KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Hii show tayari imekwisha fanyika?vipi maswali yetu yalijibiwa?hebu tuwekee hapa tusikilize.
Kwanini anaitwa January na isiwe December?
Hili sasa ni dongo kwa ZZK!!
Mh January Makamba AMEYASEMA WAKATI AKIHOJIWA NA FINA MANGO
January Makamba "" NAFASI YA uRAISI INAHITAJI MTU AMBAYE AMEJIANDAA KISAIKOLOJIA,KISIASA NA KIFIKRA , URAISI SIO UHAMUZI WA MTU MMOJA ,KWA SABABU NCHI HAINDESHWI NA MTU MMOJA'''
Mwisho wa kunukuhu