MAKUBWA!!!!CCM Dar nao walalamikia kupanda kwa bei ya vyakula.

nimwangalia yule jamaa anaita sijui guninita...nikamkazia machooo then nikabadili chanel ...halafu mle nda kulikuwa na aandishi wa habari alikuwa anacheka sana.....
 
Mojawapo ya sababu za kupanda kwa bidhaa Tanzania ni kuwa CCM huchukua pesa kutoka kwa wafanyabiashara kwa ajiri ya kampeni (ukiniuliza ushahidi sina lakini hii inatokea na kwa kiwango kikubwa kuliko unavyodhani).. Wafanyabiashara hawa baadaye hupewa hodhi ya bidhaa wanazouza na kupewa mamlaka ya kurudisha pesa zao kwa kuongeza bei za bidhaa... unategemea mfanyabiashara aliyetoa pesa yake ataweza kuigopa serikali aliyoiweka madarakani kwa pesa zake?

Thubutu!
 
CCM wananajijua kuwa wamechemsha.....sasa wanatafuta pakutokea....ndio yale mambo ya sio sio CCM kabisa, sisi ni CCM nusu, sisi ni CCM wadogo, sisi ni CCM wale ambao hawapo serikalini, sisi ni CCM ambao tunapingana na chama.......jicho lipo 2015 hapo.
 
Mojawapo ya sababu za kupanda kwa bidhaa Tanzania ni kuwa CCM huchukua pesa kutoka kwa wafanyabiashara kwa ajiri ya kampeni (ukiniuliza ushahidi sina lakini hii inatokea na kwa kiwango kikubwa kuliko unavyodhani).. Wafanyabiashara hawa baadaye hupewa hodhi ya bidhaa wanazouza na kupewa mamlaka ya kurudisha pesa zao kwa kuongeza bei za bidhaa... unategemea mfanyabiashara aliyetoa pesa yake ataweza kuigopa serikali aliyoiweka madarakani kwa pesa zake?

Thubutu!

Tayari vibali vya kuingiza nchini toka nje kilo 70,000,000 za sukari vimeshatolewa na waliopewa ni siri kubwa na wataingiza mara 10 ya hiyo
 
Ninaangalia taarifa ya habari kupitia Channel Ten na naona CCM Dar wakitoa tamko la kulalamikia kupanda kwa bei ya vyakula.Hawa ni wenye serikali ambao wangeweza kuelezena ndani kwa ndani.Kunapofuka moshi,

kila mtu analalamika. walio nje ya serikali na walio ndani. chama kinacho tawala na vyama visivyotawala. This is pathetic. CCM wakubali wameshindwa!
 
yaani hii mijitu ya CCM nijambazi sana ...jitu limenenepa kwa kula vitimoto pale JJ lilajitunisha kwenye TV eti kuisema serikali ya CCM wakati lenyewe ni jitu miongoni mwao..mi nilizima TV bana
 
nadhani kupanda kwa gharama za maisha hakuhisiani na CCM.
jaribu kutazama bei ya mafuta inavyopanda duniani na kama CCm wapo mpaka huko.
 
Lazima ipande, bei ya mafuta inapanda kwa sababu ya conflict za Libya na oil producers wengine, umeme hakuna, productivity lazima ishuke.
Tatizo kubwa Serikali imezoea uwongo na siri mpaka wanajikanyaga wenyewe, hawataki kuadmit chochote. Utaamuru vipi bei zishuke? Hii ni nonsense, wafanye kazi yao wahakikishe umeme unapatikana.
Na Saudi Arabia nayo maandamano yakishika moto ndo tutakoma.

lazima taifa lolote linalotaka kuwa na maendeleo liwe na hakiba ya mafuta na pindi mafuta yanapoadimika au kupanda bei ndio wakati wa kuingiza mafuta kutoka kwenye hakiba kufidia upungufu
 
Ukistaajabu ya Musa.... Utayaona ya Firauni!!!!... Hayo kweli makubwa!!!!
 
Back
Top Bottom