Makosa katika uandishi wa maneno

al sahih ni neno la kiarabu ambalo kwalo neno sahihi limetoholewa. Kwa maana hiyo al sahih sio neno fasaha la kiswahili.

Samahani kwa kuchanganya lugha.

Ahsante sana, sana, kwa kukubali kwamba ulikuwa unatoa mafundisho yenye kupotosha.
 
Back
Top Bottom