hasa kwa kuhusianisha visa na matukio kwa njia igusayo mitima yetu. Umefanikiwa kwa hilo na mie ni shabiki wa kweli wa kunga zako zilizo makini, ama hakika ukianzia unyee ni lazima ufikie kwenye unya/o/yo! ALLAH AKUZIDISHIE MAWANDA NA SIE TUPATE MBEGU BORA ZA KUPANDA....

''Kama si kesho basi ipo Siku itawezekana''
 
Lakini mwisho alikubali kujengewa nyumba , siyo ?

By the way, to the best of my information, hiyo mansion aliyoibeza kwa kusema "nyumba kubwa kwani mimi tembo" ndiyo hiyo hiyo aliyojengewa na jeshi, hakuwakataza kujenga. Nyerere is a contradiction.

Informations wako wamefika Butiama wakaona hiyo mansion au walifika Msoga wakadhani kwa kuwa Mwalimu ni 1,000,000X alivyo basi na Nyumba yake itakuwa on the asme proportins?
 
Yeah,

Nyere was a STATESMAN and thought of the NEXT GENERATION
Others are POLITICIANS and think of the NEXT ELECTION
 
Wewe Kiranga hamnazo kabisa, zamani nilidhani una akili kumbe huna tofauti na MS... Unapomzungumzia nyerere unamzungumzia kiongozi ambaye hakuwahi kuishi ikulu, aliifanya ikulu ofisi tuu ya kwenda na kurudi.

Nyerere alijenga nyumba yake ndogo msasani kwa kukopa benki ya nyumba na alishiriki kuijenga na ilikuwa nyumba ya kawaida

Nyerere alikuwa akizidiwa mishahara na Gavana wa BOT, Mkuu wa Majeshi na Jaji Mkuu

Nyerere alikuwa na busara, alipostaafu alikwenda butiama kulima, Unapozungumzia nyumba ya kujengewa na JKT wakati amestaafu jiulize kwa nini hakuchota mapesa kama akina Chenge na kujenga? hata unayoita palace kumbuka ni jumba la makumbusho kwa ajili ya vizazi

Pale msasani mafisadi wamesubiri afe na sasa wamemjengea jumba kubwa wakati amekufa maana ile nyumba yake pale msasani ilikuwa mfano wa kukompare viongozi wa sasa na Nyerere lakini wameamua kufuta ushahidi, kila nikipita pale nikiangalia huwa nasikia uchungu sana maana wameondoa kumbukumbu ya Taifa hili.

Nyerere unayemzungumzia kama wewe ni muislamu msomi basi kumbuka kuwa ndiye kiongozi ambaye baada ya nchi kupata uhuru na kugundua kuwa shule karibu zote zilikuwa ni za seminari aliamua kupitisha sheria ya shule hizo kupokea watu bila kuangalia dini zao, lakini alienda mbali zaidi baada ya kuzitaifisha na kuziweka chini ya serekali, leo Serekali yako inaomba misikiti na makanisa yajenge shule na matokeo yake ni kwamba makanisa yanajenga shule bora na maradufu ya misikiti, sisi waislamu lile pengo ambalo nyerere alilimaliza linarudi.

kinachoniuma mimi kama muislamu ni kwamba anayeruhusu mpasuko huu ni Rais mwislamu anachekacheka na maaskofu na kuwaomba wajenge shule kila kukicha wkati Nyerere alitaifisha shule za makanisa kama hiyo ya Forodhani na Mkwawa ambayo sasa ni huo kikuu

Siku nyingine ukithubutu kumsema vibaya Nyerere ntakutafuta nikuchape makonde labda ubongo wako utazibuka na kuwa na akili ya kuchambua mambo
Umemamliza kaka....... usimnase makofi huyo...hii elimu uliyompa ni vibao tosha kabisa......mfano mwingine ni Marehemu Kawawa...Linganisha sehemu ambayo umauti ulimkuta na nyumba za Lowasa........
 
2. Jamaa anamhusudu Nyerere religiously, huwezi kusema Nyerere alivyostaafu hakukubali trappings za power wakati kawaachia wabongo wampe zawadi kemkem na jeshi limemjengea jumba kubwa huko kwao, kama angekuwa kweli hataki trappings za power angekataa zawadi na kusema ile service ilikuwa ni wajibu wake, angeishi kwa royalties za vitabu vyake ba pension ya urais.[/QUOTE]

weeee kiranga ama kweli una kiranga acha kukufuru juu ya mwalimu ile nyumba ambayo sidhani kama hata aliwahi kulala zaidi ya kujaza vitabu mle ndani chunga sana. madiwani tu akimaliza term yake ya mika mitano kinakuwa kijifisadi kidogo unaweza kufananisha na muda wa miaka yote aliyoshika ikulu toka watz wengi bado wajinga kwa kutokuwa na elimu mpka wanajanjaruka mwalimu alikuwa na nia safi lakini tu malengo yake yote hayakutimia kama alivyokuwa akitaka lakini leo hii viongozi wana nia chafu na malengo machafu weweee acha kukufururu chunga mdomo wako
:glasses-nerdy:
 
Kiranga's unfortunate comments notwithstanding, the highlighted messages perfectly describe Mr. Him (fond of the doctorate label while he has never set a foot in a PhD programme). So Mr. You could you please accept, pretty humbly that you are Mr. You!

Asalam Alekum (Peace be Upon You)
 
Lakini pamoja na yote mazuri ya Nyerere lazima tukubali hili.
Ni Nyerere aliyewalea hawa viongozi wote toka Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete hivyo tunaweza kumlaumu kuwakabidhi wahuni nchi yetu.
 
If u question nyerere's integrity and honesty,u must have personal problem with him or u need to be rushed to the mental institution...nyerere could have looted all the money from the central bank if hwe wanted to..but he didnt,he was a true socialist

Socialism is a pyramid scheme.You rob Peter to pay Paul. So I don't the reason why people should not question the integrity and honesty of the social Bernard Madoff?
 
Kiranga, what about you? By the way all the outstanding leaders in this world at some points were termed contradictory...well, the brave and outstanding Mwalmu is no longer with us.
Sasa hawa viongozi tunaowaonea sifa kwamba ni watu wa watu na wasio na contradiction zozote wanaisaidia nini Tanzania? Kuleta huu udini, siasa za chuki na kikabila na kugawana mali za Taifa kwao na kwa familia zao. Sifa yao ni kufanya kazi na mafisadi?
Oooh no! Mwalimu Nyerere was a great man. Namsifu Makwaia wa Kuhenga kwa kutokubali kuwa mnafiki maana yeye amewahi kufanya kazi karibu naye anamfahamu fika. Nyinyi mnaotaka kutueleza story mnazopigiana kwenye kahawa kuhusu ubaya wa mwalimu nawapeni pole tu!

Mkuu Mwalimu was no saint. Lakini yale tunayoyaita mabaya ya mwalimu ukiangalia kwa undani aliyafanya kutokana na kuipenda nchi yake. Mabaya yake yliangalia manufaa ya Tanzania japokuwa wakati miwngine hayakuinifaisha Tanzania. So still he is by far better, greater than many of us thought. Ni binadamu aliyekuwa na personal weaknesses lakini personal weaknesses hazikuingia utawala wa nchi, ni tofauti sana na sasa. JKN alikuwa tayari kuwatosa rafiki zake kwa kuvuruga mambo ya taifa, not now. Haingii akili kuona mtu anasemwa kuwa mwizi na ushahidi upo, halafu unampigia kampeni kuwa ni mtu safi. JKN would never do that.
 
Ujamaa sucks period.
 
Back
Top Bottom