Makosa

Hakika la leo hufanywa leo. Ukingoja kesho utaula wa chuya.

Nimejifunza.
ndio ivo kaka...mimi sometimes huwa siamini katika neno uvumilivu...kama icho kitu hakiwezekaniki leo ...mimi huwa mgumu kuamini kwamba kesho kitawezekana....so bora niangalie alternative ingine...hii kitu keep waiting,na keep trying kwangu ni ngumu kidogo
 
Kuna mahala nimeona Dark City amesema hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Hizi imaginations na anticipations zinaweza kutushawishi visivyo. A bird in the hand is worth two in the bush.
 
Last edited by a moderator:
Mengi mno Smile. Sijui hata pakuanzia.
pole my dear .naona kweli leo yamekufika umekuwa mdogo kuliko piriton aiseee...ndo hivo dunia ya sasa sio ile ya zamani unaingizwa chaka hivihivi.....kama ni paper sehemu ya jina unapigishwa tarehe...n.k utajuuuuuuuuuuta pole bana
 
Na wewe jifunze toka kwangu. Usikubali kutoka na mtu humu JF. Sawa Smile?
 
Kuna mahala nimeona Dark City amesema hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Hizi imaginations na anticipations zinaweza kutushawishi visivyo. A bird in the hand is worth two in the bush.
daah iyo avatar wachumba zetu watasalimika kweli humu....please dont take my man eheheeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom