Makongoro Nyerere ajidhalilisha kwa kumpigia magoti Magufuli..........

mako-omba-kura.jpg

Mgombea Ubunge wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere (kulia) akimwinamia Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli wakati akimwomba ampigie kura iliaweze kuchukuwa nafasi hiyo kwa wagombea kutoka Tanzania Bara, Bungeni mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
Kudadadeki njaa mbaya sana.....
 
Wewe huo ni unafiki,unamwita jembe kwakuwa yupo CDM, hata milliya utamwita jembe kwa kuhamia CDM
Hebu tuache fikra mgando

Kwakuwa nduguzako hawapo CDM je nao utawaitaji?
kwenye nyekundu ni nani?...Ukiona mtu mwenye elimu angalau la saba lakini yuko CCM kuna mawili anafaidika na ufisadi au anamtindio wa ubongo bahati mbaya sina taarifa kama kuna ndugu yangu yuko CCM....
 
Mkuu, njaa haina subira. Umesahau mgombea aliyewapigia magoti wanafunzi akiomba kura zao? Tatizo letu ni kuifanya siasa ndiyo njia ya kuleta mkate wa kila siku. Matatizo yake ni uporaji na ufisadi wa kila aina. Tutaona mengi sana.

Deo Filikunjombe
 
mako-omba-kura.jpg

Mgombea Ubunge wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere (kulia) akimwinamia Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli wakati akimwomba ampigie kura iliaweze kuchukuwa nafasi hiyo kwa wagombea kutoka Tanzania Bara, Bungeni mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi

Ukitaka cha uvunguni sharti uiname
 
Kuna picha moja Nape anawapigia magoti watoto wa miaka mitano sijui nitaipataje.....

Crashwise, mambo..long time see you not, man...where are in A-Town?
 
kwa kweli ndiyo maana sijaingia kwenye siasa, magoti yangu ni kwa ajili ya kumpigia Mungu tu. Not otherwise. Labda niwe at gunpoint!!
 
kwenye nyekundu ni nani?...Ukiona mtu mwenye elimu angalau la saba lakini yuko CCM kuna mawili anafaidika na ufisadi au anamtindio wa ubongo bahati mbaya sina taarifa kama kuna ndugu yangu yuko CCM....

inamaana yule jamaa wa magogoni na mwamvi nao wana mtin..d..i..o?
 
mako-omba-kura.jpg

mgombea ubunge wa afrika mashariki, makongoro nyerere (kulia) akimwinamia waziri wa ujenzi, dk john magufuli wakati akimwomba ampigie kura iliaweze kuchukuwa nafasi hiyo kwa wagombea kutoka tanzania bara, bungeni mjini dodoma jana. Picha na edwin mjwahuzi
naona tendo hilo alilofanya limelipa,amepita katika uchaguzi huo.
 
Tunapenda kukosoa kila kitu, what wrong with that?

Ukisoma picha hii unaona ni watu wenye kutaniana, angefanya kipenzi chetu tungesema "ni mnyenyekevu"!
 
Back
Top Bottom