Elections 2010 Makubaliano yafikiwa: 2015 Rais Sitta, Waziri mkuu Mwandosya

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK alipoanzisha dhana ya kujivua gamba alikuwa anataka kuwadhoofisha akina lowassa ili apate nafasi ya kumweka mtu wake. na ili kufanikisha ikabidi awatumia kina sitta kuwabomoa. ila sasa kina sitta wakawa wajanja kwa kumtumia nape wakaitumia hiyo dhana kujijenga. mkutano wa ccm mbeya jana ni mwanzo wa ushirika wa kundi la sit
 
Sitta mkimpa urais ndio mtafahamu Lowassa ni cha mtoto hakuna Msafi CCM wote hawafai labda wampe Urais Dr Salim A. Salim, Joseph Warioba ila hawa wengine hakuna mtu!!!! Labda Chadema na zaidi sio Chadema Dr Slaa ambaye ndiye anaonekana ana chembe ya uzalendo.
 
Sisi huku mtaani ndo tunamjua raisi wetu ajaye na si hawa wauni
 
Kwisha!!!!! yaani huyu mnafiki na fisadi namba moja awe Rais? kwanza huyu si alifukuzwa uwaziri enzi za mwalimu kutokana na matumizi mabaya ya fedha? Kwanza huyu jamaa anapenda sana kuabudiwa akiwa Rais siatawaona watanzania wote ni kama ng'ombe. Sitamani hata kuota hiyo ndoto.
 
Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK alipoanzisha dhana ya kujivua gamba alikuwa anataka kuwadhoofisha akina lowassa ili apate nafasi ya kumweka mtu wake. na ili kufanikisha ikabidi awatumia kina sitta kuwabomoa. ila sasa kina sitta wakawa wajanja kwa kumtumia nape wakaitumia hiyo dhana kujijenga. mkutano wa ccm mbeya jana ni mwanzo wa ushirika wa kundi la sit
Wana JF nawomba mrejee spichi ya SS jana mbeya utaona jinsi language anayotumia SS inavyo co relate na hii hoja...incase you have not noticed SS anaongea as if anaauthority furani hivi. Anyway I am afraid hana track record nzuri either either...mnafiki...si mzalendo...mtu anayejijali yeye kwanza watz badae. Tukumbuke huyu ndie aliyeanza na bunge la tisa kwa kusimamia hoja kuwa posho na mishahara ya wabunge iongezwe na kwa hilo alifanikiwa.Hivi hawa watu kwa nini wasipumzike? This time tunataka raisi ambaye ni competent siyo nani anayetaka uraisi. Njia ya nani anataka uraisi imetumika kwa JK... see where we are today. Kama ni kiongozi nchi wananchi ndio waseme tunamtaka fulani sio huu utaratibu wa kihuni unaotumika sasa wa watu kujipendekeza wenyewe. Nawazungumzia kina SS,EL, Membe, Mwandosya na wengine.
 
Hangaikeni sana lakn mtu kama mimi Rais wangu ni Dr.W.Slaa huyu ndie wakupambana na hawa wahuni wote wanaoyumbisha uchumi wa nchi yetu
 
Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK alipoanzisha dhana ya kujivua gamba alikuwa anataka kuwadhoofisha akina lowassa ili apate nafasi ya kumweka mtu wake. na ili kufanikisha ikabidi awatumia kina sitta kuwabomoa. ila sasa kina sitta wakawa wajanja kwa kumtumia nape wakaitumia hiyo dhana kujijenga. mkutano wa ccm mbeya jana ni mwanzo wa ushirika wa kundi la sit

Ibange = Bange!!!
 
atawalipa vizuri mawaziri wake zaidi ya hapa kwani utakumbuka alipo kuwa mbunge aliwapigania sana maslahi ya wabunge lakini ckumckia akipigania maslahi ya watu wa chini ni mbinafsi hatufai
 
Kwa nini watanzania tumeamua kuifanya Tanzania yetu kuwa nchi ya Harakati za Uchaguzi daima dumu? Viongozi hawafanyi maamuzi wala hawatendi kwa kuogopa kuwaudhi washirika wao ktk kusaka nafasi za juu. Na wananchi nao hawawazi jingine zaidi ya kujadili uchaguzi ujao. Hii nguvu tunayoweza kufikiri na kuwaza uchaguzi kila uchao walau nusu yake ingewekezwa kwenye kujadili au kushiriki kazi za uzalishajimali nchi ingepata mabidiliko.
 
Kama Uspika ulimshinda kuurejea Urais atuweza?Let him try,hatarudia kuutamani tena urais!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom