Makonda na majibu yao

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,314
7,730
Makonda Na Majibu Mazuri.
Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?"Konda: "We taahira nini,hao wengine wamekaliandoo?! "

Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio... "Konda: "Sheria za nchi tu ziko za kutosha, tusikilize na zako!?"

Mmama: "Bwana ondoa gari joto sana!! "Konda: "Uctuzingue wewe,shuka upande fridge...."

Konda: "Anti, kuna siti pale nyuma,ingia.... " Anti: "Siwezi kaa siti za nyuma... "Konda: "Kwenda zako wewe, sio muendaji!!!Kwani za nyuma ziko nje ya gari?!"

Sister duu: "Konda unanibana bwana... Konda: "Zinabanana ndizi haziongei, kama ulitaka kujiachia si ungekodi treni pekeyako!!!"

Sharobaro: "Kuna kiti?!kama hamna sipandi... "Konda: "Mpuuzi kweli, wa wapi wewe... Kama ulikuwa unaogopa kukosa kiti si ungebeba chako?

Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za yesu.. "Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."
#Makonda ni kwikwi
 
#Makonda ni kwikwi[/}hahahahaaa,jibu zuri sana
 
Back
Top Bottom