Duuh! siku yangu ishaharibika kabisa. Simuagi hata bosi ngoja niondoke zangu moja kwa moja. Nikija kukutana na barua ya warning kesho lawama zote atabeba Mahanga!!...... but before I leave, kwa hiyo ule ushahidi wa kura ambazo hazikuhesabiwa toka katika vituo kibao ulikuwa feki? If not... this is where our trust to "learned brothers" is no more!!!Wakuu,
Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.
Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.
Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi
Badly hujui ulisemalo, siyo kosa lako.Naamini Prof. Juma amezingatia haki....sina kinyongo na hukumu yake. Mpendazoe asijisumbue ku-appeal
Wakuu,