Makongoro mahanga na uwaziri

A2 P

Senior Member
Mar 22, 2012
184
43
Wana jf hukumu ya kesi ya makongoro ni tarehe 2/ 5. Na kuna dalili za kupigwa chini. Je jk atamrudisha au atakuwa amesoma alama za nyakati hivyo hatamrudisha ili nkuepuka fedheha? Nawasilisha
 
Kwa kuwa mahakama zetu zinatoa hukumu kwa maelekezo ya Jk atakuwa keshawasiliana na Jaji, atakuwa ana majibu ya hukumu.

Wana jf hukumu ya kesi ya makongoro ni tarehe 2/ 5. Na kuna dalili za kupigwa chini. Je jk atamrudisha au atakuwa amesoma alama za nyakati hivyo hatamrudisha ili nkuepuka fedheha? Nawasilisha
 
Ninge waomba tu msiwe na matumaini kama nyie ndo mahakimu.
Unaweza kufa kimya kimya kwa pressure na tusione post zako hapa
baada ya kuambiwa Mahanga alishinda katika uchaguzi huru na haki.

Hakuna hakumu ya haki dunia hii.
 
Mimi nikiwa Mkazi na Mpiga kura wa Jimbo la Segerea, habari ambazo nimezipata na hata wapenzi wa Makongoro wamekuwa wakijinadi nazo ni kuwa Makongororo ameshamuweka kati Jaji wa ile kesi yake. Nilipofuatilia kuuliza kumuweka kati Jaji kuna maanisha nini mtu mmoja alinitonya kwamba tayari Makongoro amempa Jaji kitita cha Shilingi Millioni thelathini na tano (Tsh35,000,000/=) ili kuhakikisha anashinda. Kama amuhamini subirini tarehe 02/05/2012!
 
km mnadhan atapigwa chini sahauni zaid atapata promotion atakuwa full minister mana amekuwa NW toka JK alipokamata usukani anaamin sasa anauzoefu!
 
Hili lijamaa kwa kutoa mlungula halijambo, alinunua ubunge toka wakati wa nominations kwa kutembeza hela, wakati wa uchaguzi alimwaga fedha nyingi tena zilizotoka kwa Rostam. Aombe mungu tu maana uchaguzi ukirudiwa Makongoro atakuwa ni historia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tusubiri tarehe 2/5 lolote laweza kutokea,labda jk atataka kuonyesha yuko fair baada ya lafu ya lema
 
Back
Top Bottom