Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

kama jaji kapindisha haki awekwe kwenye list ya watakoshughulikwa, Lazima kushughulika na wakandamizaji ndiyo njia pekee itakayowafanya waheshim na kuifanya sheria iheshimike kwa maamuuzi sahihi.

Niliposoma jina la Judge tu niliingiwa na wasiwasi kwani siyo jaji wa kuipa CDM haki labda kama Mpendazoe angekuwa CUF angeshinda hiyo kesi.!!!
 
Sasa Jamani kama Haridhiki anayo haki ya kukata rufaa! maana hapa naona watu wameanza kumsema JAJI?
 
me ninavyomjua pro.ibrahim juma naamini haki ameitenda bila shaka..

HAKI??!! HAKI Ipi, makatazo hayo yote wewe Unadhani kuna HAKI hapo..
Huyo prop ni poyoyo! Hajiamini Hata kidogo.. Kusikiliza hukumu ni HAKI ya kila mtanzania Na Kama wasikilizaji ni wengi lazima mahakama iandae utaratibu utaomfanya kila mlengwa asikize hukumu husika.. Sasa prop wako kwanza Kagoma speakers, kagomea Cm, kagomea Lugha, kagomea wananchi kuingia .. Unaiita HAKI HIYO?

WASOMI Ni CHAKULA CHA WASIOSOMA..
 
"""LAZIMA MAHANGA ASHINDE KWA VYOVYOTE ,HATUWEZI KUPOTEZA JIMBO DSM HII ITAKUWA AIBU KUBWA TUNAJUA CHAMA KIMEYUMBA LAKINI CHAMA KITAANZA SAFARI YA KUFA KAMA TUTAPOTEZA JIMBO LINGINE DAR KABLA YA 2015''

ujumbe huo nimefowadiwa sasa hivi na mtu wangu wa karibu ambaye ameupata kutoka kwa MKUU WA KAYA,niko mahakamani dalili za kushindwa ni kubwa kwani Jaji anapangua hoja zetu kama maji bila kutuangalia usoni

:bored::bored::bored:HUU NDO MHIMILI WA KUTOA HAKI
 
Huyo jaji hana tofauti na wale maafisa walioruhusu wanyama wasafirishwe nje ya nchi. Kasoma lakin hajaelimika eti profesa upuuzi mtupu!
 
Mimi mwenyewe mkazi wa segerea, hatukumchagua mtu huyo yeye mwenyewe anakosa amani kuwa mbunge mchakachuzi!
 
Tunaheshimu muhimili wa mahakama, isipokuwa kuna baadhi ya majaji hawako huru kwenye kutoa hukumu zao! hivyo kuipunguzia mahakama heshima, nina wasiwasi mkubwa na hii hukumu kama haina mkono wa CCM kwa maana ushahidi ulikuwa obvious kuliko hata wa kesi ya sumbawanga mjini!

Anyway we have a long way to go.........
 
siku zote wapambe ndo wanaua siasa nchini sasa mtu anashangilia makongoro kushinda kesi wakati watu wa segerea wanalia kila siku upuuzi huo
 
Back
Top Bottom