Makubwa hayooo jamani Tanzania Kulikoni? Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke

Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke

1261.jpg

Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>

1260.jpg

Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.

1258.jpg

Huyu Shoga Anaye taka namba yake ya simu niambieni nitampa ninauza namba yake ya simu dola 2000

hapo labda uwasiliane na David Camerun na Ban Ki Moon,fasta utapata wateja!
 
Alafu sijui unashangaa nini,kwenye title yako umeonyesha kushangazwa na kitendo hiki wakati unauza namba ya simu? We sema mnashirikiana kwa karibu!
 
kama sio japo imani tulizo nazo kupitia mgongo wa dini zetu,nafikiri hii dunia ingeshafikia tamati kitaaambo kwa mambo kama haya,,daah
 
Kwahiyo kwa sasa anakojoa akiwa kachuchumaa au bado anauwezo wa kukojoa akiwa kasimama?
 
Huyu dada ni mmarekani na alishitakiwa kwa kudunga wanawake sindano zenye vimiminika vya simenti. Siyo mbongo!!
 
Afadhali asiwe mbongo..maana angetuchafulia ibaki huko huko US not in our TZ
 
Back
Top Bottom