Makonda wa kike.

Kwani mtu akipanda daladala anakuwa mkorofi bila sababu??? Kwahiyo unataka kutuambia waliambiwa walipe mia tano wakalipa badala ya mia mbili hamsini au ulikuwa unataka kusemaje???

Watiifu kivipi???
 
Mie ndo kabisa kanichanganya kweli halafu sijui ikoje watu wanaleta thread nusunusu hawamalizii

labda umeme unasumbua, au nini sasa????? Mkwakwasa hembu iweke wazi zaidi!!

kama ilikuwa paper ya physics naona mie hapa ningelamba 5/100
 
Jamani cku zote wanaume ni wabishi kwenye magari.Lakini juzi nimepanda gari flani konda alikuwa bonge la msichana.bac wanaume walikuwa watiifu kama wanapokea sakrament kwa padre.Whyyyyyý jamani?

nani anapenda kuaibika, mwe!!
 
Jamani cku zote wanaume ni wabishi kwenye magari.Lakini juzi nimepanda gari flani konda alikuwa bonge la msichana.bac wanaume walikuwa watiifu kama wanapokea sakrament kwa padre.Whyyyyyý jamani?

Mkuu
Mi nakupata sawasawa!
Ni sehemu nyingi inatokea hivyo kwamba huduma inayotolewa ikifanywa na jinsia ya kike usumbufu usio wa lazima unapungua kwa kiasi kikubwa sana, hasa kutoka kwa wanaume. Mara chache sana wanawake huwa wasumbufu.
Utashangaa kama kuna daladala mbili zinaenda mwenge moja ina konda mwanamke na nyingine mwanaume utajionea ile ya konda mwanamke inaanza kujaa mapema hata kama siti za kukaa zimeshajaa wakati ile ya mwanaume itakuwa inasuasua kujaa
 
Kweli mkuu hata wanawake nao ni watiifu sana kwa wanaume wanao toa huduma

Ila wakiwa wanawake kwa wanawake dah huwa inakuwa balaa mara huyu kabidua mdomo taabu tupu.
 
Ni kweli mkuu, ila kwa wanawake kuna tofauti kidogo.
Wanawake wengi hawawezi kujionyesha wazi wazi utiifu wao kwa wanaume, coz atajihisi kama anajitongozesha au anatongoza mwanaume
Lakin kwa wanaume, yeye kuonyesha utiifu kwa wanawake hata ikitafsiriwa anatongoza mwanamke bado itaonekana safi tu

Wanawake kwa wanawake wakitofautiana na kukorofishana hadharani ni rahisi kupata mtu wa kuwaweka sawa (mwanaume) na atatulizwa hata asiendelee kubwabwaja matusi (kama anafanya hivyo kwenye hilo zogo), wanaume kwa wanaume sometimes inakosa mtu wa kutuliza mzuka (wanawake ndio kwaaaaanza wanasogea mbali)

Ila sasa wanaume kwa wanaume wanaweza wakaelewana muda mfupi tu, wanawake sasa, la la la la la . . . . .
Bifu linaweza kudumu hata miaka
 
Kwani mtu akipanda daladala anakuwa mkorofi bila sababu??? Kwahiyo unataka kutuambia waliambiwa walipe mia tano wakalipa badala ya mia mbili hamsini au ulikuwa unataka kusemaje???

Watiifu kivipi???
NI KWAMBA WANAUME HASA WANAOKUWA WAMESIMAMA HUWA WABISHI SANA WANAPOPANGWA AU KUSOGEZWA NYUMA.LAKINI YULE MDADA WALA HAKUPATA SHIDA.WALIKUWA WANAPANGIKA KAMA MAGUNIA.Sijui hapo umenisoma?
 
sipati picha ilikuwaje? ila nadhani ilikua mchana, jaribu kupanda tena hiyo daladala peak hours sana sana jioni halafu utuletee feedback.
 
NI KWAMBA WANAUME HASA WANAOKUWA WAMESIMAMA HUWA WABISHI SANA WANAPOPANGWA AU KUSOGEZWA NYUMA.LAKINI YULE MDADA WALA HAKUPATA SHIDA.WALIKUWA WANAPANGIKA KAMA MAGUNIA.Sijui hapo umenisoma?

Sasa kumbe unajua kuandika vizuri sasa nimekusoma haya asante sana
 
Ni kwamba yule dada alikuwa anawapanga kiurahisi tu.Akisema wewe cmama pale au wewe rudi pale walikuwa wanatii jambo ambalo si la kawaida.Hapo nimekukolea?
 
Jamani cku zote wanaume ni wabishi kwenye magari.Lakini juzi nimepanda gari flani konda alikuwa bonge la msichana.bac wanaume walikuwa watiifu kama wanapokea sakrament kwa padre.Whyyyyyý jamani?

Inanikumbusha miaka ya nyuma kulikuwa na konda mwanamke daladala la route ya Mwenge--Chuo Kikuu--Ubungo..ilikuwa raha kumwangalia anavyo-operate, nilikuwa nategea basi lake nipate!! Sijui kaishia wapi yule mama Anord!!..
 
Ni kwamba yule dada alikuwa anawapanga kiurahisi tu.Akisema wewe cmama pale au wewe rudi pale walikuwa wanatii jambo ambalo si la kawaida.Hapo nimekukolea?

Kwani we hujui kwamba ni rahisi zaidi kwa mwanamke kumkontroli mwanaume kuliko mwanaume kumkontroli mwanaume mwenzake?
 
Jamani cku zote wanaume ni wabishi kwenye magari.Lakini juzi nimepanda gari flani konda alikuwa bonge la msichana.bac wanaume walikuwa watiifu kama wanapokea sakrament kwa padre.Whyyyyyý jamani?

khaaaa!
Mbona wanaume hao hao ni wasumbufu kwa wake zao.
Hoja yako haina..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom