Makomedi wa Kibongo hali zao zilivyo siku hizi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
536756_227065737393134_2101491002_n.jpg
Mkuu.Boflo..............
 
Duh hii kali....ndio maana utaona kila mtz anataka kuwa comedian, wanapenda sana easy money...
Wanataka wapate vitambi vya heshima
 
Duh hii kali....ndio maana utaona kila mtz anataka kuwa comedian, wanapenda sana easy money...
Wanataka wapate vitambi vya heshima
Bila ya kuwa Msanii huwezi kuishi maisha Mazuri wewe huoni ma Daktari wanavyoteseka kudai haki yao kwa Seikali lakini hawasikilizwi ona Wasanii wanavyotamba kwa kupata pesa kiurahisi tu hapo nyumbani kwetu kuwa na wewe Msanii utapata kitambi mkuu Boflo.
 
Last edited by a moderator:
Bila ya kuwa Msanii huwezi kuishi maisha Mazuri wewe huoni ma Daktari wanavyoteseka kudai haki yao kwa Seikali lakini hawasikilizwi ona Wasanii wanavyotamba kwa kupata pesa kiurahisi tu hapo nyumbani kwetu kuwa na wewe Msanii utapata kitambi mkuu Boflo.

Hahaha....hata Baba wa taifa alikuwa msanii na ndio mwanzilishi wa usanii nchini....Alikuwa na master of Art
 
Nimeamini hakuna binadamu mwembamba duniani. Ukiona mwembamba ujue usawa umebana tu. Teheheheheheheheheheheh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom