Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

Jun 8, 2011
52
19
Hey Jf kumekucha,

Hali si shwari kati ya kapteni Makongoro Nyerere na Edward Lowassa. Taarifa za kina zinaeleza vuta nikuvute hiyo imezidi kupamba moto huku safari hii Makongoro akiamua kuvunja ukimya na kuweka bayana maamuzi yaliyofikiwa na NEC ya kumvua gamba Lowassa ni lazima yafanyike mara moja pasipo kusita.

Taarifa zaidi ambazo tumezinasa kwa njia ya simu kutoka huko Dar es salaam maeneo ya Kinondoni Biafra kutoka kwa mwandishi mmoja wa gazeti la Dira ya Mtanzania zinabainisha kuwa ni Makongoro Nyerere ndiye aliyeanika taarifa za Lowassa kutaka kuyaanika maovu ya Kikwete wiki moja iliyopita na huku wiki hii Makongoro huyohuyo akiibuka na madai mengine mazito kuhusu azma ya Kikwete kuwakingia kifua Lowassa na Chenge ili wasitemwe kwenye kikao kijacho, Makongoro amekaririwa akisema "hata kama kiwete akitaka amlinde huyu lowassa, kweli kaka yangu lowassa atatusamehe ni lazima tumng'oe bila kusita, itabidi tupinge hoja za kikwete kwa maana hana ubavu wa kutulazimisha"
 
Kwanza tujue yeye Makongoro yuko kundi gani kati ya hayo mawili yanayovuana nguo hadharani?
 
Mbona kama hizi taarifa ni kama hazina ukweli! kwakua mwenye kuelezewa kwenye sakata la kuvuana Magamba tamko hili kalitoa Madaraka Nyerere? au Makongoro Nyerere?
 
imaging.ashx_.jpg

Hey Jf kumekucha,

Hali si shwari kati ya kapteni Makongoro Nyerere na Edward Lowassa. Taarifa za kina zinaeleza vuta nikuvute hiyo imezidi kupamba moto huku safari hii Makongoro akiamua kuvunja ukimya na kuweka bayana maamuzi yaliyofikiwa na NEC ya kumvua gamba Lowassa ni lazima yafanyike mara moja pasipo kusita.

Taarifa zaidi ambazo tumezinasa kwa njia ya simu kutoka huko Dar es salaam maeneo ya Kinondoni Biafra kutoka kwa mwandishi mmoja wa gazeti la Dira ya Mtanzania zinabainisha kuwa ni Makongoro Nyerere ndiye aliyeanika taarifa za Lowassa kutaka kuyaanika maovu ya Kikwete wiki moja iliyopita na huku wiki hii Makongoro huyohuyo akiibuka na madai mengine mazito kuhusu azma ya Kikwete kuwakingia kifua Lowassa na Chenge ili wasitemwe kwenye kikao kijacho, Makongoro amekaririwa akisema "hata kama kiwete akitaka amlinde huyu lowassa, kweli kaka yangu lowassa atatusamehe ni lazima tumng'oe bila kusita, itabidi tupinge hoja za kikwete kwa maana hana ubavu wa kutulazimisha"

Kama hata Makongoro mwenyewe humjui kwanini tuamini taarifa yako?
 
Kwanza toa hiyo picha ya Madaraka Nyerere ndio tukusome vizuri.
 
Uyo jamaaa nae kaja kutia aibu tuu hapa mana kafanya kitu ambacho ata mie kanishangaza na stor kwa style hii inaweza kuwa longo longo
 
Mimi nauliza ni kosa au jambo gani alilofanya Lowassa ambalo CCM wengine hawakufanya??????????

Mkuu unaakili muno. Ccm yote imeoza. Kama ungesikiliza dk 45 itv jana six akihojiwa waweza pata picha ilivyo ndani ya chama la jembe na nyundo. Sasa wanatumia hivyo vifaa kumalizana. Naamini ndani ya magamba kuna watu wabaya zaidi ya wale watuhumiwa wa kujivua gamba. Thanks mkuu Marytina.
 
Uyu Madaraka bana si Makongoro!...my clasmate and roommate enz zetu za shule...ila cba yao aliwalea kigumu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom