Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,702
- 12,774
Mkuu umeongea la maanaHata kwenye uchaguzi mkuu wagombea wote walipanga foleni hakuna aliekuja na kuingia kupiga kura eti yeye ni muhimu!
Ilishauzwa since then,Kinondoni is hot area,mwekezaji atakayepanga pale ndo atatoa sura kamili ya huu mchakatoSo sad! Bakwata imeshauzwa
Gsm ni wale jamaa waliokuwa na home shopping,'Makonda amesema kuwa ujenzi huo umefadhiliwa na mfuko wa GSM.' Najiuliza bila kupata jibu sahihi GSM ni kitu gani? Isijekuwa ndugu zangu waislamu wanaahidiwa mahakama ya kadhi tena....................
Sijui lini hawa ndugu zangu wataendelea kuingizwa mkenge hadi lini. Inauma sana.
GSM ni Home Shopping CentreSo sad! Bakwata imeshauzwa
Hata wewe pia uache kuropoka...Makonda should respect the rule of law
Ni ngumu sana kukaa kimya (hata kama hatupendi victimization)... huyu kijana amezidi kuropoka
Kupanga foleni ni utaratibu wa kistaarabu na wanaopishwa kwenye foleni wanajulikana.... Hata yesu na Muhammad S.A.W walikua humble
Hongera mh makonda we Ni kijana WA mfano unajitahidi Sana piga kazi wenye wivu Hua hawakosekani kwenye jamiiView attachment 388265Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepiga marufuku viongozi wa dini kupanga foleni wanapokwenda katika ofisi za wakuu wa wilaya wa mkoa huo.
Makonda ametoa agizo hilo leo jijini Dar es salaam wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Baraza kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata)
"Natoa wito kwa wakuu wa wilaya wote katika mkoa wangu, ni marufuku kumkuta kiongozi wa dini kupanga foleni katika ofisi zenu,hawa watu lazima waheshimiwe kama viongozi wengine wanavyoheshimiwa "alisema
Kuhusu ujenzi wa ofisi za Bakwata, Makonda amesema kuwa ujenzi huo umefadhiliwa na mfuko wa GSM.
" GSM foundation ndio inayojenga ofisi za Bakwata hivyo jamii inayonunua bidhaa za GSM ijue kuwa fedha wanazotoa zitarudi kwa jamii "alisema
Mufti mkuu wa Tanzania sheikh Abubakar Zubairy bin Ally, amewataka waumini wa dini ya kiislaam kuachana na dhana potofu ya kuwa jengo hilo si halali kutokana na jitihada za ujenzi wake kufanywa na muumini wa kikristo.
" Katu hatutashtushwa na kejeli za mitandaoni, Mkuu wa mkoa anayohaki ya kusaidia jamii ambayo imezungukwa na makundi mbalimbali ya dini "alisema.
Hawauzi cement za dagote wana tender ya kusafirisha tu! Jamaa anafungua kiwanda cha cementGSM,ni kampuni ya hedha awadh kama sijakosea,wanauza cement za dangote,mabati,pikipiki,magodoro n,k, ni waislamu,paul makonda ni kama anaweka tu support,lakin sidhan kama yeye ndo ametoa hzo hela kujenga,NA HATA KAMA NA YEYE AKISAIDIA HAKUNA UHARAMU,MUNGU NDO ANAJUA KAMA ATAMLIPA AU LA,TUSIHUKUMU,TUPONGEZE KWA HLO
Ghalib Saad Mohammed. (GSM).. Hedha awadhi wa wapi tena?GSM,ni kampuni ya hedha awadh kama sijakosea,wanauza cement za dangote,mabati,pikipiki,magodoro n,k, ni waislamu,paul makonda ni kama anaweka tu support,lakin sidhan kama yeye ndo ametoa hzo hela kujenga,NA HATA KAMA NA YEYE AKISAIDIA HAKUNA UHARAMU,MUNGU NDO ANAJUA KAMA ATAMLIPA AU LA,TUSIHUKUMU,TUPONGEZE KWA HLO
vitabu ndio vinasema wasipange foleni?Hata wewe pia uache kuropoka...
Kajisomee tena vitabu vitukufu ndio uje na hoja..
Unaonekana upo shallow sana kwenye hilo eneo kiasi cha kumdhihaki Mh. Makonda..
Hata wewe pia uache kuropoka...
Kajisomee tena vitabu vitukufu ndio uje na hoja..
Unaonekana upo shallow sana kwenye hilo eneo kiasi cha kumdhihaki Mh. Makonda..