je unayafahamu makosa yanayotumika katika mazungumzo yetu kila siku?
Mfano:
Charge-charger(nipatie chaji yangu ya pini ndogo)badala ya chaja .........
Wimbo-nyimbo(nyimbo hii......)badala ya wimbo huu.....
Unidip-unibip(mwalimu akiingia unidip)badala ya mwal akiingia unibeep.
Tupia makosa mengine yanayokukera