Elections 2010 Makongolo Mahanga anaswa na kura za wizi

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Taarifa zilizopatikana hapa tabata (Kimanga mwisho) zimesema kuwa Makongolo amenaswa na polisi hapa Tabata na anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi. Tuendelee kufuatilia zaidi.
 
CCM ni wezi unapoona hata waziri mzima anatuhumiwa kuiba kura basi ujue hicho chama hakina uhalali wa kuiongoza nchi hii.........
 
Taarifa zilizopatikana hapa tabata (Kimanga mwisho) zimesema kuwa Makongolo amenaswa na polisi hapa Tabata na anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi. Tuendelee kufuatilia zaidi.

Huyo msomi feki wa phD akalale Segerea, na afike Mahakamani. Kufa kivyako mafisadi wenzio wala hwatakuokoa, ashukuru Mungu hajachomwa moto na wenye hasira naye, pumbavu
 
Namwonea huruma hawara yake wa sinza. Her era is over naona atarudia kazi yake ya u barmaid
 
Hii kitu nayo ni Mtihani wa form 4 au ni kweli?

Kuna watu wanaweza kutupa habari za uhakika zaidi?

FEKI nyingi sana tangu uchaguzi uanze......
 
Duh hizi zingine sasa mnatuchezea akili kakamatwa amefanya nini sasa hebu acheni mambo yenu huko, period!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom