Makongoro Nyerere Kugombea Arusha Mjini

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
 
mxiiiii upuuzi wa 95 wanatuletea leo, hiyo ni km panya na keki kiulaiini tunarudisha jimbo letu.
 
Hata wakimleta Mkapa, hilo jimbo CCM hawaliwezi na wanalijua hilo
 
Watafikiria sana CCM hadi wachanganyikiwe, CDM mgombea ni mmoja tu, naye anafahamika; ni Godbless Lema.
 
watachemka kama Arumeru tena mapema kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
CCM ili kufanya mambo yawe raisi wamlete Mkapa anaruhusiwa kugombea si kama alivyofanya Putin tu
 
..watafute mtu mwenye makazi ya muda mrefu Arusha.

..Makongoro ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara.

..Hamuoni kwamba angekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha ingeleta mantiki zaidi??
 
CCM wakitaka kulinda heshima yao bora wasisimamishe mgombea hii itawaepushia aibu na matumizi ya fedha yasiyo na tija. Katika watu 10 niliongea nao baada ya hukumu, wote 10 wanaiunga mkono CHADEMA
 
Wanaangaika hawa ccm kwahyo wamehujumu ili kumpima Makongoro kwa kamanda jembe la ukweli Lema?..wakubali tu CDM haina yeyeto wa kuizua kutoka hapo Lumumba str.
 
Hizi si enz zile tulizokuwa tunasema afadhali fulan alikuwa anafisad lakin maisha yalikuwa rahisi no tunahitaji mwatu sahihi mkapa ndie mwasisi wa ufisadi wote tunaouzungumzia leo
 
Licha ya makongoro hatawakiweka jiwe chadema italipigia kuliko magamba.
 
Arusha mjini ni mali ya Chadema Magamba mnajidanganya bure ! mtapata aibu kubwa sana.
 
Labda wamrudishe tena Sioi!Maana siku yamatokeo alitia huruma mno,tutampa kura za pole ya Arumeru! Jamaa wametia hasara taifa!Wanategemea ushindi Arusha tena?Nadhani wamependa hali yahewa wanataka warudi Arusha wale bata!Si ndio zao?
 
Back
Top Bottom