Makosa ya watetezi wa CCM hapa JF

Sasa imekubalika kuwa wengi wa wana JF hawaipendi CCM (na haimaanishi kuwa wote in turn ni wana CHADEMA kama inavyodhaniwa). Kutokana na hili wamekuwa wakiiandama serikali ya CCM kiasi kwamba imebidi nao CCM watume watetezi. Ila wengi wa watetezi hawa wana mapungufu yafuatayo:
  1. ID zao zina majina ya kiajabu sana (Malaria Sugu; Faizafoxy etc)
  2. Hoja zao nyingi ni za mzahamzaha ili kuifanya JF ionekane ya mzaha pia
  3. Wengi wapo kwa kutumwa zaidi kuliko kujituma na hivyo kutoweza kuitetea serikali ya CCM ipasavyo
  4. Wagumu kukubali kuwa CCM imeshindwa hata katika mambo yaliyo wazi
  5. Ukiacha Nape na Mzee wa @NYC wengine wote waoga wa kutoa true IDs zao tofauti na viongozi wa CHADEMA ambao wengi wametoka wazi na true identities.
  6. Wakizidiwa hoja hufanya haya:
    • kuzamia kwenye defence za kidini kwa kutumia uislam
    • kuingia mitini
    • kutukana na kukashifu
Pombe hairuhusiwi kuuzwa kwa watu wenye umri wa chini ya miaka 18, lakini bartender anawezaje kutofautisha umri wa watu? Tafakari mwana katoliki.
 
Hivi huoni yaliyofanyika ndani ya miaka hamsini au ni upofu wa akili,mfano mdogo tu angalia tumesonga kiasi gan kielimu,Hivi unaweza kufananisha miaka mitano iliyopita na sasa,kuhusu maisha bora mfano mwingine mdogo tu ni watz wangapi wamenufaika na mikopo yenye riba ndogo au mnataka watu wapewe kila kitu bure?hilo galiwezekana watu wanawezeshwa na wao wajiwezeshe sio mnataka hadi kazi mtafutiwe!na kuhusu kujivua gamba nijibu kwanza leo ni cku ya ngap alaf ntakujibu hilo?!
Let me refresh my question to you, ngoja nikupunguzie maswali nikuachie swali moja tu, maana naona unaimba mashairi ya malenga wetu.
Swali: ni kwa nini miaka 50 baada Uhuru nchi iko gizani? Tafadhali sihitaji porojo kwani hata JK kitu ambacho hajui huwa anakuwaga muungwana na huwa anasema hajui.
Mfano JK aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni maskini na alijibu kiungwana kwamba hata yeye hajui. kwahiyo nakuomba na wewe uwe muungwana kama mwenyekiti wa chama chako.
 
Pombe hairuhusiwi kuuzwa kwa watu wenye umri wa chini ya miaka 18, lakini bartender anawezaje kutofautisha umri wa watu? Tafakari mwana katoliki.
Jimbo la New York limepitisha sheria ya wanaume kuolewa, kwahiyo kama unatafuta bwana wahi NYC.
 
basi hata wewe ni mwana ccm kwa kuwa ID yako pia ina utata, au kwa kuwa umeiandika kizungu na malaria sugu ameandika kiswahili?

Huu ndio upungufu wenu....wapi nimesema hivyo? Hujasoma thread tayari unajibu....mimi nimeongelea viongozi wa CCM vs wa CHADEMA kwenye kutoka na identities za kweli....silazimiki kutumia jina langu halisi kama utakavyo
 
Pombe hairuhusiwi kuuzwa kwa watu wenye umri wa chini ya miaka 18, lakini bartender anawezaje kutofautisha umri wa watu? Tafakari mwana katoliki.

Wewe ulipoandika hapa una umri gani na umekunywa ngapi..........bado mnaonyesha mapungufu...jibu hoja
 
hi JF am now back, because I was unable to join the JF due to the fact that, I was not in the net area.
 
Mimi wanachoniudhi ni kwamba ukipingana nao katika hoja zao basi wanakuchukulia tu kwamba na wewe ni mkristu, hawa think hata kidogo hawa watu, sio wote tunaopingana na CCM ni wa kristu inabidi waweke akilini hii kitu......Ukipingana kwa hoja wenyewe wanapingana kwa udini ni empty kabisa.
 
Jamii forum ipo kwa watu huru wenye mawazo huru,sio tawi la CCM wala CDM,CUF n.k,Hivyo basi ni jukumu letu sisi kuweka mawazo,maoni,hoja zetu kifasaha zaidi.Umakini ni nguzo muhimu kuimalisha Jamii Forum
 
Hivi huoni yaliyofanyika ndani ya miaka hamsini au ni upofu wa akili,mfano mdogo tu angalia tumesonga kiasi gan kielimu,Hivi unaweza kufananisha miaka mitano iliyopita na sasa,kuhusu maisha bora mfano mwingine mdogo tu ni watz wangapi wamenufaika na mikopo yenye riba ndogo au mnataka watu wapewe kila kitu bure?hilo galiwezekana watu wanawezeshwa na wao wajiwezeshe sio mnataka hadi kazi mtafutiwe!na kuhusu kujivua gamba nijibu kwanza leo ni cku ya ngap alaf ntakujibu hilo?!

Tatizo lako unadhani Tanzania ni Dar Es Salaam. Nenda vijijini huko ndo wanaishi asilimia 90 ya watanzania, wastani wa elimu yao ni darasa la saba, wengi hawajawahi kuona maji ya bomba, taa ya umeme, barabara ya lami, gari la ambulance achilia mbali kusaini check ya benki. Hao nao ccm imewawezesha vipi? Hata hapa Dar, maeneo ya uswahilini hali siyo tofauti sana na vijijini.

CCM na serkali yake hawawezi kukimbia majukumu yao ya kuleta maisha bora kwa kila mtanzania, kimsingi hilo ndo jukumu la kila mwanasiasa anaekampeni kushika uongozi katika nchi, baada ya kushika madaraka hawezi tena kuwageuka wananchi waliompatia dhamana ya kuendeleza nchi na kuwambia eti mjiendeleze wenyewe na mwache kulalamika!!! Serkali ina jukumu la kuweka mipango sahihi inayohakikisha raia wake wanapata elimu bora, ajira, huduma bora za afya, usafiri bora, maji safi, umeme wa uhakika nk. Jambo ambalo ccm wameshindwa kutekeleza kwa miaka 50, sasa badala ya kukuri kushindwa wao wanaamishia lawama kwa wananchi eti nao wajiwezeshe???????? watajiwezesha vipi wakati uliyepewa dhamana ya kuweka infrastructure ya uwezeshaji watu umeshindwa???????????
 
Sasa imekubalika kuwa wengi wa wana JF hawaipendi CCM (na haimaanishi kuwa wote in turn ni wana CHADEMA kama inavyodhaniwa). Kutokana na hili wamekuwa wakiiandama serikali ya CCM kiasi kwamba imebidi nao CCM watume watetezi. Ila wengi wa watetezi hawa wana mapungufu yafuatayo:
  1. ID zao zina majina ya kiajabu sana (Malaria Sugu; Faizafoxy etc)
  2. Hoja zao nyingi ni za mzahamzaha ili kuifanya JF ionekane ya mzaha pia
  3. Wengi wapo kwa kutumwa zaidi kuliko kujituma na hivyo kutoweza kuitetea serikali ya CCM ipasavyo
  4. Wagumu kukubali kuwa CCM imeshindwa hata katika mambo yaliyo wazi
  5. Ukiacha Nape na Mzee wa @NYC wengine wote waoga wa kutoa true IDs zao tofauti na viongozi wa CHADEMA ambao wengi wametoka wazi na true identities.
  6. Wakizidiwa hoja hufanya haya:
    • kuzamia kwenye defence za kidini kwa kutumia uislam
    • kuingia mitini
    • kutukana na kukashifu

Kwani CCM ni chama cha waislam?
 
Even America mpaka hapo Unapoiona imechukua takriban miaka 200 for success sio jambo la mchezo n the problem was in root we based on politics not economy
Let me refresh my question to you, ngoja nikupunguzie maswali nikuachie swali moja tu, maana naona unaimba mashairi ya malenga wetu.Swali: ni kwa nini miaka 50 baada Uhuru nchi iko gizani? Tafadhali sihitaji porojo kwani hata JK kitu ambacho hajui huwa anakuwaga muungwana na huwa anasema hajui.Mfano JK aliwahi kuulizwa kwa nini Tanzania ni maskini na alijibu kiungwana kwamba hata yeye hajui. kwahiyo nakuomba na wewe uwe muungwana kama mwenyekiti wa chama chako.
 
Mkuu ili kuwa merited na U Great Thinker ni muhimu kufikiri kwanza kabla ya kupost.
Si vizuri kufanya general observations na kudraw conlusions, kwa sababu mfano mmoja tu unakumaliza katika conclusion yako.
Kwanza tofautisha kati ya mwana CCM na mtetezi wa CCM.
Mimi ni mwana CCM lakini si mtetezi wa yote ya CCM .
Kuna ambayo yana kera na hata CDM imefanya mengi kuyasahihisha.
Pili jina langu ni Lole Gwakisa na ni halisia si la kama lako, therefore your observation is in error na conclusion is illogical.
Kama observation yako kuwa wana CCM hapa JF ,wote ni kama MS na bibie FF, then that also reflects your nascent observatory instincts.
Kwa hilo ni kukupa pole tu.
Nchi hii lazima uelewe kuwa haiko devided between CDM na CCM .
Hizo divisions ni katika akili yako.
Observer mzuri atafuatilia mijadala na kuelewa ile logic inayotelewa na kutetewa na kila upande-na kama ina mantiki kwa maisha ya Mtanzania.
Na hii ndio multi-party democracy, and in fact, KAMA sera za CDM zitaleta manufaa kwangu, basi kura yangu wanaweza kuivuna, kitu ambacho hawajaweza so far.
Kwa suala la matusi, fuatilia kwa makini post zote na utaona mwenyewe nani mkali kwa matusi humu JF.

Ndugu yangu,
Naona umekuja kwa hasira sana....na hukunisoma vizuri pamoja na kujitahidi kwangu nkuandika machache iwezekanavyo:
Si vizuri kufanya general observations na kudraw conlusions:Mimi nimezungumzia watetezi na si wanachama kama wewe. Kama hujajua basi elewa kuwa wako watu wameagizwa kuja kuchafua hali hapa kwa niaba ya chama chako.
Pili jina langu ni Lole Gwakisa na ni halisia si la kama lako, therefore your observation is in error na conclusion is illogical. Again mimi nimezungumzai viongozi wa CCM kuingia hapa na tru identities kama wenzao wa CHADEMA ili tujadiliane nao moja kwa moja. Nadahani ni Nape peke yake kaweza hili. Wewe Lole sijui kama ni kiongozi wa CCM ila najua ni commoner tu.
Kama observation yako kuwa wana CCM hapa JF ,wote ni kama MS na bibie FF, then that also reflects your nascent observatory instincts.Kwa hilo ni kukupa pole tu. STILL NI MTAZAMO WAKO LAKINI NDIO WATETEZI WAKUU HAPA WA CCM PENGINE KULIKO WEYE NA TUNAENDELEA KUHOJIANA NAO MPAKA TUELEWANE
 
Hivi huoni yaliyofanyika ndani ya miaka hamsini au ni upofu wa akili,mfano mdogo tu angalia tumesonga kiasi gan kielimu,Hivi unaweza kufananisha miaka mitano iliyopita na sasa,kuhusu maisha bora mfano mwingine mdogo tu ni watz wangapi wamenufaika na mikopo yenye riba ndogo au mnataka watu wapewe kila kitu bure?hilo galiwezekana watu wanawezeshwa na wao wajiwezeshe sio mnataka hadi kazi mtafutiwe!na kuhusu kujivua gamba nijibu kwanza leo ni cku ya ngap alaf ntakujibu hilo?!
Hujajibu maswali, umeenda kwenye narration za CCM za miaka yote!
Halafu hapo kwenye RED, unawaongelea waTZ wepi hao? na mikopo ipi hiyo?

Jibu kwanza haya:
1. Ni kwa nini miaka 50 baada ya uhuru Taifa lipo gizani?
2. Maisha bora kwa kila Mtanzania yako wapi?
3. Zile siku 90 za magamba ndio zinayoyoma je mlikuwa mnabeep watu
4. Fedha za Kagoda zipo wapi? na Kagoda ni akina nani?
5. Wakati BAE wanakwapua fedha za radar (kwa madai yenu) wahusika wote....ambao wana utaalamu (walisomeshwa bure na Nyerere ili waisaidie nchi hii) walikuwa wapi? Mwanasheria mkuu alikuwa wapi?
6. Unafikiri ni sahihi kwa Membe kuita fedha za hisani zilizotolewa na BAE kwa makubaliano na SFO na kukubaliwa na Mahakama huko UK CHENJI? Tupe logic kwenye hiyo CHENJI inayodaiwa kwa mbwembwe.

Hayo yanakutosha kwa sasa!!!
 
Lete evidence za matusi ya wana CCM tuone kama hii hoja ina mshiko, lii tulinganisha na matusi ya wakereketwa wa Chadema hapa JF

Kuna wana Chadema wangapi ambao ID zao wameweka wazi? Je ukiwa CCM lazima uwe kiongozi?

Kuna muungwana mmoja alisema kwamba sio wote ambao sio pro-Chadema ni wana CCM namuunga mkono kwakuwa kuna wengine wa mgombea binafsi nk
 
Watu mbona mu wavivu wa kusoma na kuelewa? wapi nimeyasema haya?
 
Back
Top Bottom