Makosa 10 aliyotenda Mungu

Namba 1 na namba 4 naunga mkono hoja. Coz kama Mungu angemfutilia mbali shetani pindi tuu alipoasi, leo dunia hii ingekuwa paradise. Then huu mgogoro mashariki ya kati hv wayahudi wanaanzaje kusema nchi ni kwao wakati wao ni wakimbizi na hati miliki hawana? MFANO: ni sawa na wakimbizi kutoka Burundi waseme eti Tanzania ni yao dadadeki...!!!! must pachimbike
 
Mleta mada IQ yako ni ndogo sana. Na ujuzi wako wa biblia ni mdogo kiasi kwamba huelewi lolote. Mungu akusamehe tu. Ni wapi kwenye biblia umesoma kwamba Mungu alimuumba shetani? Mungu aliumba malaika na walipoasi wakageuka kuwa mashetani. Hujui uzao wa Ibrahim ni kina nani ndio maana unasema ni wachache. Na unaposema Mungu alifanya 'makosa' hayo makosa alimtendea nani? Yaani you dont even know definition ya kosa ni nini? Kosa ni kitendo kinachokwenda kinyume na amri ya mtu au mfumo fulani. Hayo unayosema ni 'makosa' ya Mungu yameenda kinyume na amri au mfumo uliowekwa na nani? Mungu akurehemu maana hujui lolote !
sasa Mungu mwenye uwezo wote kwa nini aumbe kiumbe ambach0 anajua kita kuja kumuasi?? kumbuka ana uwezo wa kukujua hata kabla ahajakuumba
 
1 Wakorintho 2:10-16
[10]Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
[11]Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
[12]Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
[13]Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
[14]Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
[15]Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
[16]Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
Mungu harekebishwi analoamua ni sawa. Mungu aliumba kila kitu pamoja na wale wanaomtilia mashaka. Hivi ndinyi no nani kwa Mungu ni maua tu leo upo kesho unanyauka! Mnaniudhi sana. Wapumbavu tu ndiyo husema hakuna Mungu.
 
Astaghafirullah Mwenyez mungu akusamehe hajawah kukosea na haitotokea kukosea katu Mwenyez mungu harekebishwi na wala hatotokea wa kumrekebisha milele
 
Astaghafirullah Mwenyez mungu akusamehe hajawah kukosea na haitotokea kukosea katu Mwenyez mungu harekebishwi na wala hatotokea wa kumrekebisha milele

Ukhty usipate tabu na huyo jamaa... Yeye anamzungumzia mungu wake sio "allah"
 
Astaghafirullah Mwenyez mungu akusamehe hajawah kukosea na haitotokea kukosea katu Mwenyez mungu harekebishwi na wala hatotokea wa kumrekebisha milele
Anisamehe kwa lipi? maana sijakosea.Kama nimekosea basi Mungu alikosea kuniumba kiumbe ninayekosea....angeniumba na uwezo wa kutokukosea.
 
Mleta mada IQ yako ni ndogo sana. Na ujuzi wako wa biblia ni mdogo kiasi kwamba huelewi lolote. Mungu akusamehe tu. Ni wapi kwenye biblia umesoma kwamba Mungu alimuumba shetani? Mungu aliumba malaika na walipoasi wakageuka kuwa mashetani. Hujui uzao wa Ibrahim ni kina nani ndio maana unasema ni wachache. Na unaposema Mungu alifanya 'makosa' hayo makosa alimtendea nani? Yaani you dont even know definition ya kosa ni nini? Kosa ni kitendo kinachokwenda kinyume na amri ya mtu au mfumo fulani. Hayo unayosema ni 'makosa' ya Mungu yameenda kinyume na amri au mfumo uliowekwa na nani? Mungu akurehemu maana hujui lolote !
Kama Mungu ni mjuzi wa yote, ina maana anajua kila jambo kabla ya kutokea.

Sasa hakujua kama Malaika Lucifer atakuja kuasi na kuwa Shetani atakayeleta madhara makubwa? kama alijua, kwa nini alimuumba?

Ikiwa kila kitu kinatoka kwa Mungu, wazo la Shetani la kuasi lilitoka wapi?

Mungu aliweka amri ili tusitende dhambi, je nani aliyeumba dhambi?

Kwa kuwa IQ yangu ni ndogo, IQ yako ni kubwa kiasi gani?

NB:Jibu maswali yote.
 
Namba 1 na namba 4 naunga mkono hoja. Coz kama Mungu angemfutilia mbali shetani pindi tuu alipoasi, leo dunia hii ingekuwa paradise. Then huu mgogoro mashariki ya kati hv wayahudi wanaanzaje kusema nchi ni kwao wakati wao ni wakimbizi na hati miliki hawana? MFANO: ni sawa na wakimbizi kutoka Burundi waseme eti Tanzania ni yao dadadeki...!!!! must pachimbike
Kinachoumiza zaidi kuna watu wanashangilia huo mgogoro na kufurahia vita vya Israel na Palestine......Ukitaka haki siku zote jiweke kwenye kila upande, utagundua kuna watu wanaonewa sana kwenye hii Dunia.
 
sasa Mungu mwenye uwezo wote kwa nini aumbe kiumbe ambach0 anajua kita kuja kumuasi?? kumbuka ana uwezo wa kukujua hata kabla ahajakuumba
Ni sawa sawa na mpishi aliyepika dida(ubwabwa ulotepeta maji) alafu aseme mimi nilinuia kupika ubwabwa lakini likatokea dida,....hivi huyo mpishi atakuwa na akili timamu kweli?
 
Hawa watu sikuhizi wanatokea shimo gani duuh eti makosa kwakweli MUNGU akurehemu sana......

Sikiliza MUNGU hakosei hata mara moja na hajawahi kukosea na hakuwahi kukosea na hakosei na wala hatakosea na hatakuja kukosea wala hakuna msamiati wa kukosea katika kila mipango yake lazima kufahamu wanadamu tumepewa uwezo tu na maarifa ya kufikiri lakini tusije kumkufuru kwa kuwaza vibaya kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wetu kikubwa fuatisha vile ambavyo anavionya na kuviasa kupitia vitabu vitakatifu
 
uunataka ajionyeshe unakumbaka kwenye wana was israeli kilitokea nini walivyotaka kumwona mungu
Ndo udictator usiotakiwa huo,....Mungu anakuwa kama Idd Amini aliyetesa watu ili ajulikane?.....kwani Mungu hawezi kujithihirisha kwa watu wake na kuwafundisha kama Mungu wa upendo?
 
Ndo udictator usiotakiwa huo,....Mungu anakuwa kama Idd Amini aliyetesa watu ili ajulikane?.....kwani Mungu hawezi kujithihirisha kwa watu wake na kuwafundisha kama Mungu wa upendo?
ata baba nyumbani lazima uwachimbe bit watt na mke ili wakuheshimu
 
yawezekana kabisa Mungu hana sifa amabzo kila kukicha mwanadmu anampa
Huwezi kujua kama anazo au lah! kwa sababu hakuna aliyemuona kujua kama ana hizo sifa.Kwa maneno mengine hakuna aliyethibitisha kama Mungu yupo, ndio maana watu wanajitahidi kubuni pengine Mungu yupo hivi ama vile.
 
Huu uzi sihitaji kujua kilichomo ndani yake nisije nikamkufuru Mungu,ila aliepost huu uzi atakuwa si mzima kichwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom