Makosa 10 aliyotenda Mungu

Fanya utani na mambo mengine siyo mambo ya Mungu wewe kama humjui soma Quran ACHA UJINGA
 
Quran imesema mungu kuna watu kawafanya mioyo yao iwe migumu wasimuelewe.

Mungu gani huyu anawaumba watu na kufanya mioyo yao iwe migumu kumuelewa?

Hawa nao atawahukumu kwa kutomuelewa wakati yeye ndiye aliyewafanya wasimuelewe? Atawachoma moto kwa sababu hawajamuelewa wakati yeye ndiye kawafanya wasimuelewe?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
hilo nalo neno.
 
Mleta mada nimekukubali sana! Hii ni kiwango cha PhD kabisa ila hutopata wa kukupa majibu ya maswali yako kumi haya.

Tunaambiwa yote yanawezekana kwa yeye aaminiye.
 
the funniest thing is.. PEOPLE WOULD RATHER CLING TO THEIR RELIGIONS AND KEEP DOING ALL THE BAD THINGS, THAN BE WITHOUT A RELIGION AND DO ALL THE GOODS THINGS..

Ngumu sana kutoka kwenye dini, kwa sababu mbalimbali, kama vile ukianza kujiuliza utafungaje ndoa? utakua kwenye kundi lipi? watu watakuonaje? watoto wako utawalea katika misingi ipi ya kiimani? mtu akifikiria kitaundani zaidi anaona bora aendelee kuamini anavyoviamini ilimradi tu maisha yaende..
DINI NI KIFUNGO KISICHO NA JELA WALA MINYORORO YANI UNAFANYA LOLOTE UNALOJISKIA ILA UPO KIFUNGONI.
Hatari.
 
Mkuu wafia dini wengi walikuja hapa ila hawakuwa na jipya zaidi ya lawama na vitisho.
 
Inabidi tuunde Free thinker society....tanatakiwa kuishi liberal life.
 
Mkuu wafia dini wengi walikuja hapa ila hawakuwa na jipya zaidi ya lawama na vitisho.
Ni wanafiki sana kujifanya wanaamini wasichojua na kuwa waoga kuhoji ili waujue ukweli.

Hata hivyo maswali ni magumu sana ni vyema mtu kukiri pale unapokuwa hujui ujibu nini.
 
the funniest thing is.. PEOPLE WOULD RATHER CLING TO THEIR RELIGIONS AND KEEP DOING ALL THE BAD THINGS, THAN BE WITHOUT A RELIGION AND DO ALL THE GOODS THINGS..

Ngumu sana kutoka kwenye dini, kwa sababu mbalimbali, kama vile ukianza kujiuliza utafungaje ndoa? utakua kwenye kundi lipi? watu watakuonaje? watoto wako utawalea katika misingi ipi ya kiimani? mtu akifikiria kitaundani zaidi anaona bora aendelee kuamini anavyoviamini ilimradi tu maisha yaende..
DINI NI KIFUNGO KISICHO NA JELA WALA MINYORORO YANI UNAFANYA LOLOTE UNALOJISKIA ILA UPO KIFUNGONI.
Hatari.
Mungu hakuleta Dini. Mungu alileta ufalme wake
When things goes bad we think it is God. But the fact is God has no religion
 
Majibu yoooote ya maswali yako yapo kwenye Qur'an tukufu,
Wewe sio wa kwanza kujiuliza haya na wala sio wa mwisho,
Hivyo Mwenyezi Mungu ameshajibu, tafuta Qur'an yenye tafsiri kisha usome utaelewa tu vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom