Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

Mbowe%2C%2BNyerere%2C%2BSlaa.JPG
Duh!Mbowe ana kifimbo siku hizi?
 
Magamba kweli kazi wanayo,wamekalia kuhadaa watu,ni heri CCM wote mpaka wafuasi wao wafe wasiwepo hapa duniani,mana ni kichefuchefu 2 kuendelea kuwepo hapa duniani
 
Ndani ya CCM hakuna mwenye ubavu wa kumnyoshea Lowasa kidole kwa agenda ya Richmond au ufisadi wowote.
Wakitaka waanze na Ndg Benjamin Mkapa halafu wamalize na Ndg Jakaya Kikwete kwani wameshiriki katika kila hatua ya kifisadi.kama wanadhamira ya kujivua gamba na siyo urais 2015,hawezi kuondoka Lowasa pekee.
 
Kuhusu hii tamthiliya ya kuvuana magamba mimi naona wanasahau kuwa gamba linalotakiwa kuvuliwa ni CCM yenyewe na wala siyo mtu mmoja mmoja ndani ya CCM.


Sssssshhhhhh usiwashtue wacha waparurane wakijeruhiana tunawi kuwamalizia
 
Huyo makongoro mwenyewe ni mpinzani tangu 1995 nafikiri hajarudisha kadi ya NCCR- mageuzi after all who is he..?! Chama siyo Mali ya familia yao ni cha watanzania wote.
 
Ndani ya magamba hamna aliye msafi. Kama wapo nawajitenge.

Mr. Richard

Hapo unapotoka , si kweli kuwa wote ndani ya CCM ni wachafu wapo watu waadilifu kama katika vyamma vingine. Hivi kwa akili yako vyama vya upinzani ndo vina wasafi wote?
 
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye gamba kuuuuuubwa kuliko yoote,ang'olewe kwanza.

Hili ndio gamba la nje (gumu na kubwa). Haitawezekana kutoa magamba (layers) za ndani kama gamba gumu la nje bado liko intact; labda kama wanataka ku-get rid of the whole body.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom