Makumira university,tunawaomba wote mlijiandikisha mje mtupe suport siku ya upigaji kura.

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Wanachuo wengi sana wameshahitimu masomo yao pale makumira university na wengi wao walijiandikisha pale.tunakazi moja ya kulitwaa jimbo,kipindi kilichopita tulipata kura nyingi sana pale sasa kutokuwapo kwao kwa kipindi hiki kwani wengi wao wapo kwenye vituo vyao vya kazi au wengine wapo kwenye mihangaiko ya maisha sehemu tofauti,tunawaomba waje kutupa suport ili tuliondoe hili dubwana sisiemu katika ramani ya tanzania.tunawaomba sana ndugu zetu.mimi nipo mwanza alakini lazima nitie timu,namuomba mwenyezi MUNGU anipe afya na uwezo lazima nikapige kura.wanavyuo wote hapa nchini ni adui wa sisiemu ,nasema hivi kwasababu sisiemu hawapendi watu wanatambua haki yao,au wanaojitambua na wanaopinga udhalimu,rushwa,uonevu na wanaojua haki yao ya msingi..so wanasomi hawa ndio namba moja,sasa kama mtu ashasema tena kwa vitendo kua wewe sio rafiki yangu kunahaja gani ya wewe kungangania kua nae?!asanteni.
 
DEMOKRASIA ina gharama zake na hizo ndiyo gharama zenyewe. Nakumbuka 2010 waanafunzi wa UDSM na ARDHI walijisafirisha wenyewe kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania kwenda kumpigia kura John Mnyika MB wa UBUNGO baada ya serikali kufanya hila ya kuchelewesha kufungua vyuo vya ELIMU ya JUU ili kuwa DISFRANCHISED wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu.

Chuo cha SAUT Mwanza kiligoma kushiriki huo ujambazi wa CCM, kikafunguliwa mapema, matokeo yake Ezikiel Wenje MB wa Nyamagana alipata kura za SAUT 98%.

EX Makumira ji-organise na mkubali kuingia gharama hakikisheni mnakwenda Arumeru Mashariki kupiga kura siku ya April Mosi, bila kukubali to sacrife CCM haitatoka MADARAKANI.

Wakati ni huu kura yako ni MTAJI mkubwa kwa CDM itumie vizuri OUR DESTINY IS IN OUR OWN HANDS. Tuache kulalamika tuchukue hatua.
 
usisahau na universty of arusha wanafunzi walio mwaka wa tatu walijiandikisha pale.tupo pamoja mkuu
 
DEMOKRASIA ina gharama zake na hizo ndiyo gharama zenyewe. Nakumbuka 2010 waanafunzi wa UDSM na ARDHI walijisafirisha wenyewe kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania kwenda kumpigia kura John Mnyika MB wa UBUNGO baada ya serikali kufanya hila ya kuchelewesha kufungua vyuo vya ELIMU ya JUU ili kuwa DISFRANCHISED wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu.

Chuo cha SAUT Mwanza kiligoma kushiriki huo ujambazi wa CCM, kikafunguliwa mapema, matokeo yake Ezikiel Wenje MB wa Nyamagana alipata kura za SAUT 98%.

EX Makumira ji-organise na mkubali kuingia gharama hakikisheni mnakwenda Arumeru Mashariki kupiga kura siku ya April Mosi, bila kukubali to sacrife CCM haitatoka MADARAKANI.

Wakati ni huu kura yako ni MTAJI mkubwa kwa CDM itumie vizuri OUR DESTINY IS IN OUR OWN HANDS. Tuache kulalamika tuchukue hatua.[/QUO Nimeipenda hii mkuu
 
Jambo la mbolea hili nadhani wasomi wanaelewa haraka na watatekeleza.... tafadhali msituangushe.
 
Bro wangu kamaliza pale yupo mtwara, ngoja nimtumie tiket ya ndege aje dar kabla ya kupanda basi kuelekea nyumbani Mbuguni kuing'oa thithiem!
 
Chondechonde wana ex-makumira university fanyen hima katika harakat za kumuondoa mkolon mweus, ukomboz uko mikonon mwako!
 
Wanachuo wengi sana wameshahitimu masomo yao pale makumira university na wengi wao walijiandikisha pale.tunakazi moja ya kulitwaa jimbo,kipindi kilichopita tulipata kura nyingi sana pale sasa kutokuwapo kwao kwa kipindi hiki kwani wengi wao wapo kwenye vituo vyao vya kazi au wengine wapo kwenye mihangaiko ya maisha sehemu tofauti,tunawaomba waje kutupa suport ili tuliondoe hili dubwana sisiemu katika ramani ya tanzania.tunawaomba sana ndugu zetu.mimi nipo mwanza alakini lazima nitie timu,namuomba mwenyezi MUNGU anipe afya na uwezo lazima nikapige kura.wanavyuo wote hapa nchini ni adui wa sisiemu ,nasema hivi kwasababu sisiemu hawapendi watu wanatambua haki yao,au wanaojitambua na wanaopinga udhalimu,rushwa,uonevu na wanaojua haki yao ya msingi..so wanasomi hawa ndio namba moja,sasa kama mtu ashasema tena kwa vitendo kua wewe sio rafiki yangu kunahaja gani ya wewe kungangania kua nae?!asanteni.

Imekula kwenu mnawakumbuka mnapotaka kura tu. Wenzenu CCM wamekwisha pata vichwa vingi sana pale.
 
Back
Top Bottom