Kuelewa sheria ina maana kuelewa pamoja na kutafsiri.
Huwezi uka record kwa mfano mkutano wa uchaguzi na ukaenda kuutumia mahakamani kwenye kesi ya madai, sheria inaruhusu kwenye makosa ya jinai tu.
Ndio maana juzi juzi kuna kesi imetupwa huko Tabora. Ushahidi wa tapes zao ulikataliwa.