BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 481
Hivi Makongoro kinachomwashawasha kwa huyo shemijiye ni nn??? Ngoma ya mwenzie aivalia kibwebwe mwenye mke amekaa kimya ila makongoro domo kutwa wazi, hata kam ni kutafuta U-DC ama RC sio kihivyo wewe nenda kawatumikie mafisadi uone kitakacho kupata maana Mzee wako (RIP Mwl. Nyerere) alikemea kwa nguvu zote maswala ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Nakumbuka kuna siku Mama Maria Nyerere alishazungumza kuwa nchi inaenda ndivyo sivyo akasema hata mwalimu angekuwapo asingefurahiya kabisa akatamani aje siku moja aone nchi alioicha yenye neema na utajiri mwingi ilivyofilisiwa na mafisadi, kauli ya Mama niya uchungu mwingi akiangalia yeye na mwalimu waliijenga Nchi kwa mapenzi makubwa lakini sasa MAFISADI WAMEIMALIZA