Makongoro ampigia magoti Mpendazone mahakamani afute kesi ya uchaguzi

Dk. Makongoro aliibuka mahakamani hapo jana ghafla ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu kesi hiyo ianze kusikilizwa ambapo alisalimiama na Mpendazoe, kisha baadaye wakati akiondoka, akamuomba Mpendazoe afute kesi hiyo ili mwaka 2015 amwachie jimbo hilo.

Kesi namba 98 ya mwaka 2011 inayosikilizwa na Jaji Profesa Ibrahim Juma, ilifunguliwa na Mpendazoe aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akipinga ushindi wa Dk Mahanga.


SAHIHISHO:
Wasomaji Jamii Forums, habari hii sijaiandika mimi mwenyewe, ni nukuru ya moja kwa moja kwa kudonoa kipande katika mada ndefu iliyokuwa kwenye gazeti. Aliyefanya kosa la uchapaji ni gazeti na wala sio mie. Ila ieleweka ni 2015 badala ya 2005. Nadhani ni makosa ya miss spell toka kwa wahariri na mhariri msanifu wa kurasa mara nyingi hashughuliki na mambo madogo kama haya, labda mhariri mkuu hakufanya uhakiki huu.

huyu mafioso anataka kuleta habari za tingatinga na kibajaji?
 
Mpendazoe usikubali kaza uzi mpaka mwisho na pia inabidi akulipe gharama za kesi + gharama za kampeni ulizotumia + disturbance + mshaara wa miezi yote uliyoikosa na stahili zote kama mp!! Kaza Uzi Mpendazoe!
 
amestukia maji yamezidi unga halafu majirani washalala na maduka yashafungwa.duh mtu mzima aelekea kuumbuka anatafuta hifadhi "wizi wa kura ni nomaaaaaaaaaaaaa"
 
Back
Top Bottom