Makonda: Atakaevaa sare ya CCM kesho, hapandi Daladala

Mwisho wa hawa jamaa umekuwa mbaya kuliko nilivyowahi kufikiri, yaani ukisikia siasa za maji taka hizo za nyinyiem ni next level!
 
Je na magari yenye rangi ya kijani na njano nayo yataacha kutoa huduma au hilo hukulikumbuka wakati unatoa uzushi wako?
 
Copy hiyo meseji kwenye simu yako na uwatumie ndugu na marafiki wote kabla ya kesho. Binafsi hadi sasa nimeshatuma
kwa watu 16.

sasa too much, hizo hela za kutuma meseji 16 utatupa wewe? yani unasisitiiiiiiza he!
 
Mimi ni mmiliki wa daladala ....acheni uzushi!!!!

Ulivyoandika tu, hata baiskeli huna, achilia mbali daladala! Kauli za wenye daladala zinasomeka bwana!!! Sio hii ya kwako inayoonyesha hata mchana wa leo hujauona!! Pole lakini, ndo maisha ambayo nyinyiemu wamekulazimisha kuishi.. Funguka....
 
Kama kuna ukweli juu ya hili basi si jambo jema kwani demokrasia ya kweli ni kumwacha mtu achague anachokipenda ila tu afuate utaratibu na sheria. Maadam wanalipa nauli na wanafuata ruti sahihi za hizo daladala sioni tatizo.Daladala ni kwa ajili ya biashara na ccm,cdm,cuf nk ni kwa ajili ya siasa
 
mtoa mada unawaza kama funza....
Dereva gani wa daladala atakataa hela DAR..
Wewe ndo utaweka ugali wao mezani au CDM..!!
Umepost utumbo.

hatutoutupa tutapikia ndizi. Ila kumbuka maumivu ya kicha huaanza taratibu...!
 
Mbona tumesha jiandaa kwenda cdm square watuache tukachukue posho za mkutano jamani ili tuje tuchangie M4C
 
Back
Top Bottom