makonda na madereva watata

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
mazungumzo haya ya konda na dereva wake utata mtupu

Dereva:mwana...vp umesimamisha?

Konda:ndio suka...kuna hawa wadada wawili.....

Dereva:waambie wajitahidi kichwa kiingie

konda:mmoja anasema anaumia,hawezi kuvumilia

Dereva:Basi mwambie ashuke ufunge mlango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom