Makosa makubwa ya kiitifaki katika suala la tuzo za miaka 50; je Ikulu watakiri??

Hata mi sina chakuchangia. Naona hapo ni ikulu tupu. Ila kiukweli shughuli nzima ilijaa magumashi.
 
Mtu makını na mwenye akılı tımamu ameelewa tuzo hızı zılıkuwa na lengo ganı!tuzo sıjuı nıshanı zımetolew kıushabıkı kwa wale walıosaıdıa na wanaendelea kutetea ****** n company full stop!ıla sıku ya ukombozı ınakuja na wanafıkı watakosa pakujıfıcha
 
Tuzo dunia kote hutolewa, utaratibu ni kuwepo kwa jopo ambalo hutoa maamuzi ya nani apewe na kwa vigezo vipi, hapa kwetu ni kinyume kwani baba riz katoa tuzo bila vigezo kujulikana matokeo yake watu hovyo nao wanapewa tuzo nzo zinakuwa hovyo tu
 
Anazungumzia awamu ya pili ..... hii ilikuwa ni ya mzee ruksa. Lakini mbona mambo yaliyomo ni ya juzi.... japo nazo hazikuwa tuzo... zilikuwa nishani. Nina mashaka na uelewa wako NDERI - NGOSHA. Hebu rekebisha bana ili tutoe michango ya kukuelimisha.

Duh naye si makini!!!!
 
Kwa vyo vyote vile ujumbe umefika! Nishani au tuzo kama wengine wanavyoitambua zimeshatolewa bila kuzingati mtiririko wa kimantiki! Jambo hilo limefanyika hovyo hovyo tu kama kwaida ya Uongozi wa Ikulu yetu. Tukubaliyaishe maana hata tuking'ang'ania sana kukosoa hakutabadilisha chochote hasa ukizingatia sana kwamba nchi yetu kwa sasa iko ''out of control'' kwa kifupi ikulu hatuna uongozi. Walioko ni Akina Richmond, akina Mizengwe akina Salva Rweimam, akina Luhanjo, akina Jairo, na hawa wote wanavichwa vya nazi. Ni vigumu kama mawe hawaambiliki lolote!!!
 
Back
Top Bottom