Makosa

wadada wameichangamkia hii thread,wakaka hawatakagi kusikia maumivu ya mapenzi...:redface:
 
hivi ni kitu gani kilitokea? Mi sitaki kumpa pole hadi niambiwe
Nikisoma kati ya mistari ni kama ameona kitu hakutegemea
Ila haimaanishi kua kuna maumivu ya mapenzi. Au sijaelewa?
Kongosho wangu embu nifafanulie hii thread ya NN please...
 
shazia kitu gani, limbwata la kimanzichana wanalipenda hawa.

Tena unamwelekeza dozi anakuwa anakunywa mwenyewe.

I don't even trust ME! So u are right with that one sugar boy! But the offer is still on, naushona mwili wako na shazia (unaijua?)
 
'Yesterday is history, tomorrow is a mystery, today is a gift, which is why we call it the present.'....shika ushikacho, kijacho majaariwa.
 
Maisha ni kile unachofanya sasa,kesho haijawahi kufika tangu ulimwengu umeumbwa!
 
hata mie sielewi, naona kama kakutana na simba kariakoo.

hivi ni kitu gani kilitokea? Mi sitaki kumpa pole hadi niambiwe
Nikisoma kati ya mistari ni kama ameona kitu hakutegemea
Ila haimaanishi kua kuna maumivu ya mapenzi. Au sijaelewa?
Kongosho wangu embu nifafanulie hii thread ya NN please...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom