Makomandoo wa Bongo

Kama una-access na TBC1 - Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru - ile Guard ya pili ni ya "Komandoos & Marine Special Forces"!

jamaa kwa kweli wanaonekana kuwa vyema kimafunzo, hivi wanavyopasua matofali kuna mbinu yeyote wanatumia ama ni ukomavu tu? Manake nimetoka kujaribu, kidogo vidole vivunjike na tofali halijapata hata ufa..
 
Ila yule alikuwa anapigwa na ubao kwenye mgongo ni balaa, hata kutikisika Jaman, mie nahisi kachanjia yule
 
Net yangu ipo chini sanaaa.Nitajitahid nikuwekee hata picha za still.MPAKA SASA MAGARI YENYE ZANA ZA KIJESHI YANAENDELEA KUPITA.NI MENGI HAIJAWAHI KUTOKEA NDUGU....pia wameonyesha gari made in tanzania... Limetengenezwa na shirika la nyumbu.

hiyo gari imetengenezwa enzi za nyerere.
Nyumbu kwisha kazi yake sasa hivi, wana mashines za metal fabrication nzuri sana, lakini hakuna wanachofanya sasa hivi.

Magari tumeshatengenezewa na wazungu, sisi hata mafuta ya break hatujaweza kutengeneza.
 
Ila yule alikuwa anapigwa na ubao kwenye mgongo ni balaa, hata kutikisika Jaman, mie nahisi kachanjia yule

plywood ile mkuu,
aje nimpe na ubao wa 2x2 tena ambao haujakauka, tena wa pine tree tuone kama hawatamkimbiza mochwari kabla hajaharibika.
 
Ule ubao mwana sio ply kama nimeuona vizuri, wa kwanza sawa Ila wa pili co
 
plywood ile mkuu,
aje nimpe na ubao wa 2x2 tena ambao haujakauka, tena wa pine tree tuone kama hawatamkimbiza mochwari kabla hajaharibika.
Hayo mafundisho yapo, hata wewe unaweza, jenga misuli iliyokakamaa then wakati xa kupigwa unakaza !
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground

Acha kujidanganya wewe. Wale unaowaona wanaruka toka kwenye ndege kisha wanaelea angani wote huwa wana parachutes. Huwa wanakuwa hawajazifungua. Kuna kiasi cha umbali toka aldhi ndipo parachute inaweza kufunguliwa. Usije jaribu kuruka toka angani bila parachute hata siku moja kwani hata cha kuokota tukazike toka mwili wako hatutopata!
 
Mi naongelea hasa maujanja ya kwenye shughuli, kama vile kupita kwenye moto, kushusha kipondo cha kiteknikali kabisa, kucheza na vyombo vya kivita,,mfano kumpiga kabali piloti na yeye kuongoza ndege,,kubembea kwenye mkia wa ndege afu anasavive mpaka anaenda kumteka rubani.

hilo hakuna anayeweza hapa bongo
 
Msosi unategema sana ni upi wewe unaupenda. Angalia Wasukuma na Wanyakyusa walivyo na miili mikubwa. Kwa Msukuma yeye anaridhika na ugali kwa maziwa ya mtindi na nyama kwa mbali. Viazi vitamu nk anakuwa amefika. Kama atakuwa anakula hivyo bila shida, basi utaona limwili hilo.

Hao Wazungu (Sipendi sana kutumia neno Mzungu, samahani) walikuwa wanakula vyakula vya kawaida tu. Sema akishaanza mazoezi, anakula sana maana zoezi gumu. Sasa wewe Msukuma na unakula zoezi gumu, ukienda kula unakuta vimikate na viazi, Sausages, Pizza na sijui Makaroni..... Ngosha atakufa njaa wakati Mzungu atafurahia vyakula hivyo.

Pia kumbuka kuwa, Komandoo ni MVUMILIVU wa matatizo kwa hali ya juu. Yeye ikibidi basi hata nyama ya mtu atakula ili mradi asife njaa. Kama sikosei, Siri ya Ukomandoo ni uwezo wa KU-SURVIVE at any coast, kuvumilia matatizo na kuwa tayari kuuwa au kuumiza bila kuruhusu wewe kuumizwa au kuuliwa. Siyo kila mtu anaweza hiyo kazi. Haijalishi rangi ya mtu au chakula. Au umezaliwa na uwezo huo au huna na hapa nina maana INTELLIGENCE yako ya kufikiri haraka na kuchukua uamuzi sahihi, waswahili pia tuna msemo "jamaa lina machale" ya kunusa nini kitatokea na hapo unakuta dakika kadhaa nyuma, anaondoka eneo hilo. Sidhani kama kuna formula ya kusema umemaliza mafunzo zaidi ya kuangalia tu uwezo wako wa kufanya hayo juu. Siku zote utaenda sehemu na kukuta jambo ambalo hukuwahi kufundishwa, hapo utafanya nini? Wanafundishwa sana Chemistry na hasa kutengeneza mabomu kwa kutumia chochote kilicho karibu yako.
Sikonge,...Hivi makomandoo wetu wanakula vizuri kama wa Uropa uliowaona?
 
unaposkia komando haijalishi nchi anayotoka.., uwezo wake ni wa hali ya juu sana,, sasa kwny huo uwezo wa juu wanapishana huko kutokana na task na specialization..., kwa mfano navy seal team 6, ni wataalam wa counter-terrorism, lakn hapo hapo kwny navy seal commandos wapo specialised kwa tactics nyingine...,

Hapa tz, zamani commandos alikua for general purpose, lakn ikaonekana kuna haja ya specialization ndo maana saivi kuna marine commandos pale navy,, wanasomea china

Pia kuna airborne, hawa wanakua na bawa moja lakn wanafanya mafunzo mengi kama infantry commandos na haja ya kufanya hivyo ni kwa sbb wanakua deployed behind enemy lines, wanafundishwa kufanya kazi kwa vikundi vidogo lakn kwa ufanisi mkubwa

Kuna programme ilioneshwa tbc last year, ungeamini kua jamaa wako fiti..., watu wanavunja tofali kwa vichwa, watu wana uwezo wa kuruka gari.., in short wapo fiti....

Na unapolinganisha na wa nje, makomando wetu wengi wanapata mazoezi nje ya nchi...., katika kikosi maalumu kinachosafirisha sana wanakikosi basi ni 92kj(sangasanga)...,

Commandos wetu wanavaa maroon beret au kwa kiswahili rangi ya damu..., wako tayari kutoa damu yao kwa taifa,

Mm binafsi nimeshashuhudia wanalala wima wanaegemea ukuta!!!

Hawa watu wako fit kweli, they are pushed to the boundary na hapo 92 mazoezi ya vikwazo au ya kimapigano ni live fire, ukifanya masihara unarudi maiti

Upo kitengo cha mahusiano na jamii (P.R o) ama wamekupa kibali cha kumwaga habari zenu hapa? Bta b obsver 2 c whts known.
 
makomandoo wa tz ni noma hata wazungu huenda hawaingii. mm nina kaka yangu ni komandoo yaani hata kama cruiser iko spidi ya 100k/saa yeye anweza kuruka au kudandia hilo gari. na suala la kuruka kwenye ndege hilo ndilo usiseme. anaweza kusihi baharini for long time na bila any equipment and no food. na hata akiruka kwenye gari ambalo mliko na spidi hiyo anaweza kushambulia adui while yuko ktk process ya kushuka kwenye gari. hawa jamaa sio mchezo. ukiona commando ambaye ana mabawa full kwenye shati lake mwogope sana maana ni full commando. suala kumkuta yuko chumbani bila kujua kaingiaje n ni suala la kawaida.
kwa kuwakumbusha tuu ni kwamba kuna komando alikuwa mara kwa mara akitaka kuonmgea na rais ikulu alikuwa anaingia ikulu bila hata walinzi kujua na rais alikuwa anshnaga jama kesha ingia ndani kwake...ni wakati wa nyerere lkn hata wkt wa mwinyi.
these our comandoos are dangerous my friend, dont dare to play against them....
 
nasikia hawa wa kwetu wanafundishwa mpaka uchawi wa black magic.hii huwasaidia sana ktk ku-hide identity especially ktk maeneo hatari ya kutafuta taarifa za kijasusi.hivyo usishangae kusikia commando anaweza kuingia eneo lolote bila wa2 wengine kumuona-ongea na wa2 wa military intelligence ktk hili
watakwambia
 
Miaka ya 90 nilishawahi kukutana na Makomandoo kadhaa nchi za wenzetu. Hawa jamaa walikuwa kwenye kikosi kimoja kikali sana ambacho kuna miaka ya 90 mwanzoni, walishiriki kuwakomboa na kuwatorosha Wamarekani huko Iraq.

Ukiwasikiliza, ndiyo unaona kuwa hawana tofauti sana na Komandoo wa nchi nyingine au hata wa Tanzania. Sema tu ni mazoezi yepi wanafanya kila siku kujiweka fit. Pia ujuzi wa kupigana hasa style gani wanatumia. Hapa kwa kweli hizi Kung-fu au sijui Karate huwa ni cha Mtoto. Zinaheshimika sana style za Izrael iitwayo KRAV MAGA

Ni kweli kabisa..., na wamarekani wame-opt krav maga kwa commandos wao.., hii style ni anythng goes inafanana na combat karate au self defence ila yenyewe ipo juu...,
hyo systema ni balaa.., lethal blows tupu..,
 
Last edited by a moderator:
nasikia hawa wa kwetu wanafundishwa mpaka uchawi wa black magic.hii huwasaidia sana ktk ku-hide identity especially ktk maeneo hatari ya kutafuta taarifa za kijasusi.hivyo usishangae kusikia commando anaweza kuingia eneo lolote bila wa2 wengine kumuona-ongea na wa2 wa military intelligence ktk hili
watakwambia
hii ya kwako ni mpya..ninachoamini ni kuwa hawa jamaa wana uwezo mkubwa wa kutumia akili zao na wanajua weak points za walinzi na watu wengine, hivyo wanatake advantage ya hizo weakpoints na kupenya ndani. hakuna mlango unaowashinda kufungua
 
lisemwalo lipo ndg usibishe kumbuka wewe na mimi ni raia wa kawaida.ongea vzur na wa2 waliopitia mambo ya kikomando watakwambia.magic sio lazima uwe unaruka na ungo kama wafanyavo watan zangu wafipa kule sumbawanga.
 
hivi hawa si wale waliocharangwa mapanga na wananch na hatimae kutimua mbio kule kwenye ugomvi wa ardhi wazo hill
 
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?

tatizo la majina kuwa universal ndio hili....
mrisho ngassa na lionel messi wote ni WASHAMBULIAJI
vodacom premier ligue na barclays premier ligue zote ni LIGI KUU ZA SOKA
umoja wa afrika na jumuia ya ulaya zote ni REGIONAL INTEGRATION BLOC
............kweli?
sasa jijibu mwenyewe kama wa kwetu na wa kwao wapaswa wote kuitwa MAKOMANDOO
 
Back
Top Bottom