Makomandoo wa Bongo

Hawa jamaa wanavaa visu maalum kiunoni kama nyongeza ya silaha nyingine wanazobeba. Tanzania wapo wa aina mbili kama sikosei. Walikuwepo banda la jeshi sabasaba 2010, na kipindi kile Brigadia GenM kabunda ndio alikuwa in charge. Inasemekana he also fought Kagera war, especial in the unit which cleared Amin elements wakati wanajenga daraja lililobomolewa. The guys are extremely good
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground

Vitu kama ivi ndo mi navitaka to equate na hapa kwetu.

Au labda wakati mwingine nafikiri huenda mafunzo yanaendeshwa kutegemea uwezekana wa nchi yako inaweza kupigana na nani.

Ukiachilia mbali muungano wa nchi flani kukusaidia kwenye vita,,,

Chukulia Marekani watangaze vita na Tz,,obvious tz hatutaenda msituni, tutakubali yaishe. lakini nchi yeyote ya Africa eg kenya Malawi, Ivory coast, Morrocco wakitishia vita Tz itawadindia kwa kutangaza vita pia, kwasababu tunawamudu kwa kuangalia tu kimawazo.

Ndo mana nikauliza makomandoo wa Tz tunaweza kuwaweka kwenye the same std ya gold kweli?
 
Hawa jamaa wanavaa visu maalum kiunoni kama nyongeza ya silaha nyingine wanazobeba. Tanzania wapo wa aina mbili kama sikosei. Walikuwepo banda la jeshi sabasaba 2010, na kipindi kile Brigadia GenM kabunda ndio alikuwa in charge. Inasemekana he also fought Kagera war, especial in the unit which cleared Amin elements wakati wanajenga daraja lililobomolewa. The guys are extremely good

Very true - na hizo mbili zimekuwa splitted into two specialized units - kwahiyo wengi husema kuwa zipo nne!
 
Vitu kama ivi ndo mi navitaka to equate na hapa kwetu.

Vyombo vya ulinzi na usalama vina-award "vyeo" kama sector nyingine au taaluma nyinginezo...

Jeneral Colin Powell ni SAWA kitaalauma ya Jeshi na Jeneral David Musuguri!

Komandoo X wa SEAL iliyopo Pakistan ni SAWA na Komandoo Y aliyepo Kikosi cha Jeshi La Anga Ngerengere!
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground
Mimi nimeshuhudia komandoo wa kiisrael alizunguukwa na Makomandoo wa Hizbullah, alijigeuza kuku ili akwepe ! Hata hivyo walimkamata na kumfanya kitoweo!
 
Ukitaka kuwajua makomandoo wa bongo kama ni wazuri au nyanya unaweza kuwapima kirahisi sana. Jikusanyeni kama watu 200 hivi halafu mvamieni mmoja akiwa peke yake. Baada ya jaribio hilo watakaonusurika watawasimulia marehemu mstakabali wa makomando wa bongo. Uganda walifanya majaribio mwaka 1978. Uchokozi wao ulisambaratisha kabisa majeshi yote ya Uganda na Raisi Idd Amini dada aliachiwa njia akimbie japokuwa makomandoo wetu wangeliweza kumkamata

Mkuu hapa utakua hututendei haki sisi tusiokuwa na mafunzo yeyote ya kupiga sehemu flani kukupotezea fahamu.

kwani wewe ukipewa watoto wa chekechea 10000 chini ya miaka 3 wakuchangie, utashindwa kuwapoteza?
 
Siku nyingine ukikutana na mtu wa hivyo kwenye daladala, hebu mwambie ''bwabwa wewe hebu sogea huko''
Halafu utakuja kutuambia kama ni commandoo kweli au ni komandoo Hamza kalala!!

Mkuu mi sina mafunzo yeyote ya ukomandoo,, mi najua basic appl. za karate tu tena kidogo sana, au unafananisha tembo na panya kwa vile wote wapo kwenye kundi la mamalia?
 
Kama una-access na TBC1 - Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru - ile Guard ya pili ni ya "Komandoos & Marine Special Forces"!
 
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video.

Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ,,,.

Sasa napenda kujua mafunzo yao ni kama yale yenyewe kabisa? yani yani yani kabisa yani .....wanauwezo ule wa ukweli kabisa yani kama komando john zile yani?

Weka TBC 1 KAKA JAMBAZI UONE MAMBO.NITAKUWEKE PICHA YA MAKOMANDOO WAKIFANYA MAMBO YAO UWANJA WA UHURU.
 
Mkuu niko mbali na tv, fanya lambolea kaka.

Net yangu ipo chini sanaaa.Nitajitahid nikuwekee hata picha za still.MPAKA SASA MAGARI YENYE ZANA ZA KIJESHI YANAENDELEA KUPITA.NI MENGI HAIJAWAHI KUTOKEA NDUGU....pia wameonyesha gari made in tanzania... Limetengenezwa na shirika la nyumbu.
 
Back
Top Bottom