Makosa 10 aliyotenda Mungu

1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!

===================
Mungu vita yake na shetani asitake kutuuzia sisi, wanyooshane wenyewe kama anaona atasanda wamalize vita kwa mazungumzo
 
Mungu vita yake na shetani asitake kutuuzia sisi, wanyooshane wenyewe kama anaona atasanda wamalize vita kwa mazungumzo
:D:D:D:D:D...Sawa mkuu, subiri hukumu kutoka kwa wafia dini maana ndio zao.
 
I can prove the existence of your kitty!

Hello kitty...kitty cat
Your Highness Queen Vixen,....You proved that death is an illusion phenomenon when You died of gun shoot and rose from Hell, so I'm doubtless of Your ability.
 
Hivi kna uwezekano wa kuamin uwepo wa mungu pasipo kuyaamin maandiko?

Kama jipu Ni ndio basi nahis ntakuwa mmoja Kat ya watu wanao ishi katika mfumo huo
..
Maana maandiko kuhusu mungu yamekuwa yakizua mijadala mizito Sana iliyo jaa maswali yenye utata Na wakat mwngne kukosa kuyatatua...

Mambo yaliyozungumzwa Na mtoa mada Yana kaukweli flan Kama ukiamua kufkiria Mara mbili, sema Tu kna wafia dini ambao hujkta wakihs kuwa wanatenda dhambi kwa kjarbu kuhoji chochote kuhusu maandiko....sa sijui wanaelewa wakisomacho au hukariri tu!!?
 
Kama munayo maandiko yanayohusu MUNGU ukiacha Quran na Biblia yaleteni hapa acheni propaganda
 
Mungu hakosei, yapo tunayoyaona mabaya yakutuumiza ila mwishoni kumbe Alikuwa na nia njema,mfano story ya yusuph.....kasome mwanzo sura ya mwisho kabisa utaona.

Hata hivyo Mungu anabaki kuwa Mungu tu,we kosoa kosoa ila haibadilishi fact kwamba hakuna mwema,mkamilifu,mwenye utukufu na sifa zote kama Mungu aliyekuumba
 
Mhhh wewee soma vzr biblia, uielewe huwez kudge kihvo unamkufuru mungu
Bibilia nimeisoma sana, lakini imejaa mikanganyiko kibao.Kuna wajuzi wa Bibilia walikuja hapa lakini hawakujibu chochote zaidi ya kuhukumu na kulaani.
 
Mungu hakosei, yapo tunayoyaona mabaya yakutuumiza ila mwishoni kumbe Alikuwa na nia njema,mfano story ya yusuph.....kasome mwanzo sura ya mwisho kabisa utaona.

Hata hivyo Mungu anabaki kuwa Mungu tu,we kosoa kosoa ila haibadilishi fact kwamba hakuna mwema,mkamilifu,mwenye utukufu na sifa zote kama Mungu aliyekuumba
Basi sawa hakosei, je unaweza kujibu hayo maswali?
 
Katika majivuno yake husema: “Mungu hatagundua.” Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.” Njia za mwovu hufanikiwa daima; kwake hukumu zako ziko mbali na mawazo yake, na huwadharau maadui zake wote.
Zab 10:4‭-‬5 BHN
Mungu akusamehe kwa maan hulijui ulitendalo hakika mawazo ya Mungu ntofauti na binadamu Mungu anapenda watoto wk wote wawe waovu au wema kwa waovu hawaadhibu kwa kua anaamin ipo ck watabadilika na kumrudia yeye na c kwamba Mungu hatupendi anatupenda sn na swala la kusema kua yupo mafichoni hakuna kitu km hicho kwa kua huwez ukamwona wala kumshika Baba, mwana, na Roho mtakatifu wote ni roho na ndo maan binadamu ndo wapekee sn na upendeleo aloumbwa kwa udongo pmj na kua na mwili hkn mtu mwny mwl tofaut na binadam na ndo maan maandiko yanasema mwl wk ni hekalu la roho mtakatifu kama hutatenda dhambi na Mungu kudhihirisha jinsi anavyotupenda akamtoa mwanae wa pekee kuja kuukomboa ulimwengu il amwaminie awe na uzima tele mwisho hapo mwanzo Mungu alikua anaongea na binadamu baadae alipozaliwa Yesu akabeba jukumu hilo na baada ya Yesu kupaa kurudi mbinguni akamwachia kazi Roho Mtakatifu kutenda kz na huwez kuyajua pasipo kuyakabidhi maisha yk kwa Mungu
 
Kosa LA 11 kumuumba binadam mwenye KUNYA ; ilitakiwa tukila mara moja tu baaasi
 
Hivi kna uwezekano wa kuamin uwepo wa mungu pasipo kuyaamin maandiko?

Kama jipu Ni ndio basi nahis ntakuwa mmoja Kat ya watu wanao ishi katika mfumo huo
..
Maana maandiko kuhusu mungu yamekuwa yakizua mijadala mizito Sana iliyo jaa maswali yenye utata Na wakat mwngne kukosa kuyatatua...

Mambo yaliyozungumzwa Na mtoa mada Yana kaukweli flan Kama ukiamua kufkiria Mara mbili, sema Tu kna wafia dini ambao hujkta wakihs kuwa wanatenda dhambi kwa kjarbu kuhoji chochote kuhusu maandiko....sa sijui wanaelewa wakisomacho au hukariri tu!!?
Zamani mambo mengi hayakueleweka kwa watu(Elimu/Sayansi ilikuwa changa), sasa watu waliashumu kuwa hayo mambo kama mvua, usiku na mchana, kifo, kuota kwa mimea n.k kuwa kuna Dude kubwa linalosababisha yatokee.

Ndipo dhana ya kuwepo kwa Mungu ilipojengwa, watu wakaanza kutolea sadaka za kafara kwa Mungu pamoja na kuanza kusali wakiamini anawasikiliza na kuwajibu.Ndipo maandiko yakaanzia hapo, kutokana na kutokueleweka kwa huyo Mungu wa kutengeneza, maandiko yamekuwa na contradictions kibao.
Kila kitu ni fake kwa sababu vingi vimetengenezwa na wanadamu wa kale ambao hawakuwa na uelewa wa kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom